Ni muhimu Kuheshimu mawazo ya wengine bila chuki!

Ni muhimu Kuheshimu mawazo ya wengine bila chuki!

inakuaje tunasikia maneno wanayosema kwa lugha zao wenyewe,

mnasikia mambo hayo ya Mungu wanayosema kwa lugha zao wenyewe,

wao ni wagalilaya nasi ni mataifa, ya kutoka nchi mbalimbali

duniani,

ina maana gani,

inashangaza jambo hilo
 
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ hii inakuja inakataa
 
Kuna wale wazee utasikia
STRAIGHT TO THE IGNORE LIST.

sijui wanajikutaga akina nani kisa tu umekataa kuwa na mtazamo sawa na wao.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… labda unaacha kushambulia hoja/mada zao una mu attack yeye binafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom