Ni wapi kwenye Biblia inataja asili ya mtu mweusi?

Mimi ninachojua ni kwamba YESU kristo ameniokoa kutoka dhambini!.

Mambo ya rangi ya ngozi yangu hayatonisaidia chochote!!


AHSANTE MUNGU WANGU KWA KUMTOA MWANAO WA PEKEE YESU KRISTO AKAFA KWA AJILI YANGU
 
Ni hisia au ushahidi?
Kama ushahidi huo wa maandiko haukutoshi unataka nini?
Biblia haijaandika vitu vingi. Ukienda kwa wataalamu watakuchambulia hilo jambo.
Wengine wanasema weusi wa Mwafrika umetokana na hali ya hewa (joto) la bara hili. No, je, Mrusi akiishi Tanzania kizazi chake kitabadilika na kuwa black?
Je, mbongo akiishi Switzerland kizazi chake kitabadilika?
 
Unaposema tunajipendekeza ayubu katika Bible amesema "ngozi yangu ni nyeusi lakini yanitoka" how watu weusi tunajipendekeza? Selemani katika wimbo ulio bora kasema "mimi ni mweusi lakini ninao uzuri " Hata misri unayofikiri ni ya waarabu farao ni mweusi tafuta mwili wake utaamini maana hajazikwa mpaka leo upo.
selemani tena, kwenye wimbo ulio bora huo huo anasifia weupe,usimuamini selemani hata kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom