Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

acheni propaganda uchwara mtu anayetimizaxmiaka 66 december mnataka awe na taswira ya mtoto wa miaka 19.Haya ni mawazo mufilisi ya watu wasiojitambua na kujielewa
 
Mmmmh wanadamu tuna maneno sana, unajisikiaje kumsema mwanadam mwenzako juu ya afya yake? Hata kama mtu ulikuwa humpendi jamani inatosha, tumuache na yeye apumzike. Sote tumeumbwa ni wa kuishi na kuondoka Duniani tunapita tu hakuna atakayedumu. Kudhoofu kwa afya yake hata tukiandika maelefu ya maneno kumsema kama Mwenyezi Mungu anamsimamia ataendelea kuwepo. Tujenge huruma juu ya wenzetu kwa kuwaombea neema na kuwasamehe hata kama walitukwaza. Tusitumie majukwaa haya kuwasema vibaya wenzetu si vizuri. Ni nani anauhakika na kesho? Kwangu waliokonda na wanene, weusi na weupe, wafupi na warefu, wenye vilema na wazima sote tutaenda. Mimi nadhani tuwe na mioyo ya kusamehe na kuwahurumia binadamu wenzetu kwani hata sisi si wakamilifu. Unaweza ukawa unajiona mnene au mwenye afya ukashindwa kuamka na ndo ikawa mwisho wa pumzi yako.

Well said mkuu, sijui Taifa letu tumeingiliwa na shetani gani?

Tunakosa utu kabisa - kuna baadhi ya members wanaporomosha maneno humu unaweza kufikiri wao wata ishi milele au awawezi kukumbwa na magonjwa - ajabu sana!!
 
mkuu mbona wakati lowassa anashambuliwa afya yake na maccm hatukukusikia ukileta upuuzi wako huu unaouita ni busara!!!afya ni siri ya mungu umeiona leo baada ya mwanaccm kudhoofu na kuwa discussed?
 
Pesa haramu zinamrudia,kujitajirisha ukoo wake na pesa za wananchi maskinii lazma akonde tu
 
Huwezi kuwa na picha moja ya mtu tena kwa camera mbovu namna hiyo uka make conclusion!
Hata wewe I am sure una picha umekongoroka kuliko ulivyo ktk uhalisia!
Weka series za picha zake hata kwa siku hiyo unaweza kuwa na JK wenye health status tofauti!
Mshazoea picha za kwa hisani ya ikulu.
Sasa kwanini msianzishe thread yenu manake JK hapa Kama mmemtumia kusafisha midude yenu.
 
mkuu mbona wakati lowassa anashambuliwa afya yake na maccm hatukukusikia ukileta upuuzi wako huu unaouita ni busara!!!afya ni siri ya mungu umeiona leo baada ya mwanaccm kudhoofu na kuwa discussed?

Mind your forked tongue - una ushahidi gani wa kuonyesha kwamba mimi binafsi niliwahi kuzungumzia chochote kuhusu afya ya Lowassa - wapi?
 
Wafuasi wa mafisadi mna hasira na JK kwa sababu alichinja rafiki yake fisadi baharini tena alichinja kwa shoka uchinjaji wa kikatili kabisa.
 
Alipokuwa rais alikuwa akipat
Wana ukumbi salaam.

Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.

Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....

Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431
hu

Pole zake ila aangalie isije ikawa maCCM yamempiga juju maana haya majitu hayaaminiki.
 
Wana ukumbi salaam.

Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.

Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....

Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431
Hili coat limekuwa oversize
 
Back
Top Bottom