sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 524
- 183
Kokote duniani wanaharaki wamekuwa chanzo kutetea haki za watu na tuwape maua wanawatetea wanyonge lakini wakati mwingine imeleta madhara makubwa sana.
Wanaharakati duniani wameleta mabadiriko makubwa sana duniani kutetea haki za watu hata ikibidi wao kupoteza maisha na hili nawapa pongezi sana.
Mwaka jana nchini Tanzania baada ya uchaguzi watu wengi sana walikufa na wengine kupata kilema baada kutokea sintofahamu ambayo chanzo kubwa ni chuki iliyosababishwa. Ni chuki upande zote mbili wa serikali na jamii uliozalishwa na wanaharakati/ serikali na kutokea sintofahamu.
Kule afrika kusini ametokea mwanaharakati mdada na kutaka wageni wote wa afrika kusini waondoke nchini.Hii imeleta madhara makubwa sana kwa wasio na hatia wengine kulala nje na wengine kupoteza mali na maisha yao. Hili ukilitazama kwa ndani utaona uharakati inatabia kujenga CHUKI kwa jambo fulani ambalo muhusika inabidi alipe na hili ndo madhara yake kuonekana. Hakuna shaka AFRIKA KUSINI SASA INACHUKIWA DUNIA NZIMA SABABU YA UBAGUZI.
Tukienda kule sudan kulikuwaga na mdada alikuwa na uharakati kupinga serikali kilichotokea wananchi wanapigana wao kwa wao baada kuvunja umoja wa nchi. Huu ni uharakati mavi ambao mimi naupinga sababu imesababisha uvunjifu wa nchi na kusababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe.
So wanaharakati wana mchango mkubwa sana kujenga taifa au kubomoa taifa. Sio kila jambo unaloliona nchini hulipendi kulishabikia na kutetea inabidi kwanza tutumie busara. Je nikipigania jambo jeh ndugu zangu na marafiki zangu watakuwa salama.
Hakuna binadamu aliyemkamirifu kila mtu anaupungufu wake. Kama kuna dhuluma yeyote ya mali au uhai ni vema kutetea jambo sio kwa kusababisha chuki.
Wanaharaki wajifunze kutumia busara kutetea jambo hata wakiona kuna upande muhusika kuwajibika. Tupinge ujengaji wa chuki kwa mtu yeyote kwa kila mwananchi kuheshimiana na kiongozi wa juu kumuheshimu aliyechini yake.
Nipende kusema ya moyoni kwa yeyote Tanzania aliyepewa dhamana kuongoza nchi ni kuacha kwa mara moja kupoteza haki za watu. Either kwenye uchumi, ndoa, siasa ni lazima watambue kinga dhidi ya chuki ni bora kuliko dawa. Na ilikuondoa wanaharakati waovu ni lazima haki ipatikane hata kwa kujiudhuru madarakani ingawaje wakati mwingine inaweza isibadirishe kitu.NAPENDA TANZANIA YA AMANI . TANZANIA ISIYENA NA CHUKI INAWEZEKANA KABISA