Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Mbona


Hoja ni Afya ya JK toka amalize kuongoza Taifa letu,sasa mambo ya Lowassa yanakuja vipi?Hivi bila kumtaja Lowassa tena kwa ubaya huwezi kupata dhawabu kwa Muumba?Au bila Lowassa Jamii forum itafutika?Au toka aachie uwaziri mkuu zaidi ya miaka 9 tena kazi ya waziri mkuu,nchi livyobolonga na inazidi kubolonga ni Lowassa?
muulize copenhagen ndie aliharibu mada. kaingiza khabari za mzee kwa mshawasha basi nasi tukamchomekea
 
Hiyo ni angle ya picha low quality camera iliyotumika. Mzee yuko fit anaendelea kula urojo.
 
"Wana ccm?" Nini kimekufanya umpe mtu usiyemjua itikadi ya chama? Unadhani kila mtu anaendeshwa na uvyama! Sad
Ndege wafananao huruka pamoja, sio kuendeshwa kivyama çomments huwa zina reflect tabia, maana kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake, sasa nashangaa watu kushadadia ya wengine wao wakiguswa huumia sana. Vtu vingine hutokea ka fundisho afya, ya MTU na uzima only God knows.
 
Dhambi ya usaliti malipo yake ni hapa hapa duniani,haya Yudah alipomsaliti Masiha aliishia kujinyonga.
 
Nani asiye mgonjwa hapa duniani? Nenda muhimbili leo kufanya check up uweke majibu hapa. Tukashifu yote ila sio afya za watu, huna control na afya yako unakashifu za wenzako?
Watu walizitafuta sana busara hizi kwenye uchaguzi wa mwaka Jana lakini hawaku fanikiwa kuzipata. Kwa nini haukuongea kipindi kile? Maana tatizo ndiyo lilifyatuliwa pale kwa Mara ya kwanza.
 
Ndege wafananao huruka pamoja, sio kuendeshwa kivyama çomments huwa zina reflect tabia, maana kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake, sasa nashangaa watu kushadadia ya wengine wao wakiguswa huumia sana. Vtu vingine hutokea ka fundisho afya, ya MTU na uzima only God knows.

Oh, really!! Kushadadia ya wengine? Kama wewe unaendeshwa na uvyama usidhani kila mtu anaendeshwa the same! I support JPM but if he screws siwezi kusimama upande wake, hongereni wenye vyama vyenu.
 
Watu walizitafuta sana busara huzi kwenye uchaguzi wa mwaka Jana lakini hawaku fanikiwa kuzipata. Kwa nini haukuongea kipindi kile? Maana tatizo ndiyo lilifyatuliwa pale kwa Mara ya kwanza.
Unajuaje kama nilimsema vibaya EL kuhusu afya yake?
 
Pinda wa sasa ndiye yule aliyekuwa kabla hajawa waziri mkuu. Alipokuwa waziri mkuu sema ndiyo wakawa wanamlazimisha kwenda saloon.
[emoji38][emoji38][emoji38] ina maana Mizengo kwenda Saloon mpaka alazimishwe ? Nywele alikua ananyoa na nini ?? Ila ni moja ya wazee wa aina yake Mungu amjalie maisha marefu ,
 
Back
Top Bottom