Kuamka kutoka usingizini-jela ya utumwa wa fikra wa kidini

Nov 7, 2019
27
60
THE GIANTS (SON OF GODS) MELANATED BEINGS ARE WAKING UP FROM THE GREAT SPELL.

MWANDISHI; JAMES LORDY KASHIRINA.

TAFADHARI KAZA SURA USOMAPO POST HII

Kutambua siri hizi yakupasa kwanza kuwa mtu huru kifikra, usiye fungamana na popote pia inahitaji kuwa mtu mwenye kufikiri nje ya box, asilimia kubwa ya mafundisho yangu yamekuwa yakileta taharuki na mshtuko na dhihaka pia.

KWANINI? Kwasababu tayari draconians walisha andaa mfumo wakatutengeneza toka tunazaliwa tukaaminishwa mambo fulani fulani kuwa ni kweli na tunayaishi, kwahiyo lazima kuwe na taharuki na dhihaka, kwahiyo unapo zaliwa tu, unapewa jina, unapewa Dini, Unapewa ya kuamini na ambayo si ya kuamini, unaambiwa mapema kwamba Mungu yupo mawinguni unaonyeshwa picha mapema jinsi mungu alivyo kaa huko mbinguni na kiti cha enzi kilivyo ila hao wanao kuelezea namna mungu alivyo kaa huko mawinguni kwenye kiti cha dhahabu ameshika na rungu la chuma, hao watu hao hao wameshindwa kukuelezeeni ni namna gani yale MAPIRAMID kule Misri yamejengwa?

Ila wanauwezo wa kukuelezea mbinguni kulivyo. Kwahiyo tuko hapa kutumikia utambulisho (IDENTITY) ambao sio wetu ambao tumeikuta tumepewa, tunapambania Dini muda mwingine mpaka kuuana lakini hatujawahi kujiuliza uhalali wa Taasisi hizo, ukweli na wapi zimetokea. Ninakufundisha namna ya kufikiri najua watakuambieni kuwa unakufuru na hivyo ndivyo namna wanavyo fanya ili kukuzuieni ninyi na kukuwekeeni mipaka muwe mbali na ukweli na hatimaye kubaki kuwa watumwa mkitumikishwa.

Jambo ambalo hulitambui "Ewe mwana wa KHEM" enyi watu wausi.

ALLAH amewafanisha watu weusi na Shetani.

Mtume alimfananisha Shetani na Mtu Mweusi.

"I have heared the Apostle say: ' whoever wants to see Satan should look at Nabtal'. 'He was a sturdy black man with long flowing hairinflamed eyes, and dark ruddy cheeks:

Ishaq:243

Nimemsikia Mtume akisema: Yeyote anaye taka kumuona Shetani inabidi amtazame Nabtal. Alikua mtu shupavu mweusi na nywele ndefu nyeusi, macho mekundu na mashavu meusi.

Muhammad alikua mweupe na alimiliki watumwa weusi.

Volume 9, Book 91, Number 368. Narrated 'Umar: I came and behold, Allah's Apostle was staying on a Mashroba (attic Room) and a Black slave of Allah's Apostle was at the top if it is stairs. I said to him, "(Tell the prophet) that there is Umar bin Al-Khattab (Asking for permission to Enter)". Then he admitted me.

Ikisimuliwa na Umar.. Nilikuja na tazama, Mtume wa Mungu alikua amekaa kwenye chumba cha juu (ambacho hakijamaliziwa) na Mtumwa mweusi wa Mtume wa Allah alikua juu kwenye ghorofa yake. Nikamwambia (Mwambie mtume) kwamba hapa yupo Umar bin Al-Khattab (Anaomba ruhusa kuingia). Kisha akanipokea.

