Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Number one killer for old people is retirement....
Lowassa bado yuko poa sababu hajastaafu.
Mbona yeye alisema hiyo ilikuwa kazi ngumu na akistaafu atalala usingizi mzigo na mtamu kwani ikulu alikuwa halali?

Sasa inakuwaje MTU anayelala usingizi mtamu adhoofike hivyo kuliko anayekesha usiku kucha?
 
Ukimya wa Lowasa utawaumbua wote. Ila matusi waliyoratibu nakuwatumia akina Nape kumtukana Rais Lowasa yalikuwa too much
huu ni ujinga mbona matusi ya ufisadi aliyokuwa akitukanwa na kina Mbowe Lissu Mnyika Kubenea na magazeti yake, Msigwa na wengineo hamuyasemi. kweli nyani haoni kundule. anyway binadamu tumeumbwa kusahau mambo kweli. kitendo hiki hakitasahaulika labda kije kizazi kingine kabisa baada ya cha sasa kuondoka duniani
 
Mbona yupo Poa tu, laziada Ni picha ya juu kavaa kitu juu ya Blazer, nadhani ndio iliyo mtoa vibaya
 
huu ni ujinga mbona matusi ya ufisadi aliyokuwa akitukanwa na kina Mbowe Lissu Mnyika Kubenea na magazeti yake, Msigwa na wengineo hamuyasemi. kweli nyani haoni kundule. anyway binadamu tumeumbwa kusahau mambo kweli. kitendo hiki hakitasahaulika labda kije kizazi kingine kabisa baada ya cha sasa kuondoka duniani
Kitu gani kimemsibu Kikwete?
 
Number one killer for old people is retirement....
Lowassa bado yuko poa sababu hajastaafu.
Lowasa si aliona awahi kujiuzuru kabla.panga la kufukuzwa halijamfikia. kwa kiswahili cha kisiasa wanasema alijiuzuru kuwajibika. lugha lainiiii
 
Vipi JK mbona anadhoofu mno kupita wanaokesha lindoni? Vipi alisema anaenda kulala usingizi mtamu ndio huo?
Hilo kamuulize mwenyewe! Mimi nimekuonya uache ujinga wako wa kumuita Rais MTU aliyekataliwa na Watu
 
Lowasa si aliona awahi kujiuzuru kabla.panga la kufukuzwa halijamfikia. kwa kiswahili cha kisiasa wanasema alijiuzuru kuwajibika. lugha lainiiii
Tafadhali huu Uzi si wa Lowassa!! Unaweza anzisha wake, hapa tunajadili kudhoofu kunakostusha kwa mpendwa wetu JK!!
 
Magufuli hasomeki ndio maana JK ananyong'onyea, Kikwete na ujanja wake wa Chalinze Mkapa wa Ntwara alimzidi ujanja, usiye mtaka kaja. Magufuli kumpongeza Mrisho Mpoto alikuwa anatuma Ujumbe fulani Fulani kwa Watawala
Aisee inatisha!! JK bado haamini kuwa Magufuli ni Rais?
 
Hilo kamuulize mwenyewe! Mimi nimekuonya uache ujinga wako wa kumuita Rais MTU aliyekataliwa na Watu
Unaonekana umechanganyikiwa wewe!! Kuna mahali nimemwita Rais MTU aliyekataliwa?

Rudia posts zote kisha uthibitishe utupu wako.
 
Back
Top Bottom