Ni kweli Dar watu hawanywi pombe saa za mchana?

mavumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
596
Reaction score
328
Naambiwa sheria zinatiliwa mkazo na sasa hivi ni marufuku kunywa pombe wakati wa mchana hadi ifike saa 10.00 jioni na kuendelea. Labda kwa maana ya sehemu za wazi kama vile Baa na Grocery. Lakini nimepita maeneo mbalimbali nikakuta watu wanadunda maji kwa kwenda mbele.

Huko Unguja nako mambo ndio hivyo! Pesa yako tuu iwe asubuhi, mchana usiku n.k, wewe kamata kilaji saizi yako! Ingawa sheria za huku bara sidhani kama zinaihusu Zenj.
 
nani kakudanganya juzi muungano day nimeshinda kigrosary cha street napiga mitungi hata ile ni ajira ya mtu maana naona kila aliyejiwekea kiajira chake mnataka kumnyanganya
 
Ni sheria yenye makengeza kwakuwa si kila mmoja ni mwajiriwa wa kufanya kazi kuanzia asubuhi mpaka jioni
Kuna watu wa commission/madalali
Kuna watu wa zamu/shift
Kuna watu wakufanya kazi usiku tuu
Kuna wafanya biashara wanaoanza kazi 11 alfajiri mpaka saa tatu asubuhi keshamaliza kazi yake
Kuna wale wa kusambaza mizigo akianza asubuhi saa sita keshamaliza nk nk
Kuna umuhimu wa hii sheria kufanyiwa marekebisho makubwa kazi na dawa
 
Dar ni jiji
hizo sheria ni huko vijijini
Dar ni jiji huwezi leta sheria za vijijini.....
yaani labda kila mnywaji awe na mgambo wake anamlinda ,,,,vinginevyo ni kupoteza nguvu na kuwapa wale askari wanaokuja kutukamata mipenyo ya rushwa maana akinishika nampooza tehetehe nishafanya hivyo mara kibao si usiku si mchana.................. magumashi tu..hii ni sheria ya tz vijijini kwakweli
 
nani kakudanganya juzi muungano day nimeshinda kigrosary cha street napiga mitungi hata ile ni ajira ya mtu maana naona kila aliyejiwekea kiajira chake mnataka kumnyanganya
Mimi nawasubiri kwa hamu siku moja waingie kwenye 19 zangu...! Wasije na na makamera ya tv na magazeti hapo ntatimua mbio
 
hahahaha wala hawanaga hata bunduki mazee wanakujaga na mikwala ya mende kuuzunguka mkate kama vile ataumaliza ....kisha wanatulizwa na 5000 wanaenda bar nyingine wanapewa tena bia mbili na 10 yaani ni kuwatengenezea tu hawa majamaa ulaji

interesting....................
 
hahahaha wala hawanaga hata bunduki mazee wanakujaga na mikwala ya mende kuuzunguka mkate kaama vile ataumaliza kisha wanatulizwa na 5000 wanaenda bar nyingine wanapewa tena bia mbili na 10 yaani ni kuwatengenezea tu hawa majamaa ulaji interesting....................
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poa ntaandalia pombe niliyochanganya valium na viagra [emoji23] [emoji23][emoji106] [emoji106] wadindishe huku wamelala [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Naambiwa sheria zinatiliwa mkazo na sasa hivi ni marufuku kunywa pombe wakati wa mchana hadi ifike saa 10.00 jioni na kuendelea. Labda kwa maana ya sehemu za wazi kama vile Baa na Grocery. Lakini nimepita maeneo mbalimbali nikakuta watu wanadunda maji kwa kwenda mbele.

Huko Unguja nako mambo ndio hivyo! Pesa yako tuu iwe asubuhi, mchana usiku n.k, wewe kamata kilaji saizi yako! Ingawa sheria za huku bara sidhani kama zinaihusu Zenj.
Huku Unguja hizo sheria hazipo, any time ukijisikia unajivuta hadi jeshini unakamata kilaji na ulinzi ni wa kutosha. Onyo: USIFANYE FUJO.
 
Ili jiji banha watu wanakandamiza kama kawa kinacho zuia kunywa ni uchumi kama upo fresh unagonga mda wwte
 
Naambiwa sheria zinatiliwa mkazo na sasa hivi ni marufuku kunywa pombe wakati wa mchana hadi ifike saa 10.00 jioni na kuendelea. Labda kwa maana ya sehemu za wazi kama vile Baa na Grocery. Lakini nimepita maeneo mbalimbali nikakuta watu wanadunda maji kwa kwenda mbele.

Huko Unguja nako mambo ndio hivyo! Pesa yako tuu iwe asubuhi, mchana usiku n.k, wewe kamata kilaji saizi yako! Ingawa sheria za huku bara sidhani kama zinaihusu Zenj.

Inaelekea sheria hii kuja kufanya kazi itakuwa ngumu sana. Hata hivyo hivi huyo Bw JPM anagonga vitu kama hivyo? Au ni mlokole?
 
Sasa "logic" ya sheria ya kuzuia watu kunywa pombe mchana ni ipi? ni nini? Na walioanzisha hii sheria walisukumwa na hisia gani?
 
Nchi maskini kama hii, bajeti yake kwa kiwango cha kutosha inategemea wanywa pombe na wavuta sigara, hapo hapo unasema watu wapunguze kunywa Pombe kwa kutokunywa pombe mchana, hawajui kwamba wanapunguza mauzo ya breweries na hivyo kuathiri mapato ya serikali??? JPM sielwi wanauchumi wanaomshauri wanatumia economic theories gani??.
Lingine eti sababu ni muda wa kazi, sijui upi ambao siyo muda wa kazi ambao watanzania hawatakiwi kufanya kazi. Siasa bwana zina ujinga wake wakati mwingine!!!!!!!!
 
Akili za kuambiwa changanya na zako,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,hicho kitu hakipo
 
Nchi maskini kama hii, bajeti yake kwa kiwango cha kutosha inategemea wanywa pombe na wavuta sigara, hapo hapo unasema watu wapunguze kunywa Pombe kwa kutokunywa pombe mchana, hawajui kwamba wanapunguza mauzo ya breweries na hivyo kuathiri mapato ya serikali??? JPM sielwi wanauchumi wanaomshauri wanatumia economic theories gani??.
Lingine eti sababu ni muda wa kazi, sijui upi ambao siyo muda wa kazi ambao watanzania hawatakiwi kufanya kazi. Siasa bwana zina ujinga wake wakati mwingine!!!!!!!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] agiza Ukawa mbili za barridi sana
 
Back
Top Bottom