Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,124
- 114,163
Napenda sana kuwafaham nyoka ila sio kwa kuwaona kwa nilivyozoea kuua hivi vijoka vidogo naeza kutana na black mamba OG nikajaribu kumuua ikala kwangu
Ulikuwa pale ukipiga kozi mkuu?835kj kabuku nilishuudia yule nyoka asee dude refu linatisha
Light outshines All and darkness swallows All
si nyegere.nyegere ana sifa ya jumla ya ukali.nyegere
Kale kapo kwenye movie ya bushman the gods must be crazy? Ni kabishiiiii
Vyemasi nyegere.nyegere ana sifa ya jumla ya ukali.
ila anayekula nyoka yeyote anaitwa mangoose au nguchiro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hako kanyama Ni nyoko haswa hakaogopi mnyama yoyoteMkuu jamaa yuko sahihi nyegere/ honey burger ndio kiboko ya aina yote za nyoka hata wenye sumu kali. Akimuona nyoka anamuattack directly bila kujali kung'atwa tofauti na nguchiro anaviziana na nyoka mpaka nyoka anapoishiwa nguvu na kuanzia kumla. Sumu ya nyoka ikishamjaa mwilini nyegere, anafaint then baada ya dakika kazaa ananyanyuka na kuendelea na safari.
Jibu lilipatikana kweli hapa😂Picha ya mtoa mada ama nyoka!
Embu fikiria kwenye mzinga wa nyuki anaingiza kichwa na kula yale masega bila wasiwasi wowote. Mwili wake haudhuriki na sumu ya aina yeyote ile, ni mnyama mwenye sifa za kipekee kabisa.
Honey burgerAnnaconda ni nyoka wakubwa,wengine ni wa kawaida,ila cha kushangaza nyoka aina zote na wenye sumu kali na kutisha wakikutana na kamdudu fulani kama panya hivi ukubwa kama wa mbwa huwa kanawatafuna,hata kakigongwa na nyoka yoyote sumu humlevya na si kumuua, jina limenitoka.
NyegereAnnaconda ni nyoka wakubwa,wengine ni wa kawaida,ila cha kushangaza nyoka aina zote na wenye sumu kali na kutisha wakikutana na kamdudu fulani kama panya hivi ukubwa kama wa mbwa huwa kanawatafuna,hata kakigongwa na nyoka yoyote sumu humlevya na si kumuua, jina limenitoka.
Anaconda kumbe nyoka kweli
Ulijua movie
Huyu mnyama nimewahi kushuhudia hasira zake siku moja tukiwa safarini usiku.
Embu fikiria kwenye mzinga wa nyuki anaingiza kichwa na kula yale masega bila wasiwasi wowote. Mwili wake haudhuriki na sumu ya aina yeyote ile, ni mnyama mwenye sifa za kipekee kabisa.
Sasa fikiria nyegere/honey burger angekuwa mkubwa Kama simba vile hahaha: nadhani angekuwa nnyama anayeongoza kwakukatisha maisha ya wanyama wengi including binafamu
Ana balaaa zitoHuyu mnyama nimewahi kushuhudia hasira zake siku moja tukiwa safarini usiku.
Tulipumzika kidogo kwa ajili ya watu kumwaga maji, kumbe taa za gari zilimmulika huyu kiumbe.
Duuh alipiga kelele huku ameumuka mwili wake, alikatisha barabara zaidi ya mara 20 tukiwa tumemulika aliko.
Huyu akikunasa nafikiri....
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaPicha ya mtoa mada ama nyoka!