Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,890
- 7,045
na ndo nyoka mpole zaidi, ila ukijichanganya ukamkanyaga kwisha habari yakoKifutu eti ndo nyoka mvivu kuliko wote duniani!! Hana haraka... Anaweza ingia uvunguni akaishi huko ata wiki zikakatika... Ila ukiingia 18 zake umekwisha! View attachment 499518