Ni kwanini kwenye ukuaji wa tasnia ya mziki wa kizazi kipya mchango wa shule za sekondari miaka ya 90 haupewi uzito wake?

Dah Mungu mkubwa! Kuacha drugs si jambo jepesi!Hongera sana nawe pia ndg yangu umeweza.🙏🏾! God Bless You!.
Nyakati zetu Watemi walikuwa wanavuta Bangi sana

Pale Iringa palikuwepo family ya akina Taurati, Cool Nine, Shedad jamaa walikuwa Watemi sana

Ukija Dar unawakuta tena na basi lao la Simba Luwala, jamaa walitesa sana
 
Zamani utemi ilikuwa sehemu ya maisha na ndo maana kulikuwa na ugomvi wa mashule kwa mashule battle nje nje achia mbali utemi wa form kwa form, form 2 ndo darasa korofi kabisa! Sishangai. Kuzimisha disco ndo mchongo!
 
Asante sana kaka! Safi sana ntajiunga kupata mambo ya zamani kuna raha yake kwa sasa tumekuwa washua. Kuna post yako nimeipenda ile ya mabroo! RIP Langa alikuwa mwanangu sana, Da Hustler pia tumehang out pamoja mara nyingi sana ila miaka imepita hatujaonana sina uhakika yupo Kenya au TZ.
Ibraa nimehang nae sana Tabata Cha’ngombe miaka flani,alikuwa anakuja kula dawa kwa bro wangu mmoja alikuwa Sadali(pusha)
 
Hatuhangaikagi na washamba kama nyie!Huna tofauti na machoko wengine hapa mjini Hip Hop is Knowledge if you know you know kama hujui hujui tu!Hip hop inachagua waamini wake kwa bahati mbaya wewe si mmoja wao. Kwa taarifa yako tu nina nafasi nzuri tu kwenye hii serikali na wanaimani kubwa na mimi kwa kile ninacho-deliver! Sidhani kama wewe umekulia mjini na umestaarabika kwa kuwa judgemental! Pole sana
Nafasi yako nzuri serikalini ndo inakufanya uite watu machoko??
 
Asikudanganye mtu Shule za Muziki wa kizazi kipya ilikuwa Mbowe Hotel, YMCA na Maggot

Watu walijifunza practically

Baadae Mzee Mengi wa ITV alisaidia sana kupitia Djs wake

Lakini Bonny Love, Master J na Majani wamo kwenye historia

Ila Baba Lao ni Freeman Mbowe hadi bush star mmoja akaivunja ile Mbowe hotel iliyoboreshwa na Kuwa Billicanas
Sema nyie machawa wa CCM ni wa ovyo kama wahaya wa Tandika na Mwananyamala kisiwani.
 
Nafasi yako nzuri serikalini ndo inakufanya uite watu machoko??
Ukiingia kwny mfumo unakula chuma tu!mimi na mshkaji tumeyamaliza wewe ni nani tena unakuja kuhoji?!Jitahidi ku-manage stress! Kwa kifupi una shobo dundo.Utaliwa.
 
Asikudanganye mtu Shule za Muziki wa kizazi kipya ilikuwa Mbowe Hotel, YMCA na Maggot

Watu walijifunza practically

Baadae Mzee Mengi wa ITV alisaidia sana kupitia Djs wake

Lakini Bonny Love, Master J na Majani wamo kwenye historia

Ila Baba Lao ni Freeman Mbowe hadi bush star mmoja akaivunja ile Mbowe hotel iliyoboreshwa na Kuwa Billicanas
Bush star tena? Si alikuaga mungu wako na washamba wenzio?
 
Back
Top Bottom