Not only insane BUT total insanity
FMES said:Kamati ya bunge ya mahesabu ianzishe utaratibu wa kuweka wazi matumizi ya ofisi mbali mbali za serikali na hasa mishahara ya maofisa wa serikali, I mean mimi sikujua kwamba tuna wananchi wanaolipwa mpaka Shillingi Millioni 18, garademiti that is 18,000 USD are you kidding me or what hivi unajua what it takes kwa US government kukulipa hela kama hizo tena monthly?
- Yes insanity, damn right!, eti Tanzania tuna ofisa wa serikali anayelipwa USD 18,000 a month? nothing but insanity!
Respect.
Kamanda FMEs!
09/08/2007
MOSCOW (AFP) - The richest 10 percent of Muscovites are 41 times richer than the poorest 10 percent, a gap that dwarfs the national divide, Russia's state statistics service said Thursday.
"Moscow's richest 10 percent earned 41 times more in 2006 than the poorest 10 percent," state statistics service assistant director Leonid Arshon told AFP.
Nationwide, there was a 15-fold gap in earnings, he said - up from a gap of 10 times in 2001 and 14 times in 2003.
Russian Academy of Sciences economist Ruslan Grinberg warned that in countries where the gap is a factor of 10 or higher, "the conditions are created for social disorder."
"The only place that rule doesn't hold is in America, where the coefficient holds steady at 10-12. But there it is considered normal, since their philosophy differs from ours," he told daily newspaper Izvestia.
The state statistics service puts the official poverty level at 15 percent nationwide, while Kremlin economic advisor Arkady Dvorkovich has said the real level may be over 25 percent.
Insurgent:
Raising the low wages to 150,000/- brings us to 10-fold gap. Safe?
Kwanini katika kupunguza matumizi na kuleta mantiki tusiamue kupunguza matumizi kwa viongozi wote wa umma kuanzia Rais, Makamu, Majaji, Wakuu wa majeshi, vyombo vya umma, Wabunge n.k Hiyo ndiyo movement ya kuungwa mkono; lakini hii ya kuchagua mtu mmoja tu...
Kwanini katika kupunguza matumizi na kuleta mantiki tusiamue kupunguza matumizi kwa viongozi wote wa umma kuanzia Rais, Makamu, Majaji, Wakuu wa majeshi, vyombo vya umma, Wabunge n.k Hiyo ndiyo movement ya kuungwa mkono; lakini hii ya kuchagua mtu mmoja tu...
Wakati wanafunzi wa Chuo Kikuu walipoandamana kwenda Ikulu ya Nyerere mwanzoni mwa miaka ya 70 kupinga kulazimishwa kuingia JKT na wakidai kuwa kama wataenda JKT basi muda watakaokuwa kule walipwa kama watumishi wa umma, Nyerere aliamuru mishahara ya watumishi wote ikatwe kwani inaonekana ni anasa. Na mishahara yote ikakatwa ili kupunguza hisia kuwa kuna watu wanaishi kifahari mno kutokana na mishahara yao.
Kama tunataka kumkatia "Spita" matumizi ili kuonesha kuwa tunajali hali ya maisha ya watu na kuleta nidhamu ya fedha.. tukate matumizi ya serikali nzima. Lakini ili tujue tunachokata ni kiasi gani hatuna budi kujua viongozi wengine wote wanalipwa kiasi gani, mapango, na pecks nyingine.
Hapa tuwaangalie viongozi wafuatao tu na mtu yeyote mwenye data atumwagie hapa:
Rais
Makamu wa Rais
Waziri Mkuu
Rais wa Zanzibar
Spika na Naibu wake
Mawaziri
Manaibu Waziri
Wakuu wa Majeshi (JWTZ, Polisi, Usalama wa Taifa, Magereza n.k)
Wabunge wote
Wakurugenzi wa taasisi za umma wanaoteuliwa
wanalipwa mshahara wa kiasi gani?
Je wanalipwa posho ya kiasi gani kwa safari ya ndani au ya nje?
Je mawaziri wanapopangishwa nyumba huwa wanalipa kiasi gani?
Pecks zao nyingine ni zipi?
Mijadala yetu watanzania wakati mwingine huwa ninapata nayo shida sana. Mara kwa mara tunaangalia mtu na kuachana na hoja kabisa. Hebu nije kwenu kwa kuangalia mtu. Lengo ni kupanua tu mjadala ili mjaribu kuona kuwa suala la malipo au stahili za dhamana ya kikatiba ni suala la kuliangalia kwa mapana yake.
Agalia mifano ifuatayo.
1. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania mshahara wake ni 16,000,000 kwa mwezi
2. Kamishna Mkuu wa TRA analipwa sh 18,000,000 kwa mwezi
3. Mkurugenzi Mkuu wa TBC analipwa sawa na Gavana wa Benki Kuu.
4. Orodha ni ndefu na hao wote mshahara wao (mshahara tu bila marupurupu mengine) ni zaidi ya ule anaopata Rais wa Nchi (Rais analipwa 5.4m kwa mwezi).
Turudi kwenye hoja, malipo ya nyumba ile yanaendana na soko? Taratibu zilifuatwa? Lakini kama lengo lenu ni kumsulubu Sitta, mnaweza kuendelea na wala hamtapata suluhisho maana kesho akiwa Spika Slaa au Hamad Rashid au Marmo nk, atalipiwa nyumba hivyo hivyo kama hatutamaliza tatizo la Nyumba kwa viongozi wa Kikatiba.
Fenicha za 200m zilizonunuliwa kwa ajili ya nyumba ya Spika, ndizo hizo hizo na thamani hiyo hiyo ambayo amenunuliwa Jaji Mkuu na ni zaidi ya hapo alizonunuliwa Waziri Mkuu amara alipoteuliwa maana PM anaetoka hutoka na kila kitu alichokuwa anatumia (wanasema ndio commonwealth tradition)
Implies=> Tumseme Raisi tusimseme Kikwete, Tusimseme Lipumba tuseme CUF, Tusimseme Sitta tuseme Bunge (au Spika wa bunge). Mmmm; ati hapo sijui kuna mantiki ipi unataka kutwambia? The president is Mr. Kikwete, what is a difference between critisizing Kikwete and his Presidency? Bunge la Sita na Sita; wapi na wapi?Yakhe Ba Seifu ni haki yake kama kiongozi au Waziri kiongozi mstaafu,na kama hufahamu bado anapata ulinzi kutoka serikalini ni yeye mwenyewe tu kuukubali au kuukataa. Na hajawahi kukaa na kusema nani na nani wanapokea fedha nyingi kwa mujibu wa malipo ya mishahara.
Sasa ukianza kusema habari ya Seif ,inakuwa tunarejea palepale kwenye kumfuata mtu au kumsema mtu ,tunatakiwa tupambane na serikali iliyopo madarakani na sio kusema Spika au Seifu ,hio itakuwa sio siasa ni choyo ,let us talk about Chama na serikali yake, kama nani na nani wanapokea mishahara mikubwa ,hilo sio kosa lao na wala wao sio waliojipangia ,it does not make sense kumsakama Spika au mbunge kuwa anapokea mshahara mkubwa ,tuisakame serikali kuwa inawalipa baadhi ya watu mishahara mikubwa ,pengine kwa sababu ya kuwarubuni ,ndio maana yake ,sasa SItta akisema kuwa yeye sio anaepanga matumizi yake ,mtasemaje si mtaumbuka tu ? Mimi pengine sielewi labda yeye ndie anaejipangia mshahara na hela ya matumizi ,na hata hivyo nani anaeidhinisha ?
Kwa hali yeyote ile ya kuibana na kuihoji ni serikali sio mtu binafsi au cheo chake ,huko ni kukosa uelewa na ndipo pale mnapoambiwa mnakurupuka na mnajibiwa kirahisi kabisa ,kama Sitta au Seifu wanapokea hela bila ya mpangilio ,nendeni mkaihoji serikali ,tena sio kumtaja mtu kwa jina tajeni kile cheo anachotumia kupokelea vijisenti hivyo vinavyowatoa roho & that'sall.
Wakuu heshima sana na huu mjadala ni very educative, kuna mengi sana hapa yamesemwa ambayo ni valid na hayakwepeki, ni muhimu sana hii debate ikapanuliwa katika sekta nyingi za serikali yetu ukianzia na ofisi ya rais hadi chini,
- Pamoja na kwamba Spika indiviually hana makosa kisheria kwa kuishi kwenye hii nyumba, ni kweli he is obligated kuangalia matumizi ya ofisi yake, kwa sababu hata Obama alipoingia amebadili mengi sana ya matumizi ya ofisi yake ili kupunguza matumizi ambayo yako okayed na sheria.
- Bunge letu lianze kujiangalia upya, kama kweli linaishi within our national financial means maana reading between the lines hii thread inaonekana kuna some financial abuse huko kwa visingizio vya sheria na hili ni kwa wabunge wote kuanzia CCM na hata Upinzani,
- Kamati ya bunge ya mahesabu ianzishe utaratibu wa kuweka wazi matumizi ya ofisi mbali mbali za serikali na hasa mishahara ya maofisa wa serikali, I mean mimi sikujua kwamba tuna wananchi wanaolipwa mpaka Shillingi Millioni 18, garademiti that is 18,000 USD are you kidding me or what hivi unajua what it takes kwa US government kukulipa hela kama hizo tena monthly?
I mean nilitaka kuu'dissmis huu mjadala, kwa sababu ya kukosekana kwa facts, lakini damn this is a valid national debate Tanzania tunakuwaje na maofisa wa serikali wanaoweza kulipwa US Dollars 18,000 kwa mwezi hela za kodi za wananchi? That is insane, sasa hawa wabunge wanafanya nini huko bungeni zaidi ya kwenda kukusanya pay day tu, yes hili la nyumba ya Spika ingawa halina anything to do na yeye binafsi as a leader kisheria, lakini ni justified tena 100% kulijadili as a starting point against matumizi mbaya ya hela za kodi za wananchi.
Respect.
Kamanda FMEs!
Masikini yeyote yule hajui thamani ya pesa! Na ndiyo maana maisha yake yote yeye ni masikini!Mh. Zitto na FMES,
Poleni sana kwa kazi ngumu ya kuelemisha watu walio na hasira mpaka wameshindwa kuona mambo mengi.
Kamati ya Bunge ilikuwa sahihi!
Heshima ya Bunge, Mahakama etc. lazima zionekane kila mahali mpaka kwenye utunzaji wa viongozi wake.
Zitto: Kwamba na viongozi wengine kama jaji mkuu, etc, wanalipwa kama Sitta, au wanapangishwa nyumba yenye gharama kama Sitta, au wana fanicha kama za Sitta hailalishi au kulifanya tatizo liwe dogo. Yote haya tulikuwa hatuyajui, gazeti la Tanzania Daima likaibua sasa tumeyajua. Sasa na wewe umetusaidia kutufahamisha kwamba hawa jamaa wa BoT na TRA ndivyo wanavyolipana, then actually umekolesha mjadala. Huu ni ufisadi wa kutisha kabisa na mimi ninashangaa sana sisi chadema tunalia na Mkapa kila siku kumbe kuna ufisadi wa kutisha kabisa kama huo ambao tunaujua na tumeukalia kimya!!
In short, hata kama ufisadi au kufuru ya matumizi ya fedha za umma yamehalalishwa kisheria haiondoi ukweli kwamba ni ufisadi. Hizo fedha wanazolipana ni kufuru kwa nchi hii yenye umaskini wa kutupwa. Wewe unajua vizuri sana kwamba hata wenzetu walioendelea sana na ambao ni matajiri wa kutupwa kama UK hawatumii fedha za walipa kodi kulipana kikufuru kama tunavyofanya sisi mapesa kama hayo. To me, this really is dirty, irritating and disgusting!
Kitila, umaskini wa Watanzania wengi ambao dalili zake tunaziona katika maisha yao unatokana na ukosefu wa fedha kwenye taifa?