Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Hahahah sometimes hardships zipo ili tukue. Changamoto uliopitia ilikuwa ni kukutenganisha na umaskini. Now utainjoy mama kali utakavyo sababu wanachokipenda si unacho!
Sure nilisema nilikua nabembeleza mtu kwa kila kitu kanikataa hadharani.
Bora nijipambanie mwenyewe tu nitapata furaha mbeleni tu nilibadili lifestyle kiujumla kazini ghetto naaangalia nini kinahitajika hiki kile nasema wacha nipambane baadae kweli furaha yangu ikawa kwangu tu nakula nakunywa navaa naishi paukweli

Wakaanza kujileta wenyewe piga mama za kutosha
 
Jamaa anampenda demu anatamani amuoe kabisa, alianza nae akiwa mdogo frm5 ila wakapotezana. Baada ya mtoto kuingia jiji la Makonda na kukamua 3 yrs IFM mambo yamekuwa magumu upande wa lango la upinzani [emoji16] sasa jamaangu anateseka anataka kujimilikisha koloni.
Kamwe asijiumize kwa kumfurahisha mwanamke
 
H mada imenikumbusha

Niliwahi kumpigia simu demu wangu kwa siku mbili mfululizo (kwa siku mara tatu) lakini hakupokea, siku nyingine alipopokea nikamuuliza kwann hakuwa wa kupokea simu yangu Akajibu 'SIJUI' nikaamua kukata simu na kutulia.
 
Sawa lakini ndoa ni institution paana sana, hizi sms sio tosha kuona kama mke hakujali.

Kuna baathi ya wanawake niwazuri kwenye mapenzi ya kwenye simu paka unatamani chart zake usizifute ila nyumbani ni pasua kichwa, kiburi dharau nk.
Hapo sio kujali ni dharau pia , ameomba pesa ya kula na msela kajipinda katuma , hata kusema asante imefika inakuwa shida?
 
Ni jamaa yangu close na ukweli nimeshamwambiaga long sana kuwa hapo anapotea ila yeye anajifanya Mfilipino.

Yeye anawaza amvizie amjaze mimba ili amkamate ila pia sio suluhisho la kudumu.
Ipo siku atajutia kumjaza mimba hiyo na wakati huo tayari ameshajipa kitanzi kingine.
 
Stage kama hii, hakuna namna unaweza kumshauri mtu ajitoe.

Huwa unatoka mwenyewe baada ya hali kufika kikomo.

Hiyo huwa ni stage mbaya sana kwenye mapenzi ila ukishafanikiwa kutoka, unakuwa umeshajenga USUGU. Ni ngumu kuumizwa tena kwa kiwango hicho.

Stage kama hiyo, ukiombwa pesa tu unatoa, hata kama huna unamkopea. Ukijaribu kumhoji ya nini, anasusa, unaanza kumbembeleza tena halafu unamtumia.

Ni stage mbaya sana hiyo kwenye mapenzi. Utayumba sana.

Luckily, huwa siyo stage ya kudumu.
+1
Maneno yako yote ni sahihi kabisa , nishawahi kuwa na demu wa aina hii enzi hizo hata simu za mkononi hakuna , alikuwa na madharau balàa halafu mie ndio nishawaka sishauriki,

Kutoka kwenye hali hiyo ni mpaka jackie achoke mwenyewe
 
Tena ukute wewe huna shughuli ya maana halafu kanasoma chuo wanaongopeana na rafiki zake kuna bishow wa chuo anaongopea ndio utatuma vihela utatuma sms hujibiwi

Final uzeeni kitu wamekuja mtaani kwanza wamekuja awamu ya mitano tena unamaliza haijulikani nani msomi nani sio

Wale wenzie walikua wanampa jeuri hakuna mtu hana hata bando ndio wanakuja sasa [emoji1]

USIFANYE MAKOSA

Unapita mule mule [emoji23][emoji23] kuna kamoja last week kameniomba elfu 2 nikamtumia 10k(ni huruma tu). Amemaliza chuo mwaka jana lakini alivyokuwa chuo nyodo kibao chenga nyingi nikaamua kumpotezea. Sasa hivi mtaa unamlea yupo kwao huko usukumani no boom no fuckn bata na wale waliokuwa wanampa kiburi.
 
Ni jamaa yangu close na ukweli nimeshamwambiaga long sana kuwa hapo anapotea ila yeye anajifanya Mfilipino.

Yeye anawaza amvizie amjaze mimba ili amkamate ila pia sio suluhisho la kudumu.
mwambie mapenz ya kifilopino ki hispania haya apply kwa ngozi nyeusi.
anachokiona kwenye movies ..series kuhusu mapenz hakiko applicable for 70%.. mostly ni for burudani tu.

achukue hatua kama wmanaume wa kiafrika. mwanamke hapendi mwanaume legelege.
afanye jambo hata huyo dada akili zitamkaa sawa.
 
Hii stage nimewahi ipitia mara mbili

First time(in my late teens)
Aisee huyu mdada alikuwa family friend, tumekua wote, tumesoma wote. Tulianza ku date kipindi fulani, Aisee huyu mbwa aliniendesha. Nilimpenda kupitiliza, akaamua kuninyoosha. Nimewahi kumlilia usiku kucha, nampigia simu huku nalia😂😂. Aliniambia nisubiri mpaka ndoa na nilikubali kwa roho nyeupe(nikikumbuka huwa najicheka aisee😂😂)

Second time( mid twenties)
Hapa nilipigwa pesa za kutosha, kuna mwanangu alikuwa ananishauri sana kuhusu hiyo manzi lkn ilikuwa kazi bure.
Kuna kipindi nilisafiri zaidi ya km 1000 kwenda kumuona. Nilivofika nikachukua chumba cha 80k, aisee tulilala usiku mzima na sikupewa chochote( ata kiss nilinyimwa😂😂). Niliendelea kumpenda pamoja na kunifanyia vile na pesa akiomba anapata.

Siku hz nipo emotionless. Naamini love is a choice not feelings and emotions
 
Unapita mule mule [emoji23][emoji23] kuna kamoja last week kameniomba elfu 2 nikamtumia 10k(ni huruma tu). Amemaliza chuo mwaka jana lakini alivyokuwa chuo nyodo kibao chenga nyingi nikaamua kumpotezea. Sasa hivi mtaa unamlea yupo kwao huko usukumani no boom no fuckn bata na wale waliokuwa wanampa kiburi.
Duh.
 
Back
Top Bottom