"Mwenye masikio mawili ya kusikia, na asikie maana zote mbili, maana ile ya juu na maana ile ya Chini" Tendo la kusema mtu mweusi amefanana na Shetan ni tusi kubwa mno kwa WAISLAMU WEUSI WA AFRIKA au popote. Ni tusi kwa mtu mweusi ni ubaguzi wa Rangi wa waziwazi mchana kweupe. Mtu mweusi ukishindwa kutambua ukweli huu na kuendelea Allah na Mtume ni kuwadharirisha watangulizi wako na Mababu. Allah alisha fahamika Afrika mapema zaidi. Allah kwajina NANAAR -SIN au LORD ASTERTE huko Ugiriki ni Mjukuu wa Anu mtoto wa ENLIL/YAHWEH na NINLIL alikuwepo hapahapa Duniani alikuwa na mwili wa kifizikia, aliishi Dunia hii alizaa, alioa alitawala alipigwa utawala wake ukaanguka ulipofika muda wakarejea Planet NIBIRU na PLANET RIZQ (RIZQIYIANS), Wala si kitu cha kutisha ni HUMANOID ALIEN.Na katika maandiko ya kale ALLAH/NANNAAR SIN hakuwahi kuumba chochote hakuwa mwanasayansi haikuwa Fani yake

Ngoja tumuone ALLAH tena hapa na Ahadi zake za Peponi.

HOW TO THINK / JINSI YA KUFIKIRI.

KITABU RAHA ZA PEPONI, KILICHOANDIKWA NA SHEIKH KHAMIS IBRAHIMU
P.O. BOX 2822 Mwanza Tanzania
Mobile +255714 502 620
+255783 326 466
+255766 431 675
Mshauri:
Ustadhi AbdulShakur Maulid/
Katika ule ukurasa wa 52 Sheikh anasema,

ANASEMA MWENYEZI MUNGU (Subuhaanahu
wata’alaa)

”…. Na humo watapata wanawake walio takasika
(Na kila mabaya na machafu)….” (Quran 2;25)

Na kila watakapokuwa wanaingiliwa na waume zao watakuwa ni mabikira. Bikira hii haishi kwa kuingiliwa, isipokuwa inakuwa mpya, hatoki damu wala kusikia maumivu yoyote.

Mtu atapewa nguvu za watu 100 katika unywaji na uingiliaji; kisha ataongozewa nguvu zingine zaidi, mme atamwingilia mke wake kama alivyokuwa akimwingilia hapa Duniani, lakini peponi ni kwa muda mrefu, ni miaka 80 ya huko akhera, bila kufika kileleni (Kutokwa shahawa) Ifahamike siku moja ya akhera ni sawa na mika 1000 ya huku duniani. Kwa hisabu ya huku duniani ni miaka 28,000,000, Miaka Milioni 28!

Wakati wote huo wanasikia ladha nzuri mno na raha kubwa ajabu! Hizo ndizo neema za Allah peponi!

Basi, Hakika tutafute Radhi za ALLAH na kila mara tumuombe ALLAH atujalie tuwe miongoni mwa watu wema AMIN. (Mwisho wa kunukuu).

Hadithi hii na aya hiyo ya Qur'an inafikirisha mno, Kwamba Allah ameandaa PEPO/PARADISO kwa waumini kwamba Peponi, Mwanamume mmoja atapewa wanawake 72 special kwaajili ya kungonoka nao, huko Peponi Kuna mito ya Pombe/Bia isiyokauka kwa lugha nyepesi ni kwamba Allah ameandaaa mito ya pombe haina haja kulipia (Mito ya K-VANT, mito ya DOMPO, mito ya WINE, Mito ya MASTER mito ya KONYAGI, mito ya SANTANA, mito ya AMARULA, n.k) kwamba peponi ni kungonoka na kunywa bia mbele za Allah alafu huku Duniani ukistarehe Dhambi, ukinywa bia kosa. Kwamba Mwanamume mmoja anapewa nguvu za kiume za wanaume 10 anafanya ngono kwa miaka Milioni ishirini na nane mbele za Allah bila kufika Kileleni... Sasa embu pata picha huko peponi jinsi kutakavyo kuwa, yaaani Full kungonoka Full kunywa Bia.

Kingine cha kufikiri , Embu fikiria na Jiulize kuhusu ahadi inaonekana imewalenga WANAUME, tumuulize Allah vipi kuhusu Wanawake wanapewa nini huko peponi?

Allah hana jibu lolote kuhusu hili, hii inamaanisha ya kwamba Wanawake waumini walio amini (Wanawake Waislamu) Huko Peponi kwa Allah wakienda Kazi yao kubwa itakuwa ni

"Kutoa URODA kwa wanaume walio Amini".

(samahani kwakutumia neno hilo dhamira yangu ili mnielewe).

Kwa kauli ya Allah ya kusema kwamba huko peponi Mwanaume mmoja atapewa wanawake 72 inaonyesha wazi kwamba wanawake walio amini wakienda peponi kazi yao ni kutoa ...utamu kwa wanaume walio amini.

HII INAONYESHA JAMBO HALIPO SAWA NA INAONYESHA UNYANYASAJI WA KIJINSIA MPAKA PEPONI.

Nitaendelea ... SWALA LA WASIO AMINI KUCHOMWA MOTO

"Kabla sijaendelea, Tunajua Roho ni Elementi ambayo ni HEWA (akampulizia pumzi/hewa/upepo/Roho mtu akawa nafsi hai), inathibitisha Roho ni hewa, Kwenye sayansi ili moto uwake lazima iwepo Hewa bila hewa/Roho moto hauwaki, Sasa nawaachia Homework ...Jiulize kama Roho ndiyo inayo sababisha Moto uwake, sasa tuambieni ni namna gani Mungu ayazichoma Roho za wasio amini, atuelezee atachoma vipi hewa wakati ndiyo inayo sababisha moto uwaka?""

HOME WORK 02

"Pia mje mtuambie ni namna gani Roho inaweza kuhisi maumivu. Kinacho hisi maumivu ni Mwili pekeake, kwenye Biology tumefundishwa kwamba maumivu huhisiwa kutokana na Neva za Fahamu, Ubongo na ngozi. Je, Roho ina ngozi? Je, Roho ina Ubongo? Je, Roho ina neva za Fahamu? Maana neva za Fahamu ndizo InaO tafsiri maumivu,baridi,miguso kwenye ubongo kwa kuhisi kutoka kwenye ngozi, mtu akipalalyze hahisi maumivu kabisa kwasababu neva za Fahamu zinakuwa zimekufa, anaweza kukaa kwenye moto bila kuhisi maumivu yoyote yale. kwahiyo ili uhisi maumivu lazima uwe na neva za Fahamu na Mwili na ziwe zinafanya kazi, JE, ROHO INA NEVA ZA FAHAMU?".

SASA KAMA HAINA NEVA ZA FAHAMU "MNAICHOMA VIPI ILI ISIKIE MAUMIVU".

AMKA Wewe, Sisi ndio SUPREME BEINGS (Miungu wakuu). Sikia

Sikia kwa mujibu wa maandiko ya kale sana ya WANUBIA/NUWAUPIANS ustaarabu wa kale zaidi kuliko ule wa Sumeria na ule wa Misri, kwamba wamisri na wasumeria na wao walifundishwa na kukopy kutoka kwa Wanupians.

Kwa mujibu wa HOLY TABLET kwenye kipengele cha "EPIC OF CREATION" Roho zetu ambazo ni uhalisia wetu tumepitia safari ndefu mno through time, space na existence kabla kabisa hakujatokea kitu tunaita BEHAYMAW (Human Beast) na HUMIM BEINGS.

Neno HUMIM, kiumbe wa HU ambayo inamaanisha Creative force of Will/Nguvu ya uumbaji, na neno Mim ambalo ni sawa na neno MAMI linamaanisha "Deity Of Birth" Mungu wa Uzazi. hIlo linakwenda sambamba na Mungu mke NINTI huko Sumeria ambaye alizaa viumbe wenye miili. Hilo pia linakwenda sambamba na SOPHIA kwenye Gnosticisms, ambapo Sophia alizaa watoto ambao waliumba viumbe vyenye miili, watoto wanaitwa Bad boys (Yahweh, Jehova) jina lao kiujumla kwenye Gnosticism ni "DEMIURGES". pia neno MANE kilatini linamaanisha "Spirit of The dead" Roho za Wafu.

Kwakufupisha, Kutoka kwenye ERIDU/WORD kulitokea Nuru ambayo ilijigawanya pande mbili.

1. Pure Green Light /Original Light

Nuru halisi, ambayo ilijidhihirisha yenyewe kuwa Etheric beings (Viumbe wasio na Miili) tukapata AGREEABLE ANUNNAKI/ANUNNAGI au SARUFAAT yaani MASERAFI kwenye Biblia ndipo tukapata Benevolent Beings SUPREME BEINGS Kwahiyo Anunnaki walijiumba wenyewe kutoka kwenye Nuru. (PURE GREEN LIGHT).

2.Kwahiyo kipande cha pili kilikuwa ni NURU ISIYO HALISI. IMPURE AMBER LIGHT (FIRE) hapa wakatokea SUB -SUPREME BEINGS, DIS - AGREEABLE ANUNNAKI.Ambao walifahamika kama GURAFAAT yaani "Cherubeem" Makerubi kwenye Biblia. Hapa tukapata MALEVOLENT BEINGS /Viumbe waovu. Kwahiyo hawa Anunnaki wa mlengo wa Kushoto nao walijiumba wenyeww kutoka kwenye nuru dhaifu (Moto) IMPURE AMBER LIGHT (FIRE) tukapata neno JINNS hapo ndipo hadithi ya Qur'an ya Majini kuumbwa kwa Moto ilipo tokea.

Kumbuka maelezo hayo yapo kwenye maandiko ya Waafrika kitambo zaidi kabla ya hizi Dini, hiyo ni NUWAUBU WAY OF LIFE

Ni mfumo wa kiimani ulikuwa ukifundishwa na watangulizi wetu wa kwanza kabisa.

SASA INAKUWAJE MWANADAMU NA YEYE KUHUSISHWA KUWA "SUPREME BEINGS FROM PURE GREEN LIGHT"

WE ARE THE SUPREME BEINGS, HUMIM BEINGS tulikuwa tukifahamika hivyo, Baada ya ANU kutoa amri kwa Roho za wanadamu (HUMIM BEINGS/SUPREME BEINGS) ziwe imprisoned tufungwe jela ndani ya miili ya kifizikia na kuhamishiwa PLANET TIAMAT ambayo ni pLANET EARTH kwa sasa. Tulitokea ILLYUWN galaxy ya 19 pia inafamika kama The place "On High" yaani Mahala pa Juu, baada yakuwa mateka tukabadilishwa jina kutoka HUMIM BENGS - SUPREME BEINGSna kuwa HUMAN BEINGS

Huoni neno HUMIM BENGS na neno HUMAN BEINGS yanafanana? Je, unahisi ni bahati mbaya?

Tutaendelea.

WE ARE THE SUPREME BEINGS
FB_IMG_1698940364504.jpg
 
WE ARE THE SUPREME BEINGSView attachment 2801606
Well organised story
 
Kuna maswali ntakuuliza...nahitaji majibu ya kina sana....

Ulisema mwanzoni Anu ni kama watcher tu?....nataka kujua wale waliokonje ya galaxy zote na universe wanaocontrol kina Anu ni nani? Je kuna ambae anaitwa ELOHIM?

Swali la pili....kama cherubians and seraphins and orphanims(hawa sidhani kama unawajua) walijiumba wenyewe inakuake wao bado wanakua ni watumwa wa hao kina Anu and creator of All Elohim?

Kama sisi ni supreme being...kwann tuko controlled na jamii ya aina yetu? Na usiseme tumefungiwa maana kama ni supreme being tungecontrol surrounding yetu kuanzia galaxy hadi universe..

Hv mkuu uliandika kuhusu malaika wanaocontrol ulimwengu....je unamjua AZAZEL....NA MWENZIE SAMAEL? Unajua wanafanya nn sasa hapo midlle east na unajua wanatawala wapi na wapi wakati ni fallen angels!???

Kama utaweza kujibu jibu ukishindwa nisaidie kumpa huyo mwenye mada facebook maana nimeondoka facebook 2009
 
Nimeyapata maswali yako mkuuu, ANU ni miongoni mwa ANUNNAKI huko ILLYUWN - The 19th Galaxy. Anu ni mlezi au mfalme wao aliyechaguliwa kuwa mlezi/mfalme. Anu sio WATCHER kwakuwa ana exist within the Universe ila yupo ambaye/ambao wana Exist outside the universe hawapo katika nyota yoyite, sayari yoyote wala hawapo katika galaxy yoyote wapo outside the Universe wana WATCH wanatazama hao ndio WATCHER.

SWALA LA AZAZEL, SHAMYAZA n.k ukisoma THE LOSR BOOK OF ENKI The EIGHT and NINTH TABLET ... Hao ni miongoni mwa ANUNNAKI na majina hayo yamekaa kidini zaidi. Akina Azazeli, Shamyaza na Samaeli na elohim 200 ..ni ANUNNAKI waitwao IGIGI waliokuwa wasimamizi wa BASEMENT huko Sayari ya MARS waliamua ku-rebel againsr their Masters (THE GREAT ANUNNAKI) kwakuwa walikua wanabanwa sana na walinyimwa haki ya kuoa na kujipatia watoto SHAMYAZA akiongoza kundi la IGIGI 200 (200 Fallen Elohim) waliamua kuvunja Sheria za ANUNNAKI WAKUU walikuawepo Duniani na kuamua kuanza kuteka wanawake wa Duniani (Earthlings) na kulazimisha ngono nao Bila idhini ya Viongozi wakuu akiwwmo Lord of Command ENLIL-YAHWEH wa kibiblia. Habari ni ndefu ukisoma Hiyo kitabu utaelewa zaidi.
 
kuna mungu anaitwa Ra. ukimsoma uyo pia utajua hujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah Ndugu yangu nawafahamu hao ni miungu wa Misri kutoka SIRIUS kwenye Sayari inaitwa RIZQ sayari ya saba katika mfumo nyita wa SIRIUS B. Hao wapo wengi ni Miungu wa Misri mfano OSIRISISIS, HERU, PTAH, AMEN-RA ndiyo huyo RA, THOTH, N.K N.K Hao kiujumla katika Lugha ya Misri wanaitwa NETERU. Na nwno "NETERU" ni Lugha tu ya wamisri ndio haohao Kule SUMMERIA wanaitwa ANUNNAKI.

MFANO huyo OSIRIS ni SHIVA wa wahindi, Huyo PTAH ni ENKI wa Sumeria, Huyo THOTH ni mtoto wa ENKI anaetwa NINGSHZIDAH hapo Umechanganyikiwa Lugha tu. Ndio hao hao ANUNNAKI.
 
Uwe unanitag ukiweka uzi
 
THE GIANTS (SON OF GODS) MELANATED BEINGS ARE WAKING UP FROM THE GREAT SPELL.

MWANDISHI; JAMES LORDY KASHIRINA.

TAFADHARI KAZA SURA USOMAPO POST HII

Kutambua siri hizi yakupasa kwanza kuwa mtu huru kifikra, usiye fungamana na popote pia inahitaji kuwa mtu mwenye kufikiri nje ya box, asilimia kubwa ya mafundisho yangu yamekuwa yakileta taharuki na mshtuko na dhihaka pia.

KWANINI? Kwasababu tayari draconians walisha andaa mfumo wakatutengeneza toka tunazaliwa tukaaminishwa mambo fulani fulani kuwa ni kweli na tunayaishi, kwahiyo lazima kuwe na taharuki na dhihaka, kwahiyo unapo zaliwa tu, unapewa jina, unapewa Dini, Unapewa ya kuamini na ambayo si ya kuamini, unaambiwa mapema kwamba Mungu yupo mawinguni unaonyeshwa picha mapema jinsi mungu alivyo kaa huko mbinguni na kiti cha enzi kilivyo ila hao wanao kuelezea namna mungu alivyo kaa huko mawinguni kwenye kiti cha dhahabu ameshika na rungu la chuma, hao watu hao hao wameshindwa kukuelezeeni ni namna gani yale MAPIRAMID kule Misri yamejengwa?

Ila wanauwezo wa kukuelezea mbinguni kulivyo. Kwahiyo tuko hapa kutumikia utambulisho (IDENTITY) ambao sio wetu ambao tumeikuta tumepewa, tunapambania Dini muda mwingine mpaka kuuana lakini hatujawahi kujiuliza uhalali wa Taasisi hizo, ukweli na wapi zimetokea. Ninakufundisha namna ya kufikiri najua watakuambieni kuwa unakufuru na hivyo ndivyo namna wanavyo fanya ili kukuzuieni ninyi na kukuwekeeni mipaka muwe mbali na ukweli na hatimaye kubaki kuwa watumwa mkitumikishwa.

Jambo ambalo hulitambui "Ewe mwana wa KHEM" enyi watu wausi.

ALLAH amewafanisha watu weusi na Shetani.

Mtume alimfananisha Shetani na Mtu Mweusi.

"I have heared the Apostle say: ' whoever wants to see Satan should look at Nabtal'. 'He was a sturdy black man with long flowing hairinflamed eyes, and dark ruddy cheeks:

Ishaq:243

Nimemsikia Mtume akisema: Yeyote anaye taka kumuona Shetani inabidi amtazame Nabtal. Alikua mtu shupavu mweusi na nywele ndefu nyeusi, macho mekundu na mashavu meusi.

Muhammad alikua mweupe na alimiliki watumwa weusi.

Volume 9, Book 91, Number 368. Narrated 'Umar: I came and behold, Allah's Apostle was staying on a Mashroba (attic Room) and a Black slave of Allah's Apostle was at the top if it is stairs. I said to him, "(Tell the prophet) that there is Umar bin Al-Khattab (Asking for permission to Enter)". Then he admitted me.

Ikisimuliwa na Umar.. Nilikuja na tazama, Mtume wa Mungu alikua amekaa kwenye chumba cha juu (ambacho hakijamaliziwa) na Mtumwa mweusi wa Mtume wa Allah alikua juu kwenye ghorofa yake. Nikamwambia (Mwambie mtume) kwamba hapa yupo Umar bin Al-Khattab (Anaomba ruhusa kuingia). Kisha akanipokea.

"Mwenye masikio mawili ya kusikia, na asikie maana zote mbili, maana ile ya juu na maana ile ya Chini" Tendo la kusema mtu mweusi amefanana na Shetan ni tusi kubwa mno kwa WAISLAMU WEUSI WA AFRIKA au popote. Ni tusi kwa mtu mweusi ni ubaguzi wa Rangi wa waziwazi mchana kweupe. Mtu mweusi ukishindwa kutambua ukweli huu na kuendelea Allah na Mtume ni kuwadharirisha watangulizi wako na Mababu. Allah alisha fahamika Afrika mapema zaidi. Allah kwajina NANAAR -SIN au LORD ASTERTE huko Ugiriki ni Mjukuu wa Anu mtoto wa ENLIL/YAHWEH na NINLIL alikuwepo hapahapa Duniani alikuwa na mwili wa kifizikia, aliishi Dunia hii alizaa, alioa alitawala alipigwa utawala wake ukaanguka ulipofika muda wakarejea Planet NIBIRU na PLANET RIZQ (RIZQIYIANS), Wala si kitu cha kutisha ni HUMANOID ALIEN.Na katika maandiko ya kale ALLAH/NANNAAR SIN hakuwahi kuumba chochote hakuwa mwanasayansi haikuwa Fani yake

Ngoja tumuone ALLAH tena hapa na Ahadi zake za Peponi.

HOW TO THINK / JINSI YA KUFIKIRI.

KITABU RAHA ZA PEPONI, KILICHOANDIKWA NA SHEIKH KHAMIS IBRAHIMU
P.O. BOX 2822 Mwanza Tanzania
Mobile +255714 502 620
+255783 326 466
+255766 431 675
Mshauri:
Ustadhi AbdulShakur Maulid/
Katika ule ukurasa wa 52 Sheikh anasema,

ANASEMA MWENYEZI MUNGU (Subuhaanahu
wata’alaa)

”…. Na humo watapata wanawake walio takasika
(Na kila mabaya na machafu)….” (Quran 2;25)

Na kila watakapokuwa wanaingiliwa na waume zao watakuwa ni mabikira. Bikira hii haishi kwa kuingiliwa, isipokuwa inakuwa mpya, hatoki damu wala kusikia maumivu yoyote.

Mtu atapewa nguvu za watu 100 katika unywaji na uingiliaji; kisha ataongozewa nguvu zingine zaidi, mme atamwingilia mke wake kama alivyokuwa akimwingilia hapa Duniani, lakini peponi ni kwa muda mrefu, ni miaka 80 ya huko akhera, bila kufika kileleni (Kutokwa shahawa) Ifahamike siku moja ya akhera ni sawa na mika 1000 ya huku duniani. Kwa hisabu ya huku duniani ni miaka 28,000,000, Miaka Milioni 28!

Wakati wote huo wanasikia ladha nzuri mno na raha kubwa ajabu! Hizo ndizo neema za Allah peponi!

Basi, Hakika tutafute Radhi za ALLAH na kila mara tumuombe ALLAH atujalie tuwe miongoni mwa watu wema AMIN. (Mwisho wa kunukuu).

Hadithi hii na aya hiyo ya Qur'an inafikirisha mno, Kwamba Allah ameandaa PEPO/PARADISO kwa waumini kwamba Peponi, Mwanamume mmoja atapewa wanawake 72 special kwaajili ya kungonoka nao, huko Peponi Kuna mito ya Pombe/Bia isiyokauka kwa lugha nyepesi ni kwamba Allah ameandaaa mito ya pombe haina haja kulipia (Mito ya K-VANT, mito ya DOMPO, mito ya WINE, Mito ya MASTER mito ya KONYAGI, mito ya SANTANA, mito ya AMARULA, n.k) kwamba peponi ni kungonoka na kunywa bia mbele za Allah alafu huku Duniani ukistarehe Dhambi, ukinywa bia kosa. Kwamba Mwanamume mmoja anapewa nguvu za kiume za wanaume 10 anafanya ngono kwa miaka Milioni ishirini na nane mbele za Allah bila kufika Kileleni... Sasa embu pata picha huko peponi jinsi kutakavyo kuwa, yaaani Full kungonoka Full kunywa Bia.

Kingine cha kufikiri , Embu fikiria na Jiulize kuhusu ahadi inaonekana imewalenga WANAUME, tumuulize Allah vipi kuhusu Wanawake wanapewa nini huko peponi?

Allah hana jibu lolote kuhusu hili, hii inamaanisha ya kwamba Wanawake waumini walio amini (Wanawake Waislamu) Huko Peponi kwa Allah wakienda Kazi yao kubwa itakuwa ni

"Kutoa URODA kwa wanaume walio Amini".

(samahani kwakutumia neno hilo dhamira yangu ili mnielewe).

Kwa kauli ya Allah ya kusema kwamba huko peponi Mwanaume mmoja atapewa wanawake 72 inaonyesha wazi kwamba wanawake walio amini wakienda peponi kazi yao ni kutoa ...utamu kwa wanaume walio amini.

HII INAONYESHA JAMBO HALIPO SAWA NA INAONYESHA UNYANYASAJI WA KIJINSIA MPAKA PEPONI.

Nitaendelea ... SWALA LA WASIO AMINI KUCHOMWA MOTO

"Kabla sijaendelea, Tunajua Roho ni Elementi ambayo ni HEWA (akampulizia pumzi/hewa/upepo/Roho mtu akawa nafsi hai), inathibitisha Roho ni hewa, Kwenye sayansi ili moto uwake lazima iwepo Hewa bila hewa/Roho moto hauwaki, Sasa nawaachia Homework ...Jiulize kama Roho ndiyo inayo sababisha Moto uwake, sasa tuambieni ni namna gani Mungu ayazichoma Roho za wasio amini, atuelezee atachoma vipi hewa wakati ndiyo inayo sababisha moto uwaka?""

HOME WORK 02

"Pia mje mtuambie ni namna gani Roho inaweza kuhisi maumivu. Kinacho hisi maumivu ni Mwili pekeake, kwenye Biology tumefundishwa kwamba maumivu huhisiwa kutokana na Neva za Fahamu, Ubongo na ngozi. Je, Roho ina ngozi? Je, Roho ina Ubongo? Je, Roho ina neva za Fahamu? Maana neva za Fahamu ndizo InaO tafsiri maumivu,baridi,miguso kwenye ubongo kwa kuhisi kutoka kwenye ngozi, mtu akipalalyze hahisi maumivu kabisa kwasababu neva za Fahamu zinakuwa zimekufa, anaweza kukaa kwenye moto bila kuhisi maumivu yoyote yale. kwahiyo ili uhisi maumivu lazima uwe na neva za Fahamu na Mwili na ziwe zinafanya kazi, JE, ROHO INA NEVA ZA FAHAMU?".

SASA KAMA HAINA NEVA ZA FAHAMU "MNAICHOMA VIPI ILI ISIKIE MAUMIVU".

AMKA Wewe, Sisi ndio SUPREME BEINGS (Miungu wakuu). Sikia

Sikia kwa mujibu wa maandiko ya kale sana ya WANUBIA/NUWAUPIANS ustaarabu wa kale zaidi kuliko ule wa Sumeria na ule wa Misri, kwamba wamisri na wasumeria na wao walifundishwa na kukopy kutoka kwa Wanupians.

Kwa mujibu wa HOLY TABLET kwenye kipengele cha "EPIC OF CREATION" Roho zetu ambazo ni uhalisia wetu tumepitia safari ndefu mno through time, space na existence kabla kabisa hakujatokea kitu tunaita BEHAYMAW (Human Beast) na HUMIM BEINGS.

Neno HUMIM, kiumbe wa HU ambayo inamaanisha Creative force of Will/Nguvu ya uumbaji, na neno Mim ambalo ni sawa na neno MAMI linamaanisha "Deity Of Birth" Mungu wa Uzazi. hIlo linakwenda sambamba na Mungu mke NINTI huko Sumeria ambaye alizaa viumbe wenye miili. Hilo pia linakwenda sambamba na SOPHIA kwenye Gnosticisms, ambapo Sophia alizaa watoto ambao waliumba viumbe vyenye miili, watoto wanaitwa Bad boys (Yahweh, Jehova) jina lao kiujumla kwenye Gnosticism ni "DEMIURGES". pia neno MANE kilatini linamaanisha "Spirit of The dead" Roho za Wafu.

Kwakufupisha, Kutoka kwenye ERIDU/WORD kulitokea Nuru ambayo ilijigawanya pande mbili.

1. Pure Green Light /Original Light

Nuru halisi, ambayo ilijidhihirisha yenyewe kuwa Etheric beings (Viumbe wasio na Miili) tukapata AGREEABLE ANUNNAKI/ANUNNAGI au SARUFAAT yaani MASERAFI kwenye Biblia ndipo tukapata Benevolent Beings SUPREME BEINGS Kwahiyo Anunnaki walijiumba wenyewe kutoka kwenye Nuru. (PURE GREEN LIGHT).

2.Kwahiyo kipande cha pili kilikuwa ni NURU ISIYO HALISI. IMPURE AMBER LIGHT (FIRE) hapa wakatokea SUB -SUPREME BEINGS, DIS - AGREEABLE ANUNNAKI.Ambao walifahamika kama GURAFAAT yaani "Cherubeem" Makerubi kwenye Biblia. Hapa tukapata MALEVOLENT BEINGS /Viumbe waovu. Kwahiyo hawa Anunnaki wa mlengo wa Kushoto nao walijiumba wenyeww kutoka kwenye nuru dhaifu (Moto) IMPURE AMBER LIGHT (FIRE) tukapata neno JINNS hapo ndipo hadithi ya Qur'an ya Majini kuumbwa kwa Moto ilipo tokea.

Kumbuka maelezo hayo yapo kwenye maandiko ya Waafrika kitambo zaidi kabla ya hizi Dini, hiyo ni NUWAUBU WAY OF LIFE

Ni mfumo wa kiimani ulikuwa ukifundishwa na watangulizi wetu wa kwanza kabisa.

SASA INAKUWAJE MWANADAMU NA YEYE KUHUSISHWA KUWA "SUPREME BEINGS FROM PURE GREEN LIGHT"

WE ARE THE SUPREME BEINGS, HUMIM BEINGS tulikuwa tukifahamika hivyo, Baada ya ANU kutoa amri kwa Roho za wanadamu (HUMIM BEINGS/SUPREME BEINGS) ziwe imprisoned tufungwe jela ndani ya miili ya kifizikia na kuhamishiwa PLANET TIAMAT ambayo ni pLANET EARTH kwa sasa. Tulitokea ILLYUWN galaxy ya 19 pia inafamika kama The place "On High" yaani Mahala pa Juu, baada yakuwa mateka tukabadilishwa jina kutoka HUMIM BENGS - SUPREME BEINGSna kuwa HUMAN BEINGS

Huoni neno HUMIM BENGS na neno HUMAN BEINGS yanafanana? Je, unahisi ni bahati mbaya?

Tutaendelea.

WE ARE THE SUPREME BEINGSView attachment 2801606
Hii darsaa ya ki freemasons
 
Back
Top Bottom