ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,673
- 5,443
NdioKama usingekuwa na watoto wa kiume unaolea ungewavumulia?
NdioKama usingekuwa na watoto wa kiume unaolea ungewavumulia?
Naunga mkono aisee hii issue ya mashoga hapana kwanza inatia kinyaa sana wanisamehe kama wapo humuYote sawa, ila kuvumilia mashoga wakati Kuna watoto wa kiume nalea Hapana aisee
Wavulana hawafai kuwa karibu na mashoga kabisa kabisa
Kuna mstari mdogo sana kufanya mvulana kuwa demu kama mama yake
Wewe Tena 🤣🤣Nakujua umejitosheleza sana! Hebu makizana naye!
Nimekuwaje?Wewe Tena 🤣🤣
Issue ipi kipenziNimekuwaje?
Hafu ile issue ndio umegoma kabisa kunipa muongozo? Watu mnapenda kubembelezwa jamani🤦🏽♀️
Ile ya mgonjwa wetu😊Issue ipi kipenzi
Mimi na wewe tunaongea mengi
tu !? 😀Ile ya mgonjwa wetu😊
Nikikwambia alipopelekwa sasa hivi utachoka🙌🏾Aaghh kwani hajapona
tu !? 😀
Acha basiii hebu niambie my dear oneNikikwambia alipopelekwa sasa hivi utachoka🙌🏾
Hapa sasa ni kasheshe, ntakuelezea chocho!Acha basiii hebu niambie my dear one
kwanza kabisa kila mtu Ana interest zakeIlikutana na nini mpka kubadili mtazamo?
Indeed mkuu!View attachment 3593224
Nilijifunza toka udogoni ila iliniingia kikweli kweli in my 20's baada ya maisha na kazi kunifanya nichangamane na watu wa aina mbalimbali. Sasa hivi sibugudhiwi kabisa na mawazo na mitazamo ya watu, hata kama sikubaliani nayo.