Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

ni haki yao kuangalia kama wanapenda.......ok turudi kwenye hoja si kwamba ni tatizo spika kulipiwa hio nyumba tatizo ni kiasi gani na wakati hakuna nyumba ya bei hio masaki ya kuishi familia.....hata hivyo hio ni nyumba ya kukodi na tena spika aliomba nyumba ya serikali na akapewa baada ya kuwa spika kwa nini apangiwe nyingine na ya mwanzo hajarudisha?????????????kwa nini alikaa nyumba ya zamani miaka 3 lakini sasa ndio kaona kuwa haifai si angengoja nyumba mpya wanayomjengea............kuna nyumba ya serikali kule masaki ya ghorofa ambazo wanakaa mawaziri ile ya makongoro mahanga na nyingine ziko tupu mpaka leo,kwa nini asiende kukaa hio kwa muda

Mkuu hapa unaongelea masaki ya msata au masaki ya Dar es salaam peninsular?... Mitaa ile kiwanja kitupu(vichache vilivyobaki) sasa hivi kinauzwa USD 600,0000 na muuzaji hashuki, kununua hekalu la kispika bei ni kati ya 1m -2.5m USD, jiulize kupangisha itakua ngapi.
 
Hapo chakujiuliza hizo bei ni za free market or monopolistic na je haziko inflated kwasababu ya policing mbaya ya maendeleo katika nchi? Hapo nadhani ndo spika anapoingia kama institution kwani hiyo inatoa signal of what is prevailing in terms of our development policies.

Kwa mtizamo wangu hiyo demand iko created na si according to free market policies.

Why?

Angalia masaki inavyotofautiana na Mbagala kwa mfano interms of security, social services na even planning. Labda wengine watasema kwasabu ya fukwe je huko mbagala na mtoni hakuna fukwe? Hakika Spika hazi a role to play in terms of policing lakini kama institution na si kama Sitta personality.

Ukiangalia utagundua hilo ni tatizo la elites na kimfumo maana kuna mambo mengi yamejificha humo ndani na output ndo hizo unrealistic pricing za asset na estates zetu nchini.

Nijukumu lakila mmoja kukataa ufisadi na kabila lote linalohusiana na ufisadi na hili linaanzia kwa wapanga sera na miradi ya maeendeleo. Watu waache mawazo ya 10% To work for the sustainable developement ya nchi yetu kwa ku involve active participation ya majority katika decision making na implementation ya decision hii ita spread whatever income we have as a country to the wider area na kuondoa biases zisizokuwa namaana yeyote ya umasaki, oysterbay, mbezi nakuziacha Mbagala, Yombo, and the like kwaajili ya classes fulani za watu na hivyo pricing kuto reflect bei halisi ya soko.
 
Wakuu sasa hapana tunamlaumu Sitta as a person au systme inayomruhusu Spika hata ukiwa wewe au mimi kukaa kwenye nyumba ya gharama hiyo. Kuna institutional corruption lazima tuikemee pia. Tatizo hakuna mwenye uwezo na hakuna mechanism ya kupambana na bunge as institution.

Kwa mtazamo wangu Sitta is the one to be blamed. Kwa sababu hata kama position yake inamruhusu kukaa katika nyumba ya 8 million kwa mwezi bado dhamira yake inatakiwa imrudi na yeye aone kama wananchi wangeambiwa wapitishe bajeti yake ya nyumba wangekubali au la! Au dhamira yake pia imekufa ?? Naamini anayo mamlaka ya kukataa such offers unless naye ananufaika na hiyo kodi ya nyumba!
 
