Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

Mkuu twende taratibu....ni utoto tu kumbuka nlikuwa std 5 kipindi hicho.

Ok basi alivyotoka kweny zile nguo baada ya harufu ya m/taa akawa kakasirika balaa maana mafuta ni sumu kwao hivyo akajihami kwa kukimbilia uvungun mwa kitandan ( kama ujuavuvyo kijijini jiko,stoo,kuku,kitanda humu humu) hivyo ikawa shida kumuua. Anahamia hapa mnarukia huku ikawa mbilinge mpaka kama saa 7 hivi jamaa angu akakosea step-akachomwa mguuni na mwiba wa mkiani(huyu nyoka ana kamwiba kadooogo chini ya mkia kana sumu kali sana wanasema bora akugonge na jino kuliko mkia)

Hapo hapo tukaahirisha zoezi la kummua tukatafuta wazee wanaojua tiba. Sasa uzur pale kijijin kuna wataalam wa hizo tiba yaan ukitaja tu jina la nyoka aliekudhuru utaambiwa mzee fulan ndo mtaalam wa dawa za huyo nyoka,tukampeka jamaa kwa mzee husika (good luck mzee Hugo yupo mpaka leo pale kijijin nkienda mapumziko namkuta)
Mzee alimpa dawa lkn jamaa mpaka navyoandika hapa hakupona kwa 100% maana mguu wa kulia ulikuwa kama mfupi hivi yaana anatembea kwa kuchechemea toka 1995 lilivyotokea hilo tukio.

Tukaambiwa huyo nyoka bora akung'ate na mdomo kuliko akuchome na mwiba wa mkiani
Hakika, ni Mara chache kupona kwa 100% ukigongwa na kifutu.
 
Kifutu ni nyoka mpole sana, yani hizi simulizi zake zinaniogopesha. Maana ndio nyoka pekee kipindi nasoma nilipiga nae picha akiwa mzima, ni nyoka mpole sana na ni mtaratibu pia. Kitu ambacho kinafanya niamin huyu nyoka ni hatari ni vile panya wana muogopa aisee. Chakuongezea ni kuwa ana meno mawili juu, marefu ni balaa. Wapo sana mikoa ya lindi, mtwara na usangu -mbeya .
Ni nyoka anayekufanya uoze ungali hai
 
Huyu nyoka ni wa ajabu sana nakumbuka mwaka mmoja nlitaka kufua nguo(mtoni) nikaahirisha nikaziacha nguo hapo hapo nkaenda home
Kesho nikarudi nkazikusanya nguo mpaka home na kuziweka chumban jion sasa tuwashe kibatar ile harufu ya mafuta bwana ilimtoa ndani ya zile nguo....palichimbika aisee
nini kilitokea?
 
Yule mzee alikuja na kifimbo fulan hivi akamrushia yaan nyoka makeke yote yaliisha tukachukua mchi na kumtwanga kiuraini kbs na zoez likaishia hapo.
Dada yangu aling'atwa na kifutu mwaka 1989 shambani, mpaka hivi sasa bado anaumwa.
 
Dada yangu aling'atwa na kifutu mwaka 1989 shambani, mpaka hivi sasa bado anaumwa.
Mkuu pole sana...anaumwa nini kwani?. Njoo PM nikuunganishe na huyo mzee tuone kama anaweza msaidia maana ni mtaalam sana wa tiba za nyoka especially hao vifutu. Aiseee very sorry ila tuamini atapona tu,ntajaribu kuulizia watu wa home tuone maana anatibu bureeee ni wewe tu ukipona unampa shukrani
 
Akiwa analima, alimzoa kifutu na jembe akamng'ata pajani. mguu ulivimba ukatoa malengelenge, yakapasuka ikawa kama unaoza, alitibiwa na mabingwa wa nyoka wa pande hizo lakini waliishia kuponya majeraha, mwenyewe anasema kuna muda anasikia mguu wake kama kuna nyoka anatembea kwa ndani. na ikitokea hivyo hupata kama kifafa au degedege na homa. hao mabingwa wa dawa za nyoka wamechemsha, muhimbili pia wameshindwa na hali yake haijatengemaa tangu wakati huo.
 
Polen ntawafowadia jamaa ujumbe wako huu then wampelekee atakachojibu ntakupa feedback
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom