matamauruke
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 348
- 211
Safari za nje hakuna
walisema lowassa ni mgonjwa sasa ngoja tuone mwisho wa hii sinema kwenda nje ya nchi kila siku tutajua tu nani ni mgonjwa.
swissme
UVCCM VIONGOZI WA CCM NA