Ni tabia gani inakukera ukikutana nayo unapotumia usafiri wa basi?

Ni tabia gani inakukera ukikutana nayo unapotumia usafiri wa basi?

Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu.

Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?
kukaa siti moja na mwanamke mwenye mtoto, kukaa siti moja na msukuma au mmasai ambae amekaa dirishani na hataki kulifungua kwa kuogopa baridi, huku akitoa harufu mbaya ya mwili kwa kutokuoga muda mrefu na muda mwingine anaachia mishuzi ile yusufuuuu bila aibu, huku akipiga chafya na kutoa miayo .....waaaayi
 
Ni pale mwanaume umekaa Kuna mwanaume mwenzako amesimama began anakugus gusa na mboo alafu amelilax ata kujibalance kukumamake zake👺👺
#HII ni daladala
Ila we jamaa wewe 🤣 🤣 🙌 🙌
 
Mimi kuna lijamaa nilipanda nalo basi, kwanza likafosi kukaa dirishani nikaona poa haina shida.

Huyu bwege alikua analala mpaka anakoroma, ubaya akilala ananiegemea, ikawa kila likinilalia nalistua linaamka, linakaa kama dk5 linalala tena, nikaona isiwe taabu, nikaliacha likalala mpaka usingizi ukalikolea kweli kweli.

Nilipohakikisha liko ndotoni nikaliseti vizuri likalala mapajani kwangu(muda huo niliichezea dushe ikawa wima kama mlingoti) kisha kiutaratiiibu nikalishikisha dushe halafu nikajifanya na mie nimelala.

Abiria wa pembeni walipoona wakastuana wakaanza kuangalia huku wanacheka tu.

Baadae linakuja kustuka linajikuta lipo mapajani kwa mwanaume, mkono mmoja umeshika dushe, halafu ule udenda wake umelowanisha pale juu ya zipu likapagawa, likaanza kunikoromea, hapo ndo nikawa mkali kama mbogo mpaka basi zima wakajua

Mie nikawa nafoka kwa sauti ya juu kabisa " yaani umeona nimelala ukaamua kunichezea mboo yangu, ona mboo mpaka imesimama, halafu abiria wamekuona unajidai kuzuga, hebu tazama nguo yangu ilivyolowa, ina maana umeninyonya mpaka nimekojoa"

Ilibidi nibadilishiwe seat maana vita kubwa sana ilikua inaelekea kutokea
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌 Daaaah
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Visa vya watu humu ndani... 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Niliwahi simama kutokea tanga KABUKU mpaka Dar es salaam

Siji sahau
Mie niliwahi kupeleka gari private kahama shinyanga, nilifika mchana,nikajiona mjanja siwezi kulala kahama,nikavizia gari za kutoka Uganda v Bukoba nikadandia.

Nilivyopanda nikakuta karibu nusu ya basi ni mizigo tupu, halafu nusu ndio abiria na wengine wamesimama.

Konda akaniambia utapata seat muda si mrefu na mie nikajipa moyo.

Oya sio poa, nilisimama toka kahama mpaka dodoma ndio nikapata seat
 
Oyaaa sio poa..
Ulichukulia poa kumbe et 😂😂😂😂🙌🙌🙌 hata mi nilifikilia hv hvo nitapata siti nakuta watu hawashuki.

Pale kuna wadada walishindwa kuvumilia wakakaa chini..
Kuna jamaa nae hv hv alishindwa vumilia akakaa chini...

Mi peke angu gari zima nilikaza aiseee ila huku chini miguu haina kazi
 
1,sipendi kukaa na mtu anaongea sana,aisee sipendi mazoea ya safarini,
2,,sipendi unakaa na mtu ananunua vitu vya kula halafu anakulazimisha ule🙌,,coz msimamo wangu simpi mtu chakula changu ndani ya bus,sipokei na sitoi.
 
Mhmm , kwenye usafiri wa umma kuwa humble mda mwingine ni kitu kizuri , nakumbuka tulipata ajali ya basi 2010 maeneo ya magugu , kuna dada alikua na nyodo wakati tumekaa ila mwisho wa siku alihitaji msaada wangu wa kumchomoa chini ya siti😊
 
Eeh ndiyo unakuwa humble lkn mtu asizidishe kuongea sana wengine kuongea tunaona shida😁,,
 
Back
Top Bottom