Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Dhambi ya Zanzibar na Uamsho...usifikiri ni madogo...yanakula mtu slowly
 
Mimi siwezi kuchangia kiiiivyoo lakini......................................................................... Basi
 
Kama umepima afya yake kwa sura, shingo na nywele hapo mimi sijui; lakini kama umepima afya yake kwa mwonekano wa alivyovaa mimi naona kama umechanganywa na kile kikoti cha sare ya waangalizi wa uchaguzi ndio kanaonesha kama mabega yamepanda juu kwa sababu kimepita juu ya koti la suti na inawezekana hicho kizibao cha sare ya uangalizi kina size ndogo kuliko hilo koti la suti yake. Halafu ukumbuke labda amepunguza vazi la ndani la 'bullet proof vest' baada ya kustaafu. Picha focus ya camera inaweza kuwa inachangia muonekano huo ambao yawezana sio halisia.
vipi?na hayo makunyanzi ya usoni unayaongeleaje?
 
Wana ukumbi salaam.

Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.

Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....

Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431
Huwezi kuwa na picha moja ya mtu tena kwa camera mbovu namna hiyo uka make conclusion!
Hata wewe I am sure una picha umekongoroka kuliko ulivyo ktk uhalisia!
Weka series za picha zake hata kwa siku hiyo unaweza kuwa na JK wenye health status tofauti!
 
Uliitazama video ya ufunguzi wa mkutano wa CCM Dodoma?
 
Haya Tumpe pole kama anaumwa, au ikiwa ndio hali za wastaafu, then tumuhabarishe tu Magufuli ajiandae kuzeeka kwa mwendokasi!
 
Hiyo picha ukiicheki mabegani kama imephotoshopiwa au kuna kioo hapo?,
ila labda angle waliyopiga picha ndo imemtoa hivyo,hebu tupia picha zingine mbili tatu za hivi karibuni,maana mnashupalia picha moja tu
Ningetarajia wewe mwenye mashaka ndiyo ungetupia picha ili ku prove wrong...
 
Ningetarajia wewe mwenye mashaka ndiyo ungetupia picha ili ku prove wrong...
does it mean hujaicheki picha aloweka mdau mmoja hapo juu?.

Bavicha bana,acheni kujifariji na kujipa matumaini fake,laiti mgejua huyo jk hapaswi kuwa priority yenu kwasasa,kwani mnakabiriwa na challenge kubwa mno kwenye utawala huu,mnapoteza mda kufocus on jk kuliko challenge za sasa
 
Haya Tumpe pole kama anaumwa, au ikiwa ndio hali za wastaafu, then tumuhabarishe tu Magufuli ajiandae kuzeeka kwa mwendokasi!
magufuli mbona mzee tayari?,hata yeye sikuile amekili wakisimama na jk,yeye jpm ndo anaonekana kaka yake wakati jk ndo mkubwa sana tu
 
Kweli waweza weka mada ikawalenga wachangiaji fulani tu.

Ila ok, mnaonyesha uwezo wenu wa kufikiri.

Napita tu.
 
magufuli mbona mzee tayari?,hata yeye sikuile amekili wakisimama na jk,yeye jpm ndo anaonekana kaka yake wakati jk ndo mkubwa sana tu
Magufuli hajadhoofu!!!!!!
 
tusubiri alimuita lowassa mgonjwa kunbe yeye ni mzima.zile mambo ya kushafisha damu tu.

swissme

swissme;
Unamaana gani damu kusafishwa? Mnatumie sabuni gani mkuu? Lakini kwa babu aliwahi mapemaaaa. Sijui kulikuwa na nini pale
 
Back
Top Bottom