Ni tabia gani inakukera ukikutana nayo unapotumia usafiri wa basi?

Ni tabia gani inakukera ukikutana nayo unapotumia usafiri wa basi?

Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu.

Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?
kukaa karibu na pisi kali huku ikitamani tupige stori huwa nakereka sana.
 
Kukaa siti moja na mtu anatoa harufu za ajabu ajabu...

Unapata mtu kwapa linatema harufu kali, au unapata mtu anatema harufu kali ya kinywa, au unakuta umekaa na mmasai kashajipaka masamli mwilini...
 
Kukaa siti moja na mtu anatoa harufu za ajabu ajabu...

Unapata mtu kwapa linatema harufu kali, au unapata mtu anatema harufu kali ya kinywa, au unakuta umekaa na mmasai kashajipaka masamli mwilini...
Dah kuna safari niliteseka tena ni zaidi ya 1000km, harufu ya kinywa afu anataka tupige stories muda wote aisee🙌
 
Back
Top Bottom