ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,125
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
" MZIGO MZITO MPE MNYAMWEZI" Njoo unikabidhi huo mzigo mtoto mzuri mimi nitajua la kufanya.