Ndugu Matumaini nchi hii viongozi wetu tulionao si wakutumainiwa na wao hawahitaji kutumainiwana kwani wanajitumainia kivyaovyao, Kiongozi gani leo unafikiri anaweza kusema kuwa natoa shillingi kadha kutoka mshahara wangu usaidie wanainchi? alifanya hivyo Nyerere tu ingawa alilazimisha na mawaziri wake wafanye hivyo, Angalia Mabalozi kadhaa mjini DSM wanakaa na familia zao juu chini ni ofisi, je kwa mfano huyo Spika wetu angejengewa nyumba ndani ya ofisi za Bunge unafikiri angekaa? hata kama ingekuwa na marumaru za bei mbaya bado angeweka visababu tele ili tu aiache nyumba hiyo na kuhamia pahala pa kujitanua na mulemule angekata ganji yake, "Kenge ni kenge tu, haachi mila zake mpaka damu ya sikio imtoke"
 
Hapo chakujiuliza hizo bei ni za free market or monopolistic na je haziko inflated kwasababu ya policing mbaya ya maendeleo katika nchi? Hapo nadhani ndo spika anapoingia kama institution kwani hiyo inatoa signal of what is prevailing in terms of our development policies.

Kwa mtizamo wangu hiyo demand iko created na si according to free market policies.

Why?

Angalia masaki inavyotofautiana na Mbagala kwa mfano interms of security, social services na even planning. Labda wengine watasema kwasabu ya fukwe je huko mbagala na mtoni hakuna fukwe? Hakika Spika hazi a role to play in terms of policing lakini kama institution na si kama Sitta personality.

Ukiangalia utagundua hilo ni tatizo la elites na kimfumo maana kuna mambo mengi yamejificha humo ndani na output ndo hizo unrealistic pricing za asset na estates zetu nchini.

Nijukumu lakila mmoja kukataa ufisadi na kabila lote linalohusiana na ufisadi na hili linaanzia kwa wapanga sera na miradi ya maeendeleo. Watu waache mawazo ya 10% To work for the sustainable developement ya nchi yetu kwa ku involve active participation ya majority katika decision making na implementation ya decision hii ita spread whatever income we have as a country to the wider area na kuondoa biases zisizokuwa namaana yeyote ya umasaki, oysterbay, mbezi nakuziacha Mbagala, Yombo, and the like kwaajili ya classes fulani za watu na hivyo pricing kuto reflect bei halisi ya soko.

Felister,

Nimefuatilia hili suala na nashawishika kusema kuwa kuna mambo ambayo sina shaka nayo kuhusus hili tatizo.

1. Kuna kosa la kitaasisi ambalo linajaribu kutuletea hisia kuwa hadhi ya spika ni kubwa mno na kwa hiyo anastahili kupewa vitu hivyo hata ikibidi wananchi wale nyasi! Hili la hadhi ya spika linawahusu viongozi wengine kama alivyosema Zitto. Hatuwezi hata siku moja kutoa sababu za kuwaridhisha watu wenye akili kwa nini Gavana wa BOT anakomba 16m kwa mwezi au Kamishna wa TRA anatia ndani 18m kwa mwezi. Halafu bajeti ikipwaya tunaenda kukopa Denmark ambako PM wao anaendesha baiskeli! Ni uchizi na wote tunaonekana kama mateja.
2. Spika Sitta kama mtoto wa mlala hoi hawezi kukwepa lawama kukubali kukodishiwa nyumba ya dola 8000 kwa mwezi wakati ndugu zake wa karibu (naamini wapo huko Urambo) wanashindwa kupata Tshs 1000 kwa siku. Yeye alitakiwa kuwa wa kwanza kupinga matumizi ya kijinga kama hayo. Hata kama yamewekwa kwa mujibu wa sheria. Sheria isiyooendana na busara za kawaida ni upuuzi mtupu!
3. Matumizi makubwa ya viongozi akiwemo spika hayakubaliwi katika nchi masikini kama Tz. Kwa hiyo hapa spika Sitta anazungumziwa kama mtu ambaye tumeweza kupata data zake. Kwa hiyo tunahitaji kujua kwa usahihi kabisa na labda iwe thread inayojitegemea ili tujadili stahili za viongozi wetu, na nini wanapata. Hata kama mambo wanayopata yanaruhusiwa kwa mujibu wa sheria, lakini kama sheria zinapingana na hali halisi basi hazitufai. Kwa hiyo sikubaliani na watu wanaotetea matumizi ya hovyo eti kwa vile yapo kisheria.
4. Tunahitaji sasa kuangalia upya utaratibu wetu wa kufanya maslahi ya watumishi wa umma (civil servants) kuwa siri. Hili ndilo tatizo kubwa na linalosababisha watu waanze kuhalalisha takwimu za ajabu ajabu (za kihayawani) kuwa ni sawa tu kwa viongozi wetu.
5. Binafsi sikubaliani na hoja kuwa tunapinga matumizi hayo kwa sababu siyo sisi. Kwa maana nyingine tusubiri subiri zamu zetu ili tupate ki hivyo. Mimi siwezi kula mlo mzuri sana wanangu wakaishia makande. Ndivyo ninavyoishi na ningependa viongozi wetu wajaribu kula mlo ulio karibu sawa na wananchi wengine.
 
Huyu spika ambaye anasema kila kukicha anapambana na ufisadi na amejitoa muhanga liwalo na liwe halafu anafanya madudu haya ni kudhihirisha unafiki wake.Mjombangu ana nyumba ambayo anaishi balozi wa nchi ya ulaya inayoifadhili Tanzania na analipwa dola 4000 kwa mwezi.Ina vyumba 8 na viyoyoyozi mpaka jikoni na hili ndio muhimu ni "FULLY FURNISHED".Sasa sielewi nyumba ya dola 8000 ambayo haina fanicha?
 
Wabongo wanapenda umbea sana, jadilini issue sio MTU!

Huyu ni spika wa bunge la jamhuri na muajiriwa wetu tunaweza jadili matendo na matamshi yake ya kikazi,hata mimi siafiki tuzungumzie maisha yake binafsi lakini hili la nyumba na hadhi anayodhani anayo inatuhusu sana.
 
The fact that this issue has garnered so much attention clearly shows how Wazalendo are outraged with Bunge's, as well as Serikali, wasteful spending. Let me be clear as I can, this has got nothing to do with Spika Sitta as a person, but rather what has be done by his office under his watch. We are going to use this case to send a clear message to other public servant that these kinds of spending sprees are not going to be tolerated. And if a person is obsessed with lavish lifestyle, then he/ she should find another career. Bunge is there to serve the public interests and not to baby sit few elites, who are in power. To make a long story short, we must learn to live within our means.

I would like also to use this opportunity to commend the Hon. Dr. Slaa, who had the audacity to challenge the status quo. Two months ago, he proposed reduction in legislator's hefty salaries and channel the serving in helping the poor. As usual many, selfish and greedy legislators booed and labeled him a "Traitor." Unlike other legislators, Slaa understands many Tanzania are daily struggling to make their hands meet !
 
..Sitta ni kati ya mafisadi wa kwanza kabisa ktk siasa za Tanzania.

..uliwahi kuwa waziri wa ustawishaji makao makuu Dodoma. sasa chunguzeni madudu yaliyotokea wakati huo.

..inaelekea wengi ni vijana humu ndani kwa hiyo hamumjui tabia zake Samuel Sitta.

..kwa wanaomjua Samuel Sitta hii habari ya kufuja USD 10,000 per month kwa kupanga nyumba wala siyo jambo la kushangaza.

..Watanzania hatustahili viongozi wabinafsi kama Samuel Sitta.
 
Ni choyo tu wabongo hamna chengine ,mmeimaliza Zanzibar sasa mwageukiana wenyewe kwa wenyewe ,ivi dola 8000 ndio zinawatoa roho ,sasa napata akili kwanini kuna majambazi wengi na vibaka wa simu za mkononi.

Yaani dola alufu nane ndio tayari watu wengine wameanza kuona jamaa anafaidi ? Mnashindwa kufahamu kuwa nchi yetu si masikini ya kumlipa mtu dola hizo na haswa kutokana na cheo chake ,mnaacha mambo muhimu ya kujadili na kutafakari ,mnaenda kumvamia spika ,kweli umasikini kitu kibaya , sijui kama kuna mtu amewahi kushikwa na njaa ya kula na hana matumaini ya kupata mlo ,tabu yake unatamani ukimuona mtu anakula hungojei hata kukaribishwa unatamani umpokonye ule wewe na hapo ndipo walipo baadhi kama tuonavyo humu.

Ni njaa na umasikini wa kuona fulani anapata kingi , kama ni hivyo fanyeni siasa ili muwaondoe na kubadilisha yote hayo ,kwa maana kukaa na kusema mna mabo peke yake haitoshi wala haisaidii chochote ,toka yalikuwa mambo makubwa ya wananchi kuyaona ya ajabu mpaka sasa inaonekana ni nyimbo tu kama nyimbo zingine za kwenye redio au unaweza kufananisha na ze comedy tu,hayana mvuto kabisa ,maana hayasaidii chochote kile.

Fanyeni siasa sio kumuonea mtu kijicho ,sasa ingekuwa wewe ungetaka upunguziwe ? Timeona hapa sijui mbenge gani ameenda kuvamia ,eti wabunge wanalipwa mshahara mkubwa ? Sasa kama mshahara ni mkubwa na yeye unamkereketa basi angekuwa wa mwanzo kuukataa na kumwomba spika ampunguzie ,lakini wapi ,unabaki kupiga mayowe ,mshahara wa wabunge mkubwa huku unaisabu tarehe.

Siasa si mchezo wa kuigiza ni mambo kwa vitendo ,omba upunguziwe,jiuzulu ,wachia ngazi ,hio ndio siasa ,unapoona jambo haliendani na msimamo wako ni lazima uonyeshe kwa vitendo sio unakaa na kupiga makelele tu ,hio sio siasa itakuwa ni uchoyo kwamba kuna wengine nao wanapata fedha pengine baada ya muda kwa akili zao wakakupita kwenye maslahi na wao wakaendeleza zaidi wakakuwacha pale ulipo.

Spika aendelee kupata hiyo hela na mwengine nae pia aendelee ,siku nyie mlioko mstari wa mbele hapa mkifanikiwa kuukwaa utawala wa Nchi tuwaone mkikatakata mishahara yote ya waserikali ,ila msije mkaongeza zaidi ,tutashindwa kuwaelewa.
 
Hii miviongozi ya Tanzania na Afrika ni mipumbavu tu na miananchi na yenyewe ni mipumbavu. Huwezi hata kidogo kuhalalisha matumizi hayo ya fedha kwa mtumishi yeyote wa umma.

Hivi mbona wakati wa Nyerere hakukuwa na upumbavu kama huu? Miafrika bana....
 
Ni choyo tu wabongo hamna chengine ,mmeimaliza Zanzibar sasa mwageukiana wenyewe kwa wenyewe ,ivi dola 8000 ndio zinawatoa roho ,sasa napata akili kwanini kuna majambazi wengi na vibaka wa simu za mkononi.

Yaani dola alufu nane ndio tayari watu wengine wameanza kuona jamaa anafaidi ? Mnashindwa kufahamu kuwa nchi yetu si masikini ya kumlipa mtu dola hizo na haswa kutokana na cheo chake ,mnaacha mambo muhimu ya kujadili na kutafakari ,mnaenda kumvamia spika ,kweli umasikini kitu kibaya , sijui kama kuna mtu amewahi kushikwa na njaa ya kula na hana matumaini ya kupata mlo ,tabu yake unatamani ukimuona mtu anakula hungojei hata kukaribishwa unatamani umpokonye ule wewe na hapo ndipo walipo baadhi kama tuonavyo humu.

Ni njaa na umasikini wa kuona fulani anapata kingi , kama ni hivyo fanyeni siasa ili muwaondoe na kubadilisha yote hayo ,kwa maana kukaa na kusema mna mabo peke yake haitoshi wala haisaidii chochote ,toka yalikuwa mambo makubwa ya wananchi kuyaona ya ajabu mpaka sasa inaonekana ni nyimbo tu kama nyimbo zingine za kwenye redio au unaweza kufananisha na ze comedy tu,hayana mvuto kabisa ,maana hayasaidii chochote kile.

Fanyeni siasa sio kumuonea mtu kijicho ,sasa ingekuwa wewe ungetaka upunguziwe ? Timeona hapa sijui mbenge gani ameenda kuvamia ,eti wabunge wanalipwa mshahara mkubwa ? Sasa kama mshahara ni mkubwa na yeye unamkereketa basi angekuwa wa mwanzo kuukataa na kumwomba spika ampunguzie ,lakini wapi ,unabaki kupiga mayowe ,mshahara wa wabunge mkubwa huku unaisabu tarehe.

Siasa si mchezo wa kuigiza ni mambo kwa vitendo ,omba upunguziwe,jiuzulu ,wachia ngazi ,hio ndio siasa ,unapoona jambo haliendani na msimamo wako ni lazima uonyeshe kwa vitendo sio unakaa na kupiga makelele tu ,hio sio siasa itakuwa ni uchoyo kwamba kuna wengine nao wanapata fedha pengine baada ya muda kwa akili zao wakakupita kwenye maslahi na wao wakaendeleza zaidi wakakuwacha pale ulipo.

Spika aendelee kupata hiyo hela na mwengine nae pia aendelee ,siku nyie mlioko mstari wa mbele hapa mkifanikiwa kuukwaa utawala wa Nchi tuwaone mkikatakata mishahara yote ya waserikali ,ila msije mkaongeza zaidi ,tutashindwa kuwaelewa.

hahaha..hivi mkuu Mwiba Maalim Seif ameacha kupokea mafao ya waziri kiongozi mstaafu kutoka SMZ?
 
Said Powa na Mussa Mkama

MNAJIMU Mkuu Afrika Mashariki, Sheikh Yahya Hussein, amesema Spika wa Bunge, Samuel Sitta amekosea kuunga mkono Waraka wa Kanisa Katoliki unaotoa mwongozo kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao na kusisitiza kwamba, kauli yake ni hatari kwa nchi.

Mnajimu huyo alisema wakati akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake, Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam jana na kumtaka kuwa, Spika Sitta aache kuzungumza mambo ya dini, badala yake ajikite kwenye ukweli kuhusiana na suala la Waraka wa Kanisa Katoliki na Mahakama ya Kadhi.

Sheikh Yahya alisema, Spika aache kusema maneno ya maandazi. Alipoulizwa anamaanisha nini, alijibu: "Maana yake maneno ya kufurahisha tu ambayo hayastahili kutiliwa maanani."

Sheikh Yahya aliyasema hayo kufuatia mivutano inayoendelea juu ya kadhia ya kadhi pamoja na suala la Waraka wa Kanisa Katoliki walioutoa hivi karibuni unaozungumzia namna ya kuwapata viongozi pamoja na utoaji wa mafunzo ya elimu ya uraia makanisani.

"Unajua huyu Spika wa Bunge, Samwel Sitta yeye anaongea maneno ya maandazi tu, haongei ukweli kuhusu kadhi, pamoja na Waraka wa Kanisa Katoliki," alisema Sheikh Yahya.

Alisema ana imani kuwa kimsingi Waraka wa Kanisa Katoliki una lengo mahususi la kutetea masilahi ya Wakristo mahali popote nchini.

Hata hivyo, alimpongeza Askofu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo kwa kuwa kinara wa kuwatetea Wakristo.

"Nina imani kubwa kwamba, nia ya Pengo ya kutoa waraka huo ni kutetea masilahi ya Wakristo," alisema Sheikh Yahya.

Aidha, alimpongeza mbunge wa kuteuliwa, Kingunge Ngombale-Mwiru kwa kusema ukweli na kuonyesha hisia zake kuhusiana na waraka huo na aliwatahadharisha viongozi wengine wa kisiasa kuwa kila fikra na mawazo yanayotolewa lazima yazingatiwe kwa uangalifu, vinginevyo yanaweza kusababisha mifarakano.

Alimtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutoyumbishwa na maneno ya watu wanaopenda kupindisha mambo kwani Muungano waTanzania hautavunjika milele.

Akizungumzia Mahakama ya Kadhi, Sheikh Yahya alisema, Sheria iliyounda Mahakama za Kiislamu ilisema katika Tangazo la Serikali Namba 8 la 1925 (Rules of Court Proceedings) kwamba; masuala au mashauri yote ya ndoa, mirathi, talaka na kadhalika, yatashughulikiwa katika mahakama hiyo.

Alisema sheria ilitaka masuala hayo yasikilizwe na kuhukumiwa katika Mahakama ya Kadhi au Liwali (hakimu) kulingana na matakwa ya wahusika katika shauri na sehemu zilizopo katika mahakama hizo.

Alisema Mahakama ya Kadhi itarudi tu kwa kuwa asili ya mahakama hiyo ilikuwepo na iliondolewa pasipo kutolewa sababu na katiba ya nchi haizungumzii kufutwa kwake.

Alidai kuwa kilichofanyika ni kwamba, Mheshimiwa Waziri wa Sheria wakati wa hotuba yake ya Bajeti ya mwaka 1963 wakati alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya Sheria Juni 1963 alitumia maneno ya kutatanisha kwa kuchanganya pamoja majina ya kadhi, jaji na mahakimu.

"Sasa Mheshimiwa Khatibu ( Spika), nageukia upande wa huduma za sheria yenyewe. Idara hii itakuwa na Kadhi Mkuu mmoja yaani Chief Justice, Makadhi wadogo, Kadhi Mshirika (Associate Judge), Mshauri wa kuunganisha mahakama na wasimamizi wa kufanya kazi ya ukaguz,

i ili kuhakikisha kwamba kuna uendeshaji bora wa kazi za sheria, atakuwepo Msajili, (Registrar), Naibu Msajili, Makadhi wadogo (Senior Resident Magistrates) 36, Makadhi wadogo wengine (Senior Magistrates) wanne, Mahakimu wa Wilaya (District Magistrates)," alisema Sheikh Yahaya akidai kuwa ni nukuu ya maneno aliyosema waziri wa sheria wa mwaka 1963.

Alidai kuwa maelezo hayo hayaonyeshi kufutwa katika Hansard za kikao chochote cha Bunge au kwa mujibu wa sheria za nchi tangu wakati huo mpaka sasa.

"Tunashangaa makanisa hivi sasa yana wasiwasi gani na unatokea wapi?" alihoji Sheikh Yahaya.

Mjadala wa Mahakama ya Kadhi unaendelea kupamba moto nchi nzima baada ya serikali kusema Kadhi hataruhusiwa kuwepo, badala yake sheria zinazohusiana na masuala ya Kiislamu zitaingizwa katika sheria za nchi na kutumiwa katika mahakama za kawaida.

Tangu taarifa hiyo ilipotolewa bungeni na Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe wakati wa kuwasilisha bajeti yake kwa mwaka 2009/10, kumeibuka mjadala ambao umewagawa wananchi wa kada mbalimbali wakigawanyika katika makundi mawili.

Kundi moja linapinga kufutwa na lingine linaunga mkono kwa madai kuwa, ikianzishwa itasababisha vurugu kwa sababu kila dini itataka iwe na mahakama yake.
Hata hivyo, asilimia kubwa inakubali kuanzishwa kwa mahakama hiyo nje ya katiba na kwamba iendeshwe kama taasisi nyingine za kidini badala ya kutumia fedha za serikali zinazotokana na kodi za wananchi wa dini zote.
SOURCE:MWANANCHI.
 
Mkuu hapa unaongelea masaki ya msata au masaki ya Dar es salaam peninsular?... Mitaa ile kiwanja kitupu(vichache vilivyobaki) sasa hivi kinauzwa USD 600,0000 na muuzaji hashuki, kununua hekalu la kispika bei ni kati ya 1m -2.5m USD, jiulize kupangisha itakua ngapi.
Unajua unaweza kuwaunapenda kutetea jambo lakini ukawa mjinga kutokana na uwezo wako wa kuelewa........kwa taarifa yako thamani ya kweli ya nyumba ya sitt kwa mwezi ni shillingi millioni tatu na nusu na alioikodisha kwa bunge ni Ruppia investment....na wao sio ya kwao ila wamekodi kwa wakenya na wanakula cha juu zaidi ya million saba,....masaki hakuna nyumba ya familia inayizidi dola elfu 5,Nitajie hio nyumba sio unalopokatu hapa .huu ni wizi
 
Rejea: Mahalu Prof. Hivi mbona hawa eti viongozi wasomi ni wapumbaf kuliko vichaa wa mirembe dodoma?
 
Wakuu heshima sana na huu mjadala ni very educative, kuna mengi sana hapa yamesemwa ambayo ni valid na hayakwepeki, ni muhimu sana hii debate ikapanuliwa katika sekta nyingi za serikali yetu ukianzia na ofisi ya rais hadi chini,

- Pamoja na kwamba Spika indiviually hana makosa kisheria kwa kuishi kwenye hii nyumba, ni kweli he is obligated kuangalia matumizi ya ofisi yake, kwa sababu hata Obama alipoingia amebadili mengi sana ya matumizi ya ofisi yake ili kupunguza matumizi ambayo yako okayed na sheria.

- Bunge letu lianze kujiangalia upya, kama kweli linaishi within our national financial means maana reading between the lines hii thread inaonekana kuna some financial abuse huko kwa visingizio vya sheria na hili ni kwa wabunge wote kuanzia CCM na hata Upinzani,

- Kamati ya bunge ya mahesabu ianzishe utaratibu wa kuweka wazi matumizi ya ofisi mbali mbali za serikali na hasa mishahara ya maofisa wa serikali, I mean mimi sikujua kwamba tuna wananchi wanaolipwa mpaka Shillingi Millioni 18, garademiti that is 18,000 USD are you kidding me or what hivi unajua what it takes kwa US government kukulipa hela kama hizo tena monthly?

I mean nilitaka kuu'dissmis huu mjadala, kwa sababu ya kukosekana kwa facts, lakini damn this is a valid national debate Tanzania tunakuwaje na maofisa wa serikali wanaoweza kulipwa US Dollars 18,000 kwa mwezi hela za kodi za wananchi? That is insane, sasa hawa wabunge wanafanya nini huko bungeni zaidi ya kwenda kukusanya pay day tu, yes hili la nyumba ya Spika ingawa halina anything to do na yeye binafsi as a leader kisheria, lakini ni justified tena 100% kulijadili as a starting point against matumizi mbaya ya hela za kodi za wananchi.

Respect.

Kamanda FMEs!
 
hahaha..hivi mkuu Mwiba Maalim Seif ameacha kupokea mafao ya waziri kiongozi mstaafu kutoka SMZ?

Yakhe Ba Seifu ni haki yake kama kiongozi au Waziri kiongozi mstaafu,na kama hufahamu bado anapata ulinzi kutoka serikalini ni yeye mwenyewe tu kuukubali au kuukataa. Na hajawahi kukaa na kusema nani na nani wanapokea fedha nyingi kwa mujibu wa malipo ya mishahara.

Sasa ukianza kusema habari ya Seif ,inakuwa tunarejea palepale kwenye kumfuata mtu au kumsema mtu ,tunatakiwa tupambane na serikali iliyopo madarakani na sio kusema Spika au Seifu ,hio itakuwa sio siasa ni choyo ,let us talk about Chama na serikali yake, kama nani na nani wanapokea mishahara mikubwa ,hilo sio kosa lao na wala wao sio waliojipangia ,it does not make sense kumsakama Spika au mbunge kuwa anapokea mshahara mkubwa ,tuisakame serikali kuwa inawalipa baadhi ya watu mishahara mikubwa ,pengine kwa sababu ya kuwarubuni ,ndio maana yake ,sasa SItta akisema kuwa yeye sio anaepanga matumizi yake ,mtasemaje si mtaumbuka tu ? Mimi pengine sielewi labda yeye ndie anaejipangia mshahara na hela ya matumizi ,na hata hivyo nani anaeidhinisha ?

Kwa hali yeyote ile ya kuibana na kuihoji ni serikali sio mtu binafsi au cheo chake ,huko ni kukosa uelewa na ndipo pale mnapoambiwa mnakurupuka na mnajibiwa kirahisi kabisa ,kama Sitta au Seifu wanapokea hela bila ya mpangilio ,nendeni mkaihoji serikali ,tena sio kumtaja mtu kwa jina tajeni kile cheo anachotumia kupokelea vijisenti hivyo vinavyowatoa roho & that'sall.
 
Back
Top Bottom