Hapa hatuongelei ni nani mwenye uhalali wa hiyo mimba. Tunaongelea hiyo stage ya mapenzi.Mwanamke anakufichaje mimba yako? Hata kama ni kweli basi alijua fika demu amueshimu lakini akawa anaforce,sasa nini hiyo
kabisa bro, mimi stage hiyo niliishavuka maana naamini natakiwa muda mwingi kupambana kuwaza kujikwamua kuliko kumuomba mtu anikubalie nianze kumhudumia (kuyaomba matatizo ya kuhudumia) , ni either yeye aniheshimu na atoe ushirikiano au nimpotezee.....Ni kweli mkuu ila kwa Amateur kumueleza kuwa approach anayotumia sio yeye anakuwa hakuamini bro. Anaona kama there will be a way atapendwa.
Ila that never happens,.its against the law of attraction.
Babe!Huenda wanaume wengi wanapitia hii hali, umependa sehemu sio... Unajaribu kwa mda, then unaondoka tu!
Kuna chama kinataka kupandishwa maji mlimani, time will tellInasikitisha kuona kuna raia bado wanateseka na hili swala la mapenzi bila kujua ni vyema ukapenda pale ambapo unathaminiwa.
Mtu kama hakuoneshi ushirikiano ni aheri umuache tu ila cha ajabu mtu anateseka ila hashauriki sasa sijui ndio uchizi au niiteje. Kuvumilia nyodo za mwanamke sio ushujaa.
View attachment 1724939
Endapo unafikia hatua ya namna hii basi ni vyema kuamua kujikung'uta mikono na kusonga mbele kama injili.
Aiseee!!Huwezi kushaurika stage hiyo. Haiwezekani.
Speaking from experience.
Nimewahi kupitia stage hiyo, nina mshkaji wangu wa karibu alipitia pia stage hiyo.
1. Mimi kuna sehemu nilikuwa nafanya part-time, yaani ilikuwa kila wakati naenda kuomba advance kwa Mhasibu.
2. Huyo mshkaji wangu alifikia stage akawa anaona kazi anayofanya ni mbaya na ina mshahara mdogo. Ilifikia stage mpaka yule demu akapewa mimba na jamaa mwingine, lakini mshkaji akawa anasema "itakuwa ni mimba yangu lakini ameamua kusema siyo yangu ili anipime kama nina penzi la dhati [emoji17] ( Ingawa sasa hivi alishatoka na yuko sawa ).
Note: Alitoka mwenyewe [emoji1787]
Hakika, Hii huwa ni stage mbaya mnoooo.
Hiyo stage inaitwa ubatizo wa moto ili uwe baharia wa kweli ni lazima upitishwe na ukipita mara moja kwenye maisha umetoboa hiyoHapa hatuongelei ni nani mwenye uhalali wa hiyo mimba. Tunaongelea hiyo stage ya mapenzi.
Kwasababu yule demu alikuwa na jamaa jingine ambalo, mpaka ilifikia stage huyo mshkaji wangu akawa anamuuliza demu kati ya mimi na jamaa unampenda nani: demu akawa anasema anampenda jamaa.
In short hiyo stage huwa ni mbaya, husikii wala kushaurika.
It's just like an addiction.
Bora ulijiengua mapema tu mzee mwenzangu, Hommies over hoes!!!kabisa bro, mimi stage hiyo niliishavuka maana naamini natakiwa muda mwingi kupambana kuwaza kujikwamua kuliko kumuomba mtu anikubalie nianze kumhudumia (kuyaomba matatizo ya kuhudumia) , ni either yeye aniheshimu na atoe ushirikiano au nimpotezee.....
hapo ni sawa na jamaa anaomba huyo girl akubali kuhudumiwa na jamaa ako hell no.....
i met this girl real top top quality, ila akaanza be my friend first for a month, nikamwambia sijazoea subiria umri wangu huuruhusu hizo drama,, akasema give me a week kama hutaki basi, hapo one hour ndio anajibu hahaha...nikaona mimi ndio nalazimisha nikamwambia sawa ila sijawahi mtafuta tena yule girl.
We jamaa ulikuwa Ndezi Pro Max 😂😂😂😂😂 yani unauliza kati yangu na flani unampenda nani?Hiyo stage inaitwa ubatizo wa moto ili uwe baharia wa kweli ni lazima upitishwe na ukipita mara moja kwenye maisha umetoboa hiyo
Umenikumbusha mimi niliwahi muuliza demu kati ya mimi na huyu jamaa unataka yupi demu anasema huyo jamaa me nasema basi niache kidogo kidogo nisiumie [emoji1] [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Ila nilijichekecha nikatoboa siku zinaenda nikawaacha watu na mapenzi yao kimya kimya nikasepa
Kuanzia hapo nikawa busy na ya kwangu tu siku hizi simlilii mtu nikiona hakuna interest na mimi basi huyo naganga yangu atanitafuta ukiona haja na demu akirudi anakutana na vipengele vyangu ila mind yangu inamuweka kwenye **** zone
Yani umeongea kiume wakiwa chuo hukamati wakimaliza ile golden stage imeisha basi hapo wanarudi kwenye uhalisiaHuyo msichana akifikia stage ya kutaka ndoa atarudi kwa kasi, jamaa awe na hela ya lodge karibu....huyo msichana anamalizia golden stage maana ameishamaliza chuo hivyo anamalizia ile quality ya mwisho mwisho.
Mpenzi wa kweli🍺🍺
Brother sipingi hata utukane matusi yote hayo kuna wanaojiua kisa kukataliwa sembuse me niliuliza swali masterWe jamaa ulikuwa Ndezi Pro Max [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani unauliza kati yangu na flani unampenda nani?
Mkuu ni teaser tu wala sio tusi. Nimefurahi sana maana kila baharia anakula kipondo cha aina yake.Brother sipingi hata utukane matusi yote hayo kuna wanaojiua kisa kukataliwa sembuse me niliuliza swali master
Shukuru nilipita salama na ilikua lazima nipite nimekomaa haswaa
Huyo jamaa yako hapo simuhurumii maana najua ndio wakati wake wakufanyiwa matengenezo
Haaaahaaaa, kyaakaaakaaaaaHuyo jamaa anahitaji kupigwa shoti ya umeme kifuani ili kuushtua moyo uweze ku pump damu vizuri. Yawezekana flow ya dam mwilini mwake haipo vizuri, kuna baadhi ya sehem kama kwenye uti wa mgongo na kichwani damu itakuwa haifiki vizuri.
We unazungumzia sms moja hebu hesabu toka jamaa alipoombwa hela ni siku ngapi zimepita mpk siku ya Valentine ndio demu ame respond.😂😂😂Basi ka sms kamoja mnajifanya mnaumia! Hivi mnajua sisi wanawake tunayoyapitia? Ushawahi kupiga simu mtu kimyaaa, sms kimya afu jitu lonakuja kukwambia siku ya pili ati lilikuwa busy.
Busy? Busy my foot!! Hukwenda hata chooni?
Kwa kweli ukubwa dawa. Tangu niwe mkubwa na mwili umekuja siteswi na mapenzi, nikituma ka sms kamoja tu 'hey' usipokajibu wakati nakuona hewani, hiyo ndo imetoka na ukija kukajibu siku ya tatu na upuuzi wa nilikuwa busy nishafuta no ishiiiiiy.
sure mkuu golden stage inawaongopea sana na kuishi nje ya uhalisia.....mwisho anarudi unaamua wewe umpokee au umtumie umuache na majuto.Yani umeongea kiume wakiwa chuo hukamati wakimaliza ile golden stage imeisha basi hapo wanarudi kwenye uhalisia