Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Ni jamaa yangu close na ukweli nimeshamwambiaga long sana kuwa hapo anapotea ila yeye anajifanya Mfilipino.

Yeye anawaza amvizie amjaze mimba ili amkamate ila pia sio suluhisho la kudumu.
Mkuu, umeipataje hii screenshot? [emoji1]

Umeidukua au amekupatia mwenyewe? Na kama amekupatia mwenyewe, je, anafahamu kwamba umeileta humu jukwaani?
 
Inasikitisha kuona kuna raia bado wanateseka na hili swala la mapenzi bila kujua ni vyema ukapenda pale ambapo unathaminiwa.

Mtu kama hakuoneshi ushirikiano ni aheri umuache tu ila cha ajabu mtu anateseka ila hashauriki sasa sijui ndio uchizi au niiteje. Kuvumilia nyodo za mwanamke sio ushujaa.

View attachment 1724939

Endapo unafikia hatua ya namna hii basi ni vyema kuamua kujikung'uta mikono na kusonga mbele kama injili.
Shida kubwa inayowagharimu vijana wengi leo ni UJUAJI MWINGI na KUJIENDEKEZA.
 
Hamna ishu ni kwamba J ndio alimchakata V na akamvua Bikra kabisa. Sasa dogo alikuwa amedata sana kwa mwana kiasi kwamba akawa anatoroka kwao anamfata mchizi chuo hata shule hazingatii. Jamaa ndio ikambidi amuweke kando kwa muda asije zingua school. Demu alioza kwa mchizi.

Sasa after two years jamaa akamcheki dogo akiwa IFM second year kwamba anataka ku resume mahusiano ndio hapo sasa balaa lilipoanzia. Demu akawa ni kama mtu mpya kabisa upendo ulishafifia. Sasa mwamba anafosi kumrudisha katika state waliokuwa mwanzoni akiamini demu ndio mkewe halali😁😁😁
Sasa kumbe mdau unavuna alichokipanda, hili ulitakiwa utuweke wazi katika mada tena ndio lingekuwa kiini cha mada.

Almhuhimu aachane na binti.
 
Hapa hatuongelei ni nani mwenye uhalali wa hiyo mimba. Tunaongelea hiyo stage ya mapenzi.

Kwasababu yule demu alikuwa na jamaa jingine ambalo, mpaka ilifikia stage huyo mshkaji wangu akawa anamuuliza demu kati ya mimi na jamaa unampenda nani: demu akawa anasema anampenda jamaa.

In short hiyo stage huwa ni mbaya, husikii wala kushaurika.

It's just like an addiction.

Hatari sana, Ila huwa ni mapito.
 
Mkuu, umeipataje hii screenshot? [emoji1]

Umeidukua au amekupatia mwenyewe? Na kama amekupatia mwenyewe, je, anafahamu kwamba umeileta humu jukwaani?
jikite kwenye mada mzee. Hii sio ishu ya majadiliano
 
hao wanaume bado wapo kumbe....au huyu ndio yule alienusurika vita vya pili vya dunia? maana ni nadra sanaa🤔
 
Once upon a time kuna dada nilimwelewa sana, kila akipita kibandani kwangu alitaka nimchangie kwenye biashara yake ya ndizi. Siku moja mwamba nikamtumia msimbazi tu kwa wakala then nikampigia kumjulisha kuwa apate soda. Kupokea simu anashukuru lkn akataja jina la mtu mwingine wa mahala fulani. Nikamuuliza ina maana namba yangu ni ngeni? Mbona nakupigia siku zote kupitia namba hii. Akasema we si ndo fulani wa kwa fulani. Palepale nikarudi kwa wakala wa mpesa nikaitisha hela yangu muamala umekosewa.
 
Hii stage nimewahi ipitia mara mbili

First time(in my late teens)
Aisee huyu mdada alikuwa family friend, tumekua wote, tumesoma wote. Tulianza ku date kipindi fulani, Aisee huyu mbwa aliniendesha. Nilimpenda kupitiliza, akaamua kuninyoosha. Nimewahi kumlilia usiku kucha, nampigia simu huku nalia😂😂. Aliniambia nisubiri mpaka ndoa na nilikubali kwa roho nyeupe(nikikumbuka huwa najicheka aisee😂😂)

Second time( mid twenties)
Hapa nilipigwa pesa za kutosha, kuna mwanangu alikuwa ananishauri sana kuhusu hiyo manzi lkn ilikuwa kazi bure.
Kuna kipindi nilisafiri zaidi ya km 1000 kwenda kumuona. Nilivofika nikachukua chumba cha 80k, aisee tulilala usiku mzima na sikupewa chochote( ata kiss nilinyimwa😂😂). Niliendelea kumpenda pamoja na kunifanyia vile na pesa akiomba anapata.

Siku hz nipo emotionless. Naamini love is a choice not feelings and emotions
Jombii ulikuwa boya pro max!
 
Once upon a time kuna dada nilimwelewa sana, kila akipita kibandani kwangu alitaka nimchangie kwenye biashara yake ya ndizi. Siku moja mwamba nikamtumia msimbazi tu kwa wakala then nikampigia kumjulisha kuwa apate soda. Kupokea simu anashukuru lkn akataja jina la mtu mwingine wa mahala fulani. Nikamuuliza ina maana namba yangu ni ngeni? Mbona nakupigia siku zote kupitia namba hii. Akasema we si ndo fulani wa kwa fulani. Palepale nikarudi kwa wakala wa mpesa nikaitisha hela yangu muamala umekosewa.
Hahahahah kweli ulimkomesha maninx
 
Kuna kitu kinaitwa Soul tie, ikikukamta kisawa sawa,huto ona kama umekuwa tahira wa mapenzi. Yote kwa yote kuna watu wana vitu vitamu + soul tie, mateso na madharau unaona kama vile utani au ni sehemu ya maisha yako 😀😀😀
Babae mwamba atakuwa na huo ugonjwa wa soultie bila shaka! Manka ikutese namna hio still ukomae
 
Kabla sijazungmza kitu, tunamzungumzia jamaa mwenye umri gani?

Umri usiwe kigezo, ana majukumu yoyote?
 
Inasikitisha kuona kuna raia bado wanateseka na hili swala la mapenzi bila kujua ni vyema ukapenda pale ambapo unathaminiwa.

Mtu kama hakuoneshi ushirikiano ni aheri umuache tu ila cha ajabu mtu anateseka ila hashauriki sasa sijui ndio uchizi au niiteje. Kuvumilia nyodo za mwanamke sio ushujaa.

View attachment 1724939

Endapo unafikia hatua ya namna hii basi ni vyema kuamua kujikung'uta mikono na kusonga mbele kama injili.
Ukute Vicky aliishiwa bundle, mmejaribu kumpigia au kwenda kwake kumjulia hali?
Au ameugua ghafla hebu nendeni mkamcheck msiwe wepesi kutoa hukumu
 
Ukute Vicky aliishiwa bundle, mmejaribu kumpigia au kwenda kwake kumjulia hali?
Au ameugua ghafla hebu nendeni mkamcheck msiwe wepesi kutoa hukumu
Vicky mpuuz tumeamua kumpiga chini
 
Back
Top Bottom