Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

Sasa na wewe una mambo ya ajabu sana. Unaachaje nguo mtoni?mbona smetme unafanya mambo ya ajabu?unaachaje nguo mtoni then kesho yake unaenda beba hata hukagui?hayo mambo ya ajab sana....ungesababisha maafa na leo hii tusingesoma post yako. Umenikwaza sana.

Haya elezea vizur kuanzia mwanzo ilikuaje mpaka kufikia hapo.
Mkuu twende taratibu....ni utoto tu kumbuka nlikuwa std 5 kipindi hicho.

Ok basi alivyotoka kweny zile nguo baada ya harufu ya m/taa akawa kakasirika balaa maana mafuta ni sumu kwao hivyo akajihami kwa kukimbilia uvungun mwa kitandan ( kama ujuavuvyo kijijini jiko,stoo,kuku,kitanda humu humu) hivyo ikawa shida kumuua. Anahamia hapa mnarukia huku ikawa mbilinge mpaka kama saa 7 hivi jamaa angu akakosea step-akachomwa mguuni na mwiba wa mkiani(huyu nyoka ana kamwiba kadooogo chini ya mkia kana sumu kali sana wanasema bora akugonge na jino kuliko mkia)

Hapo hapo tukaahirisha zoezi la kummua tukatafuta wazee wanaojua tiba. Sasa uzur pale kijijin kuna wataalam wa hizo tiba yaan ukitaja tu jina la nyoka aliekudhuru utaambiwa mzee fulan ndo mtaalam wa dawa za huyo nyoka,tukampeka jamaa kwa mzee husika (good luck mzee Hugo yupo mpaka leo pale kijijin nkienda mapumziko namkuta)
Mzee alimpa dawa lkn jamaa mpaka navyoandika hapa hakupona kwa 100% maana mguu wa kulia ulikuwa kama mfupi hivi yaana anatembea kwa kuchechemea toka 1995 lilivyotokea hilo tukio.

Tukaambiwa huyo nyoka bora akung'ate na mdomo kuliko akuchome na mwiba wa mkiani
 
Itaendelea? Tupe full story ndugu yangu mbona unatufanyia kama bongo movie?mpaka part 3? Mlifanikiwa vipi kumuua ?mkampeleka wapi?ngoz yake mlifanyia nini? Tupe abc mpaka z .sema yote usifiche kitu.

Mkuu twende taratibu....ni utoto tu kumbuka nlikuwa std 5 kipindi hicho.

Ok basi alivyotoka kweny zile nguo baada ya harufu ya m/taa akawa kakasirika balaa maana mafuta ni sumu kwao hivyo akajihami kwa kukimbilia uvungun mwa kitandan ( kama ujuavuvyo kijijini jiko,stoo,kuku,kitanda humu humu) hivyo ikawa shida kumuua. Anahamia hapa mnarukia huku ikawa mbilinge mpaka kama saa 7 hivi jamaa angu akakosea step-akachomwa mguuni na mwiba wa mkiani(huyu nyoka ana kamwiba kadooogo chini ya mkia kana sumu kali sana wanasema bora akugonge na jino kuliko mkia)

Hapo hapo tukaahirisha zoezi la kummua tukatafuta wazee wanaojua tiba. Sasa uzur pale kijijin kuna wataalam wa hizo tiba yaan ukitaja tu jina la nyoka aliekudhuru utaambiwa mzee fulan ndo mtaalam wa dawa za huyo nyoka,tukampeka jamaa kwa mzee husika (good luck mzee Hugo yupo mpaka leo pale kijijin nkienda mapumziko namkuta)
Mzee alimpa dawa lkn jamaa mpaka navyoandika hapa hakupona kwa 100% maana mguu wa kulia ulikuwa kama mfupi hivi yaana anatembea kwa kuchechemea toka 1995 lilivyotokea hilo tukio.

Tukaambiwa huyo nyoka bora akung'ate na mdomo kuliko akuchome na mwiba wa mkiani
 
Kifutu eti ndo nyoka mvivu kuliko wote duniani!! Hana haraka... Anaweza ingia uvunguni akaishi huko ata wiki zikakatika... Ila ukiingia 18 zake umekwisha! View attachment 499518
Kifutu ni nyoka mpole sana, yani hizi simulizi zake zinaniogopesha. Maana ndio nyoka pekee kipindi nasoma nilipiga nae picha akiwa mzima, ni nyoka mpole sana na ni mtaratibu pia. Kitu ambacho kinafanya niamin huyu nyoka ni hatari ni vile panya wana muogopa aisee. Chakuongezea ni kuwa ana meno mawili juu, marefu ni balaa. Wapo sana mikoa ya lindi, mtwara na usangu -mbeya .
 
Daah hadi kwetu usangu!!!
Ila ukimjulia hutakaa umchokoze.
 
Anaconda akifutiwa na chatu wa Asia ya Kusini(ukubwa) (hawana sumu, wanaua kwa constriction)
Nyoka mkubwa mwenye sumu ni King Cobra
Nyoka hatari sana kama taipan(ana sumu yenye uwezo wa kuua mpaka watu 400)na Tiger snake wote toka Australia... Australia pekee ina top 10 ya nyoka wenye sumu kali zaidi duniani
Nyoka mwenye sumu kali Afrika ni Black Mamba(koboko) sumu yake inaitwa neurotoxin pamoja na cardiotoxin(inaathiri mfumo wa neva pamoja na moyo
ndo nyoka mwenye kasi zaidi pengine dunia anakwenda km 19 kwa saa(12mph)... Lakini kwa Afrika Boomslang na vine au twig wanaweza kuwa na sumu kali zaidi japo watu wengi wanachukuliwa poa kwa sababu sio wakorofi sana kama Mamba (silent killers (hawa wana sumu inayoitwa haemotoxin ambayo huathiri damu... ina chemical component ambayo huzuia damu kuganda (clotting) na chemical component nyingine husababisha kupasuka kwa mishipa ya damu hii husababisha damu kuvuja ndani na nje kupitia matundu ya mwili )
Puff adder (kifutu) ndo nyoka mwenye kuuwa watu wengi Afrika kuliko nyoka mwingine(sumu yake inaitwa cytotoxin hii huathiri tishu... Inasababisha kuungua au kuoza sehemu ilioumwa
Mozambican spitting Cobra ndo nyoka anaedhuru watu wengi Kusini mwa Afrika
NB:Angali nyoka wote kwa umakini japo asilimia 70 ya nyoka tz hawana sumu ya kudhuru binadamu... Nyoka mdogo ni hatari zaidi (concentration ya sumu kwa nyoka wadogo ni kubwa... Wanatumia kujilinda kutokana na udogo wao)
Nyoka wakubwa umbo lao laweza kuwasaidia kuogofya
Kweli we ni Jungle master. Here is the man of the jungle who speaks to you, nafurahi kuona tupo wengi wenye elimu ya viumbe tunaoishi nao katika dunia hii.
 
Dah mmenikumbusha dodoma kipind nasoma pale kongwa high school ao nyoka aina ya vifutu walikuwa wengi sana mana inasemekana walipandikizwa na mjeruman kipind cha mkolon kwajir ya kuua panya waliokuwa wanakula karanga kwenye mashamba yao mambo ya biological control. Ila kipind tunsoma ss tunaambiwa wamepungua
 
Aliye ndani ya suruali
81d0ffe7c9e9c2cfd696b7e06915d165.jpg
 
Yaa huwa anakaa sana kwenye mapigio ya mipunga. Unaweza uka mbeba na asikufanye kitu. Ni mpole sana. Lakin kumbe ni moja ya nyoka wenye sumu kali na ndio anaongoza kwa kuuwa Africa.
Hapo sijaelewa,ni mpole halafu tena anaongoza kwa kuuua
 
Kwa muda mrefu nasikia majina tofauti tofauti ya nyoka na sifa zake,hatari zake...lakini je ni yupi ndio kiboko ya yote...yaani funga kazi.anapatikana wapi

Wanasifika sana ni kama vile
Koboko,chatu,cobra,anakonda,futu, n.k

Tujuzane kidogo wakuu
CCM yuko bongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom