Ni kweli Dar watu hawanywi pombe saa za mchana?

Nikienda gengeni mwenye grocery ananiwekea glass yangu ofisini kwake, tena ukute wale dada jirani zangu wa kule Kilimanjaro hawaachi pesa ipite, saa nne asubuhi anakuuliza kama unataka mtori pia.
 
Kwa masharti ya dakitari?
Hapana Kiongozi.

Nilipopumzika kwa ajili ya mfungo wa Ramadhani, kizungu mwaka 2014. Nilipomaliza mfungo sikujagusa tena maji.

Hivi ninanvyokuambia ni mwaka mmoja na kitu kama miezi kumi na moja fulani hivi, nakaribia kutimiza nyundo ya pili
 
Hivi ninanvyokuambia ni mwaka mmoja na kitu kama miezi kumi fulani hivi, nakaribia kutimiza nyundo ya pili
Mungu akubariki sana
 
Aaamiin.

Kiongozi, naona nimeshinda.

Sababu naweza kwenda Pub na wana, lakini mimi sipigi mitungi nawaacha wao wapige maji yao
Mungu/Allah ndio kakuongoza kwa nguvu zako mwenyewe isingewekana wengi wamejaribu wakashindwa
 
Mkuu hio ilikuwa amri sio sheria ukipelekwa mahakamani hawajui wakushtaki vipi. Weee dada waiter hebu lete hio chai yangu safari lagers na supu ya mbuzi[emoji6]
 
Hapana Kiongozi.

Nilipopumzika kwa ajili ya mfungo wa Ramadhani, kizungu mwaka 2014. Nilipomaliza mfungo sikujagusa tena maji.

Hivi ninanvyokuambia ni mwaka mmoja na kitu kama miezi kumi na moja fulani hivi, nakaribia kutimiza nyundo ya pili
Wapi faiza foxy Kuna Kafir huku
 
Mungu/Allah ndio kakuongoza kwa nguvu zako mwenyewe isingewekana wengi wamejaribu wakashindwa
Inna Mal A'amalu Binniyat (Hakika ya tendo/kwa tendo lolote lile) ni kwa nia.

Nia ilikuwepo, na Mwenyezi Mungu akaniongoza.

Kiongozi nimekupata vizuri sana.

Ubarikiwe sana Kiongozi.

Mwenyezi Mungu atuepushe na vishawishi, na atusamehe, kwa kuwa sisi Binaadam ni viumbe dhaifu.

Laa Ilaaha Illa Annta Subhaanaka Inna Kunnaa Minadhwaalimiin
 
Amina Inshallah
 
Back
Top Bottom