pigwa TIGO
vaa jinsi ndani ya sketi kunakabtula ngumu sana za jinsi zitakuusaidia.
Hahahaaa, . Tulikuwa tunaita shoch absorber
weka kwanza yako, tuone kama yamekauka au malegevu kama ya muanzisha madaWeka picha!
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.