Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,857
- 136,481
😁😁😁,yaan kama ninakoelekea sijawahi fika🏃Ukipanda usafi wa umma usikaze sana 😅
😁😁😁,yaan kama ninakoelekea sijawahi fika🏃Ukipanda usafi wa umma usikaze sana 😅
Uko kama Mimi asee.. huwa inanikata sana hiiSipendi mabasi yanayoruhusu wachuuzi waingie ndani. Sipendi na watu wa dini wanaojifanya kuja kuombea safari wakati abiria wenyewe wana uwezo wa kufanya hayo maombi.