moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,689
- 776,756
Mkuu kama hupendi nyoka usitembelee baadhi ya vijiji, maana huko maisha yote ni kukutana na nyoka tuPole sana,mie sipend NYOKA
Mkuu kama hupendi nyoka usitembelee baadhi ya vijiji, maana huko maisha yote ni kukutana na nyoka tuPole sana,mie sipend NYOKA
Kuna vijiji havina shida,Mkuu kama hupendi nyoka usitembelee baadhi ya vijiji, maana huko maisha yote ni kukutana na nyoka tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Australia hadi sisimizi ana sumu!!! Hili bara sijui lina nini!?
Yaani akishakuona anaona ww aduiDuh! Huyo hana cha kuchokozwa wala nini? Kweli kiboko! So akisimama mbele yako kinachofata ni historia!
Kweli balaa!!Yaani akishakuona anaona ww adui
Unataka kujua ni nyoka yupi mkubwa ama tishio zaidi kuliko wengine?Kobra mtoe hapo ni ligi ndogo ukimweka na kina chatu na anakonda....
Ila anakonda ndio baba lao
Mada yupi ni mkubwa boss si vinginevyo.na huyu koboko kuua ng'ombe 1000 ni theoretical, labda atemee sumu yake kwenye maji ya kunywa ng'ombe.Unataka kujua ni nyoka yupi mkubwa ama tishio zaidi kuliko wengine?
Anaweza kuwa mkubwa asiwe tishio sana,
kwa tishio KOBOKO msikieni tu.
Hao akina anaconda au chatu wanaweza kuua ng'ombe mmoja au wawili lakini KOBOKO anaua hata ng'ombe 1,000
Ulivotumia neno "mkanda" umenikumbusha mbali..... ni la watu wa zamani km sisimpaka nimekumbuka mkanda wa anakonda, walioigiza ice cube na jenifa Lopez.
sawa mkuu, Mungu awatangulie huyo mgonjwa apate tiba ya kudumuMkuu pawaga alinipa ujumbe furani, lakini italazimu tukutane lakini sijapata chance na mgonjwa yupo nje ya dar kwa sasa. nitaleta mrejesho
Siyo chunya tu, vijiji vya mkoa wa morogoro vilovyozungukwa na milima ya uluguru yenye misitu minene kama vile kinole, kibungo, chamanyani acha kabisa. na vijiji vilivyozungukwa na mbuga ya selous game reserve, magogoni, kongwa,kisaki,huko ni shida tupu.Kuna vijiji havina shida,
Ila stori za CHUNYA hatar
Ibilisi ndio funga kazi.Kwa muda mrefu nasikia majina tofauti tofauti ya nyoka na sifa zake,hatari zake...lakini je ni yupi ndio kiboko ya yote...yaani funga kazi.anapatikana wapi
Wanasifika sana ni kama vile
Koboko,chatu,cobra,anakonda,futu, n.k
Tujuzane kidogo wakuu
Miongoni mwa nyoka wa kijani ni green mamba wana sumu kali mno. lakini hawa wengine wanaopatikana karibu na makazi yetu wana sumu inayotibika kirahisiHivi hawa vijoka vya kijani vina sumu ?????