Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

bavicha acheni ujinga wa kujadili watu. akili ndogo hujadili watu akili kubwa hujadili maendeleo
 
Hiyo picha ukiicheki mabegani kama imephotoshopiwa au kuna kioo hapo?,
ila labda angle waliyopiga picha ndo imemtoa hivyo,hebu tupia picha zingine mbili tatu za hivi karibuni,maana mnashupalia picha moja tu
Na macho je?
 
Mbona hapa anaonekana kawaida tu? Acheni majungu yenu yasiyo na tija.

0,,19473213_403,00.jpg
 
Wana ukumbi salaam.

Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.

Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....

Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431
Kikwete ni rais bora kabisa,mzee wa watu aachwe apumzike.ila haikuwa vizuri kipindi cha kampeni kumdhihaki lowassa kwa hali ya kiafya aliyokuwa nayo..c vizuri kudhihaki afya ya mtu...akitaka aishi kwa amani na furaha vizuri kama binadamu amtafute tu lowassa amuombe msamaha..lowassa ni mtu mwenye hekima sana naamini watasameheana tu coz wale walikuwa marafiki wa mda mrefu
 
Aisee Lumumba-One umenichekesha sana ? Lowasa huyu mliyesema Ikulu sio Wodi ya wagonjwa kauli za kijana wenu Nape ,leo mnasema Lowasa hazeeki kwa sababu hajastaafu ??
Mkuu unajua tofauti ya ugonjwa na uzee? Nani kasema mkwere ni mgonjwa?
 
Jamii inaelewa wewe ni nani aliyechakachua nani!! wale waoga wanaogopa hata jamii isikutane kureflect!! shameeeeeeeee!! wezi wachakachuaji!! Siye tunamjua Rais tuliyemchagua hamuwezi kumtoa mioyoni mwetu.
Atakuongoza peke yako na familia yako!!
 
Kuna Tija gan kudscusss afya za wazeee wetu wakati wote tuna equal chance ya kuuumwa?
 
Wana ukumbi salaam.

Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.

Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....

Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431
Safar za nje c zimepungua. Yeye alikuwa kazoea kuisha angani.
 
Ukitaka kulijua hili angalia picha za mkutano mkuu wa ccm , ule uliompa uenyekiti wa asilimia 100 Dr Magufuli , Noma ! Kule kimanzichana huwa wanasema ACHOLILE KACHORA !!
 
Wana ukumbi salaam.

Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.

Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....

Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431
Kweli kabisa, yaani amesheki Sana. Tunamuombea Afya njema.
 
Back
Top Bottom