Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Mjuba unachekesha unaposema kamtegea mzima swichi alale, huenda aliamua kuja na press bila kutangaza, maana angetangaza mzima swichi angefanya yake. Kwa staili hii ya kushitukiza huyo jamaa atakuwa anashusha nondo tufumbuliwe macho kujua siri za ajabuajabu zilizojaa ghiliba
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!


View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

ibilisi wa ccm hawana mtu hoja za kumjibu Polepole wote Akili zao ni kama wanafiki wa kule Bakwata
 
Mjuba unachekesha unaposema kamtegea mzima swichi alale, huenda aliamua kuja na press bila kutangaza, maana angetangaza mzima swichi angefanya yake. Kwa staili hii ya kushitukiza huyo jamaa atakuwa anashusha nondo tufumbuliwe macho kujua siri za ajabuajabu zilizojaa ghiliba
Mzima swich sasa anatuma majini toka baadhi ya mashkhe njaa wa Bakwata lakini yanazimwa na Drone hatari za polepole alizopewa na viongozi wote wa dini nyingi wakiwemo mashehe waadilifu wenye kupenda Haki kama akina ponda na wenzao
 
Mgodi wa makaa ya mawe ambao unazalisha kiwango kikubwa cha makaa ya mawe ambayo yanaweza kuchimbwa kwa miaka zaidi ya 400. Rostam Aziz alinunua hisa za mgodi huo kwa asilimia 70.

Yani Mo Dewj alinunua hisa za Simba asilimia 49 kwa bilion 20 na ilikuwa late 2017 lakini mgodi uliuzwa kwa bilion 5 tena mwaka 2021 tu hapo.
Wizi wa Rostam ni wa kutisha tatizo Rostam kaiweka ccm mfukoni mwake laana za wapenda haki zitamwandama mpaka anyooke
 
Na jamaa hana haraka ,anapiga Polepole ,kituo kwa kituo dakika za mwishoooni kabisa atakuja na majina ya waliyouliwa waliyowaua walipo ,walipofifichwa kuzikwa na waliyohusika kuwaua na waliyoidhinisha vifo vyao .

Aisee sioni kama kuna dalili ya uwepo wa uchaguzi mwakahuu ,ngoja tuone kitakachotokea ila jamaa wanaonekana wamejipanga aisee
 
Back
Top Bottom