Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

Picha tafadhari
Mnofu
a9924134843147d4ca76aa23d46f5645.jpeg
 
Nyoka funga kazi ni CCM. Waulize wadanganyika kila uchaguzi, nyoka huyu anakuja na kauli mbiu iliyopakwa asali, mgao wa kofia, fulana, vitenge, buku 5 na ubwabwa ni mtego wa kura.
Hatari ya nyoka huyu baada ya uchaguzi anajivua gamba na anaendelea pale alipoacha , kuwatumbua wadanganyika na kuwagawia umasikini. Ukikaidi kupokea umasikini, unapotezwa au unatekwa.

Nyoka huyu anapatika Afrika Mashariki.

Nilitaka ku-upload picha hapa lakini imepita Noah nyeupe. Nikipata muda nitaiweka baadaye.
#Daaaaaannhh nmechka had nimedinda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itaendelea? Tupe full story ndugu yangu mbona unatufanyia kama bongo movie?mpaka part 3? Mlifanikiwa vipi kumuua ?mkampeleka wapi?ngoz yake mlifanyia nini? Tupe abc mpaka z .sema yote usifiche kitu.
Njoo hom nkupe mm mkuu[emoji23][emoji23]
 
Kwa muda mrefu nasikia majina tofauti tofauti ya nyoka na sifa zake,hatari zake...lakini je ni yupi ndio kiboko ya yote...yaani funga kazi.anapatikana wapi

Wanasifika sana ni kama vile
Koboko,chatu,cobra,anakonda,futu, n.k

Tujuzane kidogo wakuu
Nyani
 
swali halijakaa vyema? ukubwa wa umbo ama ukubwa wa uwezo wa sumu yake kuua mapema?
 
Nyoka wote kiboko yao ni nyegere(honey budger)
 
Hivi anaconda ni kweli wapo na wanapatina kwenye misitu ya MTO AMAZON???
 
Annaconda ni nyoka wakubwa,wengine ni wa kawaida,ila cha kushangaza nyoka aina zote na wenye sumu kali na kutisha wakikutana na kamdudu fulani kama panya hivi ukubwa kama wa mbwa huwa kanawatafuna,hata kakigongwa na nyoka yoyote sumu humlevya na si kumuua, jina limenitoka.
 
Annaconda ni nyoka wakubwa,wengine ni wa kawaida,ila cha kushangaza nyoka aina zote na wenye sumu kali na kutisha wakikutana na kamdudu fulani kama panya hivi ukubwa kama wa mbwa huwa kanawatafuna,hata kakigongwa na nyoka yoyote sumu humlevya na si kumuua, jina limenitoka.
nyegere
Kale kapo kwenye movie ya bushman the gods must be crazy? Ni kabishiiiii
 
Nakumbuka 2013 tulikuwa MGAMBO JKT(kwa mujibu wa sheria-Awamu ya pili)..basi kuna bwawa lipo porini makuruta wengi walikuwa "wana-dojia" huko kukiwa na "mtiti" kikosini...basi siku moja Afande akiwa zamu ya kulinda kule aliua bonge la joka kwa risasi kama 5 hivi then wakalileta kikosini kutuonesha jinsi gani tupo kwenye RISK tunavyoendaga kule.. kuanzia siku hiyo watu waliogopa kchz kutokea pande zile yan ingawa kuna vichwa ngumu waliendea kulala maporini kama kawa...jeshini noma[emoji23][emoji23][emoji23]
835kj kabuku nilishuudia yule nyoka asee dude refu linatisha

Light outshines All and darkness swallows All
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom