Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Ni jamaa yangu close na ukweli nimeshamwambiaga long sana kuwa hapo anapotea ila yeye anajifanya Mfilipino.

Yeye anawaza amvizie amjaze mimba ili amkamate ila pia sio suluhisho la kudumu.
Mwambie akimuotea next time apige kazo la maana,kisha amchane ukweli alafu ampotezee what a f.uck
 
Ndio hivyo mkuu, kuna mda wadada wanachezeaga golden chance hata kama wapo wengi wanaokusumbua jaribu kuangalia mwanaume mwenye future nawewe sio swaga. Hasa wa chuo ndio wengi wapo hivyo.
Ni kweli mkuu nimuhimu Sana kuzingatia Hilo maana mwisho wa siku mtu unakuja kuona kila mwanaume mmbaya kwako kumbe wapo wenye true love.. Kama huyu badae atarudi nakilio tu😄

Habari yako mkuu.
 
Ni jamaa yangu close na ukweli nimeshamwambiaga long sana kuwa hapo anapotea ila yeye anajifanya Mfilipino.

Yeye anawaza amvizie amjaze mimba ili amkamate ila pia sio suluhisho la kudumu.
Siwezi lazimisha kupendwa hata robo siku hivi vitu vinakuja automatically.
 
Ni kweli mkuu nimuhimu Sana kuzingatia Hilo maana mwisho wa siku mtu unakuja kuona kila mwanaume mmbaya kwako kumbe wapo wenye true love.. Kama huyu badae atarudi nakilio tu[emoji1]

Habari yako mkuu.

Harudi kufanya nini tena? Mimi nikishabwaga manyanga nimebwaga sitakagi habari za kuja kupumzikiwa na kumaliziwa kilomita.

Salama kwema mkuu?
 
Unapita mule mule [emoji23][emoji23] kuna kamoja last week kameniomba elfu 2 nikamtumia 10k(ni huruma tu). Amemaliza chuo mwaka jana lakini alivyokuwa chuo nyodo kibao chenga nyingi nikaamua kumpotezea. Sasa hivi mtaa unamlea yupo kwao huko usukumani no boom no fuckn bata na wale waliokuwa wanampa kiburi.
Mkuu tunaishi nao hao na uzuri wanafanana tabia na akili kwahiyo hata matokeo yao yanafanana tu

Wakiwa chuo wanajisahau na wanatusahau tulio f.uck muda wetu kwa ajili yao

Linakuaga swala la muda tu.
 
Mkuu tunaishi nao hao na uzuri wanafanana tabia na akili kwahiyo hata matokeo yao yanafanana tu

Wakiwa chuo wanajisahau na wanatusahau tulio f.uck muda wetu kwa ajili yao

Linakuaga swala la muda tu.

Ni swala la mda wakishapigwa na uhalisia wa maisha mtaani ndio wanaona wale waliokuwa wanawaletea nyodo kuwa ndio watu wa muhimu.
 
Ni kweli mkuu hata Mimi nisingekubali hivi na nyie mnakuwaga na Target katika wengi kuwa huyu naeza oa au?

Binafsi huwa sijengi ukaribu na mtu ambae sina plan nae, ntaonesha nia yangu nikiona mtu hanielewi na haelekei napotaka huwa nampotezea nikiamini tutatofautiana na hatutoendana.
 
Binafsi huwa sijengi ukaribu na mtu ambae sina plan nae, ntaonesha nia yangu nikiona mtu hanielewi na haelekei napotaka huwa nampotezea nikiamini tutatofautiana na hatutoendana.
Anha sawa mkuu pia kutambua Hilo mapema Ni muhimu maana kuendana na mtu ndo kutaleta happy life mkiwa pamoja
 
Kumganda mtu kwangu mimi ni easy sana nikiamini ipo siku ntamuwin but ni very easy kumsahau na kumpotezea pia nikiona ananiletea ujinga.
Hahahhaha yani hizo zilikua zangu zamani ila kwa sasa sieleweki naweza mpenda demu hapo hapo sijakaa sawa simtaki

Naweza mvutia kasi nagaili njiani
 
Anha sawa mkuu pia kutambua Hilo mapema Ni muhimu maana kuendana na mtu ndo kutaleta happy life mkiwa pamoja
Kweli kabisa mapungufu yapo lakini kuna tabia kuvumilia ni kujichimbia kaburi lako mwenyewe

Hahahhaha yani hizo zilikua zangu zamani ila kwa sasa sieleweki naweza mpenda demu hapo hapo sijakaa sawa simtaki

Naweza mvutia kasi nagaili njiani

Ukishaitambua thamani yako huwezi ruhusu mtu akusumbue.
 
Inasikitisha kuona kuna raia bado wanateseka na hili swala la mapenzi bila kujua ni vyema ukapenda pale ambapo unathaminiwa.

Mtu kama hakuoneshi ushirikiano ni aheri umuache tu ila cha ajabu mtu anateseka ila hashauriki sasa sijui ndio uchizi au niiteje. Kuvumilia nyodo za mwanamke sio ushujaa.

View attachment 1724939

Endapo unafikia hatua ya namna hii basi ni vyema kuamua kujikung'uta mikono na kusonga mbele kama injili.
Kuna kitu kinaitwa Soul tie, ikikukamta kisawa sawa,huto ona kama umekuwa tahira wa mapenzi. Yote kwa yote kuna watu wana vitu vitamu + soul tie, mateso na madharau unaona kama vile utani au ni sehemu ya maisha yako 😀😀😀
 
Back
Top Bottom