Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Huyo jamaa anahitaji kupigwa shoti ya umeme kifuani ili kuushtua moyo uweze ku pump damu vizuri. Yawezekana flow ya dam mwilini mwake haipo vizuri, kuna baadhi ya sehem kama kwenye uti wa mgongo na kichwani damu itakuwa haifiki vizuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh hii ni hatar sana mkuu kwa iyo apigwe na shoti ya umeme, kweli kuna watu wanateseka sana kwenye mapenzi
 
Inasikitisha kuona kuna raia bado wanateseka na hili swala la mapenzi bila kujua ni vyema ukapenda pale ambapo unathaminiwa.

Mtu kama hakuoneshi ushirikiano ni aheri umuache tu ila cha ajabu mtu anateseka ila hashauriki sasa sijui ndio uchizi au niiteje. Kuvumilia nyodo za mwanamke sio ushujaa.

View attachment 1724939

Endapo unafikia hatua ya namna hii basi ni vyema kuamua kujikung'uta mikono na kusonga mbele kama injili.
Hilo lijamaa kama unalijua ukikutana nalo embu mtie ata likiibao la shavuni moja embu aache ufala, ndio nini sasa anafanya we demu unalitumia ela alafu alilespondi badae tena unaanza kulibembeleza pumbavuu kabisaa
 
Hilo lijamaa kama unalijua ukikutana nalo embu mtie ata likiibao la shavuni moja embu aache ufala, ndio nini sasa anafanya we demu unalitumia ela alafu alilespondi badae tena unaanza kulibembeleza pumbavuu kabisaa
Hahahaha jamaa limefeli kinoma yani, sema sahizi limemkaushia huyo demu
 
Yan dah! Utafikir nimefanyiwa mimi hicho kitendo si kwa hasira hizi, wanawake wapo wengi bhana aache ujinga
Inauma sana yani, af jamaa ana access ya pisi kali tu! Hajawahi kula demu wa kawaida mchizi wangu sijui anawaambiaga nini ila eti amekuja kukwama kwa huyu mkuda!
 
Back
Top Bottom