Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

Huyu nyoka ni wa ajabu sana nakumbuka mwaka mmoja nlitaka kufua nguo(mtoni) nikaahirisha nikaziacha nguo hapo hapo nkaenda home
Kesho nikarudi nkazikusanya nguo mpaka home na kuziweka chumban jion sasa tuwashe kibatar ile harufu ya mafuta bwana ilimtoa ndani ya zile nguo....palichimbika aisee
Duh
 
Mkuu twende taratibu....ni utoto tu kumbuka nlikuwa std 5 kipindi hicho.

Ok basi alivyotoka kweny zile nguo baada ya harufu ya m/taa akawa kakasirika balaa maana mafuta ni sumu kwao hivyo akajihami kwa kukimbilia uvungun mwa kitandan ( kama ujuavuvyo kijijini jiko,stoo,kuku,kitanda humu humu) hivyo ikawa shida kumuua. Anahamia hapa mnarukia huku ikawa mbilinge mpaka kama saa 7 hivi jamaa angu akakosea step-akachomwa mguuni na mwiba wa mkiani(huyu nyoka ana kamwiba kadooogo chini ya mkia kana sumu kali sana wanasema bora akugonge na jino kuliko mkia)

Hapo hapo tukaahirisha zoezi la kummua tukatafuta wazee wanaojua tiba. Sasa uzur pale kijijin kuna wataalam wa hizo tiba yaan ukitaja tu jina la nyoka aliekudhuru utaambiwa mzee fulan ndo mtaalam wa dawa za huyo nyoka,tukampeka jamaa kwa mzee husika (good luck mzee Hugo yupo mpaka leo pale kijijin nkienda mapumziko namkuta)
Mzee alimpa dawa lkn jamaa mpaka navyoandika hapa hakupona kwa 100% maana mguu wa kulia ulikuwa kama mfupi hivi yaana anatembea kwa kuchechemea toka 1995 lilivyotokea hilo tukio.

Tukaambiwa huyo nyoka bora akung'ate na mdomo kuliko akuchome na mwiba wa mkiani
Aisee pole yake sana masikini
 
Akiwa analima, alimzoa kifutu na jembe akamng'ata pajani. mguu ulivimba ukatoa malengelenge, yakapasuka ikawa kama unaoza, alitibiwa na mabingwa wa nyoka wa pande hizo lakini waliishia kuponya majeraha, mwenyewe anasema kuna muda anasikia mguu wake kama kuna nyoka anatembea kwa ndani. na ikitokea hivyo hupata kama kifafa au degedege na homa. hao mabingwa wa dawa za nyoka wamechemsha, muhimbili pia wameshindwa na hali yake haijatengemaa tangu wakati huo.
Aisee masikini anaumia poleni sana
 
Tabora region yote ni balaa kwa nyoka. Kuanzia wadogo. Vifutu.swila. sawaka. Cobra mpka huyo black mamba au koboko.
Pia vipo vinyoka flani hivi vidogo vyembamba vya kijani vinaruka pia. Hivo navyo balaa.
Vijijini kule usiku inabidi utembee na chungu cha moto au uji wa moto. Vinginevyo unashangaa mbele yako kuna nyoka kasimama unalingana nae.
Duh
 
Nmefanikiwa kuongea na yule mzee jana jion amenipa tips chache nikuulize ntakujia inbox na ukiruhusu tushirikishe na wanajamii kwa matumizi yao ya baadae maana bado hao nyoka tunaishi nao
Ubarikiwe mkuu kwa roho yako
 
Black Mamba msikie Anashika namba Tano kwa sumu Duniani Namba moja nyoka Anaitwa Taipan
 
Giant Python

Huyu nyoka ninamkubali sana,, napenda kuangalia VIPINDI vyake
 
Yap kuna mshikaji,aligongwa na kifutu tukiwa advance,bahati nzuri aliwahishwa Muhimbili,alitibiwa kama miezi mitatu,sijui hali yake mpaka Leo ikoje!Ila nakumbuka alirudi kumalizia shule.
Pole sana kwa Dada yako,mcheki jamaa awasiliane na hiyo babu mkuu,huenda Dada akapona kabisa
Akiwa analima, alimzoa kifutu na jembe akamng'ata pajani. mguu ulivimba ukatoa malengelenge, yakapasuka ikawa kama unaoza, alitibiwa na mabingwa wa nyoka wa pande hizo lakini waliishia kuponya majeraha, mwenyewe anasema kuna muda anasikia mguu wake kama kuna nyoka anatembea kwa ndani. na ikitokea hivyo hupata kama kifafa au degedege na homa. hao mabingwa wa dawa za nyoka wamechemsha, muhimbili pia wameshindwa na hali yake haijatengemaa tangu wakati huo.
 
Nmefanikiwa kuongea na yule mzee jana jion amenipa tips chache nikuulize ntakujia inbox na ukiruhusu tushirikishe na wanajamii kwa matumizi yao ya baadae maana bado hao nyoka tunaishi nao
???????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom