Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,127
Reaction score
165,991
Kutoka sehemu:

Nina mwili wa kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.

Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.

Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.

Nisaidieni means mwenzenu.
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Usikutee ni dume kisha linawasanifu tu hapa jukwaani. Kama ---- lako linatingishika sana bado upo karibu kuolewa maana wanaume wanapenda sana watu kama wewe.

Pia kama unaweza kusafiri kwenda Dubai basi unaweza kuwa umeukata kwa Waarabu wale
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Uwiiii, please ni PM mi mtaalamu wa kuyakazaga hayo mavitu.
 
On a positive response: put on underpants that will hold the whole mzigo,inapunguza kutingishika,i am average size but got a lil popped out kibooty,most times my friends doubt kama nimevaa underpants sababu ya movement ya my kibooty inspite of putting underpants that hold it all. So try my advice and consult training experts on excerciss that will make it firm (squats may work for you) they put the booty in shape,smooth and makes it firm.Good luck Dada!!
Msinijie na manegativity yenu ya kuita watu wauzaji hapa,maana mmecramishwa kuita watu wauzaji.
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Sorry sikusoma kuwa unavaa skintight zaidi ya tatu,my previous advice may not work out for you!Consult women with similar problem and people who train on excercises that may help utapata Ushauri,am not sure kama utapata ushauri mzuri hapa!
 
Kanunue skin tite cassandra au woolworth bei ni kati ya 20000 hadi 35000 hizo zina bana sana ila unakuwa huru haziumizi wala kuleta alama mwili sababu ni laini ila mpira wake ni mgumu.
Asante Sana kwa ushauri, nitaenda soon. ILA nimesikitishwa na baadhi ya wachangiaji, engine wamediriki kuweka hadi picha za ngono. Very poor thinking capacity
 
Sorry sikusoma kuwa unavaa skintight zaidi ya tatu,my previous advice may not work out for you!Consult women with similar problem and people who train on excercises that may help utapata Ushauri,am not sure kama utapata ushauri mzuri hapa!
asante kwa mchango Wako. Thank you for being genuine advisor
 
dada sikushauri hata uyabane!!

yaache tu yajiachie kwa raha zake!

halafu mi hapo ndo ugonjwa wangu ulipo!!
 
Ooohh giLESi yaache tu bhana...kwani yanakuumiza ukitembea? 。Cha kufanya tafuta gari tu bana usitembee kwa mguu mammie.. yaani kashindwa hata kukununulia ka vitz!! Vitu kama hivi ni vya kuwekwa ndani ya gari bhana...
 
Last edited by a moderator:
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Pole sana bi mkubwa. Lakini kumbuka hivyo ndo ulivyoumbwa, unapaswa kijikubali ulivyo achana na hao wanaozomea. Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe. Jikubali na wengine watakukubali.

Ushauri mwingine ni kufanya mazoezi, husaidia kuimarisha musuli za makalio. Kama Ina smartphone tafuta application kama daily butt exercise. Au fanya squarts mara kwa mara. Google mazoezi ya makalio utapata miongozo mingi tu chagua utakaofaa kwako.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom