Albano Daud
JF-Expert Member
- Aug 23, 2025
- 215
- 246
- Thread starter
- #21
Na ni kama anaificha kwa mbele isionekane picha ya waliomlazimisha
Sema kuna namna kwenye jambo la t-shirt kazingua.Wahuni tu wapo kazini wala sio akili yake , kwani hamjaanza kuona aliekua mgombea wenyekiti Chadema anaanza ongea ujinga sijui wa maridhiano? anzia pale then unganisha na ujinga huu