shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,157
- 10,357
Kuna siku huna vibe la kutaka kujuana na watu wapya!Sasa si ndo mwanzo wa kujuana, au havutii 😹😹😹
Kuna siku huna vibe la kutaka kujuana na watu wapya!Sasa si ndo mwanzo wa kujuana, au havutii 😹😹😹
Kuna wengine kwenye usafiri wa umma wanaachia ushuzi wa kipuuzi sana , halafu ni wakwanza kufunika puaAu ukae na bonge halafu yeye Yuko dirishan anakaa siti moja na nusu we Unabaki unaning'inia hapo mwanzoni🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo mbinu ya kimafia Sana,asijulikane kama ni yeye aliyejamba😀😀😀Kuna wengine kwenye usafiri wa umma wanaachia ushuzi wa kipuuzi sana , halafu ni wakwanza kufunika pua
Au ukae na bonge halafu yeye Yuko dirishan anakaa siti moja na nusu we Unabaki unaning'inia hapo mwanzoni🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa sisi wenye pua za ki FBA huwa tunatambaa na frequency za ushuzi tutakutambua tu , ogopa sana ule ushuzi wa wala mayai ya kushemshaHiyo mbinu ya kimafia Sana,asijulikane kama ni yeye aliyejamba😀😀😀
Shenzi nimecheka😆Mama mwenye mtoto;Mwanangu amka ule na mjomba
Mjomba Mwenyewe; mimi sili sasahivi Naweka kwaajili ya daku 😅
Bila Shaka hii ni michezo yako min sema kweli? 😹😹😹Kuna wengine kwenye usafiri wa umma wanaachia ushuzi wa kipuuzi sana , halafu ni wakwanza kufunika pua
Kuna wengine wanaongea mpaka mambo ya nyumbani kwao kwa sauti ilihali haviwahusu abiria wengine, utasikia...mmebandika maharage? Mama flani amekuja hapo nyumbani? n.kKukaa na mtu anayeongea Sana☹️☹️☹️☹️ Yaani muda wote anataka mpige story Tu!
Mimi kwenye usafiri wa umma huwa nagomba kwa sauti ya juu sana kwa wale wanaojamba ushuzi wa kipumbavuBila Shaka hii ni michezo yako min sema kweli? 😹😹😹
Siku nyingine usigombe na wewe achia wako mpk gari zima mfungue vioo okay? 😹😹😹Mimi kwenye usafiri wa umma huwa nagomba kwa sauti ya juu sana kwa wale wanaojamba ushuzi wa kipumbavu
Halafu wanalioko mbioni kuachia huo ushuzi huwa wanatulia kama wanaingiza uzi kwenye sindandoSiku nyingine usigombe na wewe achia wako mpk gari zima mfungue vioo okay? 😹😹😹
Mdada wa kazi huyo unataka apotee?Kukaa karibu na mtu kila muda anaongea na simu akisema kafika wapi
kitu ambayo sipendiAcha kuwaza ngono
Kukaa karibu na masingo mazaKatika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu.
Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?