Ni muhimu Kuheshimu mawazo ya wengine bila chuki!

Ni muhimu Kuheshimu mawazo ya wengine bila chuki!

Miye nilijitambua kitambo aisee hata rafiki zangu huwa sibanani nae ile shoulder to shoulder wala. Namuacha azulule huko na miye kule ikifika muda tutapeana michapo vuzuri.
Ss best zangu wengine ving'ang'a hao kila sehemu anataka muwe woote. Atakuuliza uko wapi unafanya nini? Hujui km leo ile issue ndiyo inafanyika.
Naaminigi kutofautiana tabia na misimamo siyo mwisho maana kuna kitu kimoja au viwili vimetufanya tuelewane.
 
Nimekuwaje tena? Mbona sina habari🙆🏽‍♀️
IMG_1009.jpeg
 
Hembu nipimie Niko spectrum gani kwa kuzingatia haya;
Sipendi dini kutumika ku control watu au jamii, sijali wanawake wanavyovyaa, sijali mtu akiwa au asipokuwa shoga, sipendi mtu akijenga hoja kwa mambo ya nchi nzima kwa kusema hizi ni "mila na tamaduni zetu"
Yote sawa, ila kuvumilia mashoga wakati Kuna watoto wa kiume nalea Hapana aisee

Wavulana hawafai kuwa karibu na mashoga kabisa kabisa

Kuna mstari mdogo sana kufanya mvulana kuwa demu kama mama yake
 
Being different and thinking different makes a person unforgettable,
The World is changed by your example not by your opinion,if you want to change the World,change yourself.
 
Yote sawa, ila kuvumilia mashoga wakati Kuna watoto wa kiume nalea Hapana aisee

Wavulana hawafai kuwa karibu na mashoga kabisa kabisa

Kuna mstari mdogo sana kufanya mvulana kuwa demu kama mama yake
Kama usingekuwa na watoto wa kiume unaolea ungewavumulia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom