Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Vaa kaptula ya jeans ndani then utanipa majibu.
 
Asante Sana kwa ushauri, nitaenda soon. ILA nimesikitishwa na baadhi ya wachangiaji, engine wamediriki kuweka hadi picha za ngono. Very poor thinking capacity

giLESi

Kanusha hii kauli yako mara moja!
Nani kaweka picha ya ngono katika huu ukurasa wa kwanza? Ama umeamua tu kudanganya jukwaa? Kanusha kauli yako chap!
Turudi kwenye mada.
Kwa ushauri wangu Mi ni kwamba achana na hali yako jinsi ilivyo mambo ya kusema unataka kuvaa nguo ya kubana,nakuomba kama Mi achana na mawazo hayo kwani wengine ndiyo ugonjwa wetu huo jinsi ulivyo!

Asante na samahani kwa usumbufu wowote ule!
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji mambo vp Kamanda wangu?
Ckuwa jukwaani takrban wiki mbili kisa BANNED ya takrban wiki hizo baada ya member mmoja kada wa ccm kunichafua nafsi nikajikuta nimempaka ya kutosha kwenye lile jukwaa letu la changamto.

Hujambo Kamanda?
 
Last edited by a moderator:
nina mwili wa kawaida kabisa, ila huko nyuma nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means jf mwenzenu.

selling promotion.
 
Kanunue skin tite cassandra au woolworth bei ni kati ya 20000 hadi 35000 hizo zina bana sana ila unakuwa huru haziumizi wala kuleta alama mwili sababu ni laini ila mpira wake ni mgumu.

Woolworths wanauza nguo ama unamaanisha BIG W?
 
Bujibuji mambo vp Kamanda wangu?
Ckuwa jukwaani takrban wiki mbili kisa BANNED ya takrban wiki hizo baada ya member mmoja kada wa ccm kunichafua nafsi nikajikuta nimempaka ya kutosha kwenye lile jukwaa letu la changamto.

Hujambo Kamanda?

pole mkuu hizi ban nazisiki kwa watu tu kukoje huko jela??,unapata muda wa kuongea na watu walio nje ya kifungo??
 
Last edited by a moderator:
Kuliko kuvaa skin tight 3 na kutafuta fangasi bora uyaache yatingishike....

Otherwise mazoezi yanahusika...mwili kutingishika ni nyama uzembe ambazo dawa yake ni mazoezi tu....
 
Kuliko kuvaa skin tight 3 na kutafuta fangasi bora uyaache yatingishike....

Otherwise mazoezi yanahusika...mwili kutingishika ni nyama uzembe ambazo dawa yake ni mazoezi tu....

ndo na Mimi nashangaa...kwa nini ajipe taabu...
aache tu mambo ya singida Dodoma yaendelee...
giLESi acha mzigo utikisike bana...me like that
Si eti snowhite ??
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom