Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Number one killer for old people is retirement....
Lowassa bado yuko poa sababu hajastaafu.
Wewe usipomtaja Lowassa siku haiendi.

Lowassa astaafu mara ngapi?
Hata hivyo kama kupitia magumu ndio kuzeeka Lowassa angekuwa anatembelea wheel chair.
 
Duh Mkwere afya imedhoofika sana yatakuwa mawazo jinsi "MTUKUFU" anavyowasomesha namba wao wenyewe.
 
Mmmmh wanadamu tuna maneno sana, unajisikiaje kumsema mwanadam mwenzako juu ya afya yake? Hata kama mtu ulikuwa humpendi jamani inatosha, tumuache na yeye apumzike. Sote tumeumbwa ni wa kuishi na kuondoka Duniani tunapita tu hakuna atakayedumu. Kudhoofu kwa afya yake hata tukiandika maelefu ya maneno kumsema kama Mwenyezi Mungu anamsimamia ataendelea kuwepo. Tujenge huruma juu ya wenzetu kwa kuwaombea neema na kuwasamehe hata kama walitukwaza. Tusitumie majukwaa haya kuwasema vibaya wenzetu si vizuri. Ni nani anauhakika na kesho? Kwangu waliokonda na wanene, weusi na weupe, wafupi na warefu, wenye vilema na wazima sote tutaenda. Mimi nadhani tuwe na mioyo ya kusamehe na kuwahurumia binadamu wenzetu kwani hata sisi si wakamilifu. Unaweza ukawa unajiona mnene au mwenye afya ukashindwa kuamka na ndo ikawa mwisho wa pumzi yako.
 
Wewe usipomtaja Lowassa siku haiendi.

Lowassa astaafu mara ngapi?
Hata hivyo kama kupitia magumu ndio kuzeeka Lowassa angekuwa anatembelea wheel chair.
We mbona mzito hivyo? Nimesema Lowassa hajazeeka sababu bado anafanya kazi...ukistaafu/kukaa bila kazi kunazeesha haraka...
 
Hebu wekeni picha ya lowasa na odinga juzi,mcheki lowasa,anatia simanzi kwelikweli,
amesimama kama ndo anaanguka,ni kama hana balance fulani hivi,
hawa washazeeka na kila mmoja ana medical issue.
Ukishagonga 50,kila kiungo mwilini kinaanza kuchoka
 
Hiyo picha ukiicheki mabegani kama imephotoshopiwa au kuna kioo hapo?,
ila labda angle waliyopiga picha ndo imemtoa hivyo,hebu tupia picha zingine mbili tatu za hivi karibuni,maana mnashupalia picha moja tu
Tehetehetehe unalazimisha blue kuwa kijani?
 
Mmmmh wanadamu tuna maneno sana, unajisikiaje kumsema mwanadam mwenzako juu ya afya yake? Hata kama mtu ulikuwa humpendi jamani inatosha, tumuache na yeye apumzike. Sote tumeumbwa ni wa kuishi na kuondoka Duniani tunapita tu hakuna atakayedumu. Kudhoofu kwa afya yake hata tukiandika maelefu ya maneno kumsema kama Mwenyezi Mungu anamsimamia ataendelea kuwepo. Tujenge huruma juu ya wenzetu kwa kuwaombea neema na kuwasamehe hata kama walitukwaza. Tusitumie majukwaa haya kuwasema vibaya wenzetu si vizuri. Ni nani anauhakika na kesho? Kwangu waliokonda na wanene, weusi na weupe, wafupi na warefu, wenye vilema na wazima sote tutaenda. Mimi nadhani tuwe na mioyo ya kusamehe na kuwahurumia binadamu wenzetu kwani hata sisi si wakamilifu. Unaweza ukawa unajiona mnene au mwenye afya ukashindwa kuamka na ndo ikawa mwisho wa pumzi yako.
Hizi busara ndo tulikuwa tunazihitaji mwaka jana kwenye kampeni ccm walipoanza kuponda afya ya Lowasa... Mungu huwa hadhihakiwi jamani yanawarudi wenyewe sasa
 
Hebu wekeni picha ya lowasa na odinga juzi,mcheki lowasa,anatia simanzi kwelikweli,
amesimama kama ndo anaanguka,ni kama hana balance fulani hivi,
hawa washazeeka na kila mmoja ana medical issue.
Ukishagonga 50,kila kiungo mwilini kinaanza kuchoka
Tatizo ni kwamba CCM walitumia afya ya Lowasa kama rungu ya kufanyia kampeni huku wakasahau uzima unatoka kwa Mungu. Sasa hata JK siku anafunga kampeni Mwanza alisema Lowasa afya yake ina mashaka na wote tulisikia kwa masikio yetu.

Sasa iweje leo anaonekana amedhoofu ccm mnaanza kuonesha huruma zenu? Muwe na kumbu kumbu ya kilichotokea mwaka jana kwenye kampeni
 
Back
Top Bottom