Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Ukute Vicky aliishiwa bundle, mmejaribu kumpigia au kwenda kwake kumjulia hali?
Au ameugua ghafla hebu nendeni mkamcheck msiwe wepesi kutoa hukumu
Aaaah!!! Weeeh!!

Bundle la kuomba hela ya kula lilikuwepo. Baada tu ya kutumiwa likaisha ghafla au kwa mshtuko wa muamala akaugua ghafla???????

Mbona tunao wakina Vicky wengi mtaani.

Kuna pisi moja niliitongoza nikijua ni ndugu wa jamaa mmoja. Ndivyo alivyotutambulisha. Kumbe alikua ni mpenzi wake. Alifanya hivyo ili kumshawishi boss aweze kumpatia kazi yule binti.

Wakati tunaendelea na mtongozano, yule binti alinichana wazi kuwa yule jamaa ni mshkaji wake japo hampendi.
Nikamuuliza unakuaje na mwanaume ambaye humpendi?
Akasema kuna kipindi alimtamkia kumuacha, jamaa alipagawa akataka kujitoa roho. Ndugu na binti ikabidi wamshauri binti asimuache kwa kumtamkia. Bali apunguze mawasiliano kidogo kidogo.

Basi binti ikabidi aokoe jahazi, akamrudia mshkaji. Sasa bhana akaniambia mimi ana nipenda na ana hisia na mimi. Ila changamoto ni hiyo ya yeye kuwa na mtu ambaye penzi lipo ukingoni.
Kwakua mimi nilikua mpitaji, sikuona shida yoyote. Ili aone nipo serious, nikampa sharti la kunionyesha kila mawasiliano yao. Kweli binti hakua na hiyana. Tukaanza mahusiano.

Yule mwamba alikua anateseka sana kaa huyu binti hata kabla ya mimi kuwa naye. Maana nilisoma meseji zao jinsi binti anavyomjibu, nilitamani kulia. Jamaa anamtumia hela mwanamke hata kama hajaomba. Alafu binti haonyeshi ushirikiano, akamtafutia kazi, still binti hana hisia na jamaa.

Sasa kipindi nipo na huyu binti, jamaa anapiga simu hazipokelewi. Anatuma meseji hazijibiwi. Analalamika mwanzo mwisho.

Kibishi ikabidi nimchek mwana maana nilikua na namba zake kumuelezea A-Z kuhusu binti.

Jamaa alivyo zoba, akanigeuzia kibao wakati nilimpa story nzima na jinsi binti alivyokua anamuacha mdogo mdogo.

Akaleta vurugu sana siku hiyo, basi akaishia kuachwa moja kwa moja na yule binti.

Kauli ya yule binti ilinishangaza sana. Aliniambia wazi kuwa anafahamu kuwa yupo na mimi kwasababu nimemsaidia kumuachanisha na mtu wake. Hata ikitokea tumeachana, hatajutia maana kuwa na yule jamaa alikua kama kaubeba mzigo mzito jinsi alivyokua amemganda.

Kwahiyo, wapo wengi sana wanawake aina ya Vicky. Yule anayempenda, wala hana hisia naye masikini. Na kumbuka, hawezi kulazimisha hisia
 
Aaaah!!! Weeeh!!

Bundle la kuomba hela ya kula lilikuwepo. Baada tu ya kutumiwa likaisha ghafla au kwa mshtuko wa muamala akaugua ghafla???????

Mbona tunao wakina Vicky wengi mtaani.
Hio kweli ilikuwa sio mchezo maninx😅😅😅 jamaa hakufa tena baada ya kuleta faru ya abuja?

Demu akiwa hana hisia na wewe inakuwa balaa anakutesa kisenge yani ila akiwa anakupenda unagusa tu mambo yana flow
 
Hio kweli ilikuwa sio mchezo maninx[emoji28][emoji28][emoji28] jamaa hakufa tena baada ya kuleta faru ya abuja?

Demu akiwa hana hisia na wewe inakuwa balaa anakutesa kisenge yani ila akiwa anakupenda unagusa tu mambo yana flow
Jamaa baada ya kuachwa alikuja akapata stress sana mpaka akaja kupitiwa na gari barabarani akavunjika miguu. Ila cha ajabu alinichukia mimi na kuniona ni adui yake.

Nilijaribu kumuweka sawa kuwa nimemuokoa na maumivu ya huko mbele ya safari, lakini mpaka leo hataki hata kunisikia
 
Jamaa baada ya kuachwa alikuja akapata stress sana mpaka akaja kupitiwa na gari barabarani akavunjika miguu. Ila cha ajabu alinichukia mimi na kuniona ni adui yake.

Nilijaribu kumuweka sawa kuwa nimemuokoa na maumivu ya huko mbele ya safari, lakini mpaka leo hataki hata kunisikia
Umempeperushia ndege wake ningumu kukuelewa
 
Ni jamaa yangu close na ukweli nimeshamwambiaga long sana kuwa hapo anapotea ila yeye anajifanya Mfilipino.

Yeye anawaza amvizie amjaze mimba ili amkamate ila pia sio suluhisho la kudumu.
Huu ufikiriaji wa namna hii ni wamgando sana sijawahi ona

Hivi wanaume wengine nani aliwadanganya kuwa mimba au kuzaa na mwanamke ndo kunamtuliza na kumfanya mwanamke akupende?

Binafsi nachukizwa sana na ufikiriaji wa namna hii,kumjaza mimba mwanamke asiye na muda na wewe ni kujiongezea stress maana anaweza aitoe mimba kwa kuwa haumo moyoni mwake(coz naturally wanawake hufurahia na kuona fahari kubeba mimba ya wanaume wanaowapenda and vice versa is true)

Unamtengenezea mtoto wako mama mbaya au malezi mabaya(coz wanadamu asilimia kubwa tunakawaida ya kuwapenda watoto kutokana na mapenzi tuliyonayo kwa mama au baba zao)

Tafadhali msihi sana huyo Rafiki yako aachane kabsia na mawazo mgando haya atajutia na kuumia sikuzote za misha yake kuliko maumivu atakayoyapata sasa ya kuamua kumuacha na kushika hamsini zake, kwa jinsi alivyozama ni wazi kuwa he can hardly survive without Vickie, lakini akijaze kiume tu mwanzoni ataumiaaaa ila akizoea atajiuliza kilichokuwa kinamfanya anahahe na Vickie atashindwa kukiona,process ya kwaida kabisa kwenye mapenzi 🙂🙂
 
Haijui hiyo huduma kama ina exist
Kwa umpendaye lazima utapambana umjulishe hata kwa simu ya mjumbe wa nyumba 10, au mwenyekiti wa kijiji.. hakuna sababu ya kukufanya usiseme asante baada ya kutumiwa pesa na ukae siku 3 mfululizo bila kumcheki hata, may be umelazwa chumba cha uangalizi maalum
 
Stage kama hii, hakuna namna unaweza kumshauri mtu ajitoe.

Huwa unatoka mwenyewe baada ya hali kufika kikomo.

Hiyo huwa ni stage mbaya sana kwenye mapenzi ila ukishafanikiwa kutoka, unakuwa umeshajenga USUGU. Ni ngumu kuumizwa tena kwa kiwango hicho.

Stage kama hiyo, ukiombwa pesa tu unatoa, hata kama huna unamkopea. Ukijaribu kumhoji ya nini, anasusa, unaanza kumbembeleza tena halafu unamtumia.

Ni stage mbaya sana hiyo kwenye mapenzi. Utayumba sana.

Luckily, huwa siyo stage ya kudumu.
Umenena vyema sana
 
Kwa umpendaye lazima utapambana umjulishe hata kwa simu ya mjumbe wa nyumba 10, au mwenyekiti wa kijiji.. hakuna sababu ya kukufanya usiseme asante baada ya kutumiwa pesa na ukae siku 3 mfululizo bila kumcheki hata, may be umelazwa chumba cha uangalizi maalum
Ni ukweli. Ila mahusiano ya huyu mwenzetu na huyo dada yapo wazi kuwa hayakuwa serious, walikutana mtaka uchi na mdangaji.
Hakuna serious issue hapa ya kudiscuss
 
Back
Top Bottom