Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

hahahaa! ni shida sio kwa script hio aisee.. sasa mkuu naomba kujua, hivi joka la kibisa ni lipi hilo? natamani sana nilijue kwa kizungu au picha!

maana wanaume wasio na madhara wanafananishwa sana na huyo kiumbe
Kuna nyoka flan hv mtwara anaitwa nalikukutu, labda ndo huyo mkuu kamtafte umuulze km ni yeye
 
Mtoa mada jaribu kuwa mfuatiliaji wa chaneli ya NAT GEO WILD itakusaidia sana kuelewa hawa viumbe kwani hata mimi ni mfuatiliaji mzuri tu wa kipindi cha 10 deadlist snakes kila jumatatu saa moja kamili usiku , hapa hautakuwa na haja ya kusimuliwa yaani unajionea kila nyoka .
 
MEDUSA NDIYE NYOKA MKUBWA MPAKA SASA KUKAMATWA
f2378e927d453368ea7f19b0ec8030c6.jpg
d296e35328212926a013dd16136ac970.jpg
c4501e5de84b3b2f56749a88d7f6e1fb.jpg
416f0feb286aedd4e15e3e3f3bf7ce9e.jpg
9804e46151249fa236722d9f79868442.jpg
Angalia huyu sasa
ca05b0c12a6f123744f8a9690474ef5a.jpg
Kuna ngoma iilikuwa inaitwa Titanoboa snake ina 15m(zaidi ya 40ft)
Tukutane J3 kijiweni kwetu pale kwenye kumi kubwa
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ,,, nae ni mdau wa "JANI" nilikua cjui……!!!
kaka huruhusiwi kuingia mashamba ya bangi pasipo kuchanjwa dawa ya kukuepusha na nyoka yani huko nyoka ni kama wapo uwanja wa mpira vile kila sekunde unapishana nao.....
 
kaka huruhusiwi kuingia mashamba ya bangi pasipo kuchanjwa dawa ya kukuepusha na nyoka yani huko nyoka ni kama wapo uwanja wa mpira vile kila sekunde unapishana nao.....
Duuu,, hatar sana hiii…… so nyoka wanapnd harufu ya bang sio…!
 
Huyu nyoka ni wa ajabu sana nakumbuka mwaka mmoja nlitaka kufua nguo(mtoni) nikaahirisha nikaziacha nguo hapo hapo nkaenda home
Kesho nikarudi nkazikusanya nguo mpaka home na kuziweka chumban jion sasa tuwashe kibatar ile harufu ya mafuta bwana ilimtoa ndani ya zile nguo....palichimbika aisee
Ikawaje embu endelea mkuu
 
Kwa muda mrefu nasikia majina tofauti tofauti ya nyoka na sifa zake,hatari zake...lakini je ni yupi ndio kiboko ya yote...yaani funga kazi.anapatikana wapi

Wanasifika sana ni kama vile
Koboko,chatu,cobra,anakonda,futu, n.k

Tujuzane kidogo wakuu
Nyoka wakubwa zaidi huwa hawana sumu ndiyo Anaconda na Chatu ambapo mkubwa zaidi ni huyo Anaconda


Huyo Koboko(Black Mamba), Kifutu na Kobra ni nyoka wa kawaida si wakubwa wa kutisha. Hawastahiki kuwepo hapo
 
Yule mzee alikuja na kifimbo fulan hivi akamrushia yaan nyoka makeke yote yaliisha tukachukua mchi na kumtwanga kiuraini kbs na zoez likaishia hapo.
Inabidi huyu mzee awape huu utaalamu mzee, maana wazee kama hawa wakiondoka hivi vitu tutawa tunavisikia kwa stori tu
 
Akiwa analima, alimzoa kifutu na jembe akamng'ata pajani. mguu ulivimba ukatoa malengelenge, yakapasuka ikawa kama unaoza, alitibiwa na mabingwa wa nyoka wa pande hizo lakini waliishia kuponya majeraha, mwenyewe anasema kuna muda anasikia mguu wake kama kuna nyoka anatembea kwa ndani. na ikitokea hivyo hupata kama kifafa au degedege na homa. hao mabingwa wa dawa za nyoka wamechemsha, muhimbili pia wameshindwa na hali yake haijatengemaa tangu wakati huo.
Aseeh! Poleni sana.
 
Tabora region yote ni balaa kwa nyoka. Kuanzia wadogo. Vifutu.swila. sawaka. Cobra mpka huyo black mamba au koboko.
Pia vipo vinyoka flani hivi vidogo vyembamba vya kijani vinaruka pia. Hivo navyo balaa.
Vijijini kule usiku inabidi utembee na chungu cha moto au uji wa moto. Vinginevyo unashangaa mbele yako kuna nyoka kasimama unalingana nae.
Duh! Huyo hana cha kuchokozwa wala nini? Kweli kiboko! So akisimama mbele yako kinachofata ni historia!
 
Nmefanikiwa kuongea na yule mzee jana jion amenipa tips chache nikuulize ntakujia inbox na ukiruhusu tushirikishe na wanajamii kwa matumizi yao ya baadae maana bado hao nyoka tunaishi nao
Pawaga aka mpunga vipi? huyo jamaa umeshampa maelekezo ya nini cha kufanya? mnge share hapa ingekuwa vyema pia
 
Pawaga aka mpunga vipi? huyo jamaa umeshampa maelekezo ya nini cha kufanya? mnge share hapa ingekuwa vyema pia
Mkuu pawaga alinipa ujumbe furani, lakini italazimu tukutane lakini sijapata chance na mgonjwa yupo nje ya dar kwa sasa. nitaleta mrejesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom