PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,261
Unatuma mkwanja hata Asante tu hamna huyo Vicky kweli kauzu zaidi ya dagaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole kwa Swahiba wako!!!!Pisi ya kwenda mzee, yani ukitua nayo Equity Bank unapewa million 100 bila riba [emoji23][emoji23][emoji23] wala hati ya nyumba.
Kimsingi kabisa, sasa mwana ni Learner kwenye game 😂😂😂 mie kama Captain nimemtia vina ila kaniona kama simtakii mema.Mkuu madem tunawajua. Na sio mademu tu, hata sisi wanaume, demu kama hujamuelewa akishika mimba bila kukwambia huwa unammind. So huyo jamaa akitia mimba kwa demu, itaishia kutolewa tu( na hata hela ya kuitoa inaweza toka kwa jamaa).
Stage kama hii, hakuna namna unaweza kumshauri mtu ajitoe.Inasikitisha kuona kuna raia bado wanateseka na hili swala la mapenzi bila kujua ni vyema ukapenda pale ambapo unathaminiwa. Mtu kama hakuoneshi ushirikiano ni aheri umuache tu ila cha ajabu mtu anateseka ila hashauriki sasa sijui ndio uchizi au niiteje. Kuvumilia nyodo za mwanamke sio ushujaa.View attachment 1724939
Endapo unafikia hatua ya namna hii basi ni vyema kuamua kujikung'uta mikono na kusonga mbele kama injili.
Basi muache ajionee.Kimsingi kabisa, sasa mwana ni Learner kwenye game [emoji23][emoji23][emoji23] mie kama Captain nimemtia vina ila kaniona kama simtakii mema.
Ni kweli ila huwa inatuacha na funzo. It happens once ila ukitusua unakuwa tayari "CERTIFIED BAHARIA" unakuwa unaweza kuchungulia Red Flags mapema sana ukajiondoa.Stage kama hii, hakuna namna unaweza kumshauri mtu ajitoe.
Huwa unatoka mwenyewe baada ya hali kufika kikomo.
Hiyo huwa ni stage mbaya sana kwenye mapenzi ila ukishafanikiwa kutoka, unakuwa umeshajenga USUGU. Ni ngumu kuumizwa tena kwa kiwango hicho.
Stage kama hiyo, ukiombwa pesa tu unatoa, hata kama huna unamkopea. Ukijaribu kumhoji ya nini, anasusa, unaanza kumbembeleza tena halafu unamtumia.
Ni stage mbaya sana hiyo kwenye mapenzi. Utayumba sana.
Luckily, huwa siyo stage ya kudumu.
Huwezi kushaurika stage hiyo. Haiwezekani.Kimsingi kabisa, sasa mwana ni Learner kwenye game 😂😂😂 mie kama Captain nimemtia vina ila kaniona kama simtakii mema.
Ni kweli mkuu ila kwa Amateur kumueleza kuwa approach anayotumia sio yeye anakuwa hakuamini bro. Anaona kama there will be a way atapendwa.mimi naamini ukiwa available sana kwa mtu hataona umuhimu wako, muda fulani uwepo mara chache sana thamani yako inakuwepo constant......
alafu wasichana wengi wanakuwa na hii tabia (ya kutosema hakutaki) ili akulie hela vizuri wakati anaendelea na jamaa ake.....
na kwanini anyenyekee hivo anaumwa?.....akatishe mawasiliano afanye mishe zake, huyo mwanamke atarudi kama huko alipo patapata kiangazi kikali.... Ila kuendelea kumnyenyekea hata akiachwa leo hawezi kwenda kwa huyo jamaa yako....
Yeye anahisi mimba ndio itam tie vicky asiendelee kumzingua ila kwa sasa hata Vicky anakwepa hata wao kuonana hivi ni mapenzi gani hayo jamani.Hapo Jackie atapoteza pesa,muda wake na stress juu maana hata Kama kumvizia kumtia mimba haita ingia na ikiingia itachomolewa
Atafute ustaarabu mwingine
Inaumiza sana mzee, lakini fresh tuThere's always a point of no return...Wala msimuone mjinga.
Upendo wake umeshikiliwa Kwenye mapenzi ya kweli ndio maana. Sema tu anamtupia dhahabu na rulu nguruwe ambae hajui thamani ya vitu hivyo.
Atamuambia huyo shemeji yako kwamba Mshikaji wangu anasema nikuache eti unanisumbua sana!Da sijui nimwambie hii au nimuache[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke anakufichaje mimba yako? Hata kama ni kweli basi alijua fika demu amueshimu lakini akawa anaforce,sasa nini hiyoHuwezi kushaurika stage hiyo. Haiwezekani.
Speaking from experience.
Nimewahi kupitia stage hiyo, nina mshkaji wangu wa karibu alipitia pia stage hiyo.
1. Mimi kuna sehemu nilikuwa nafanya part-time, yaani ilikuwa kila wakati naenda kuomba advance kwa Mhasibu.
2. Huyo mshkaji wangu alifikia stage akawa anaona kazi anayofanya ni mbaya na ina mshahara mdogo. Ilifikia stage mpaka yule demu akapewa mimba na jamaa mwingine, lakini mshkaji akawa anasema "itakuwa ni mimba yangu lakini ameamua kusema siyo yangu ili anipime kama nina penzi la dhati [emoji17] ( Ingawa sada hivi alishayoka na yuko sawa ).
Hakika, Hii huwa ni stage mbaya mnoooo.
Hamna ishu ni kwamba J ndio alimchakata V na akamvua Bikra kabisa. Sasa dogo alikuwa amedata sana kwa mwana kiasi kwamba akawa anatoroka kwao anamfata mchizi chuo hata shule hazingatii. Jamaa ndio ikambidi amuweke kando kwa muda asije zingua school. Demu alioza kwa mchizi.Huyo Vickie naamini akishatoa mzigo basi Jackie ndo ataanza nyodo, Mi pia demu hata nimfukuzie vipi kama hajanipa uchi simuachi walah, Siku akitanua miguu ndio atajijua hajui hatoona text yangu tena akitaka kuleta mzigo aulete niule Free
Aiseee Mwamba atulie tu na ajue zama zake zimepita, I bet kuwa Vickie sio Level tena za Jackie ama?Hamna ishu ni kwamba J ndio alimchakata V na akamvua Bikra kabisa. Sasa dogo alikuwa amedata sana kwa mwana kiasi kwamba akawa anatoroka kwao anamfata mchizi chuo hata shule hazingatii. Jamaa ndio ikambidi amuweke kando kwa muda asije zingua school. Demu alioza kwa mchizi.
Sasa after two years jamaa akamcheki dogo akiwa IFM second year kwamba anataka ku resume mahusiano ndio hapo sasa balaa lilipoanzia. Demu akawa ni kama mtu mpya kabisa upendo ulishafifia. Sasa mwamba anafosi kumrudisha katika state waliokuwa mwanzoni akiamini demu ndio mkewe halali[emoji16][emoji16][emoji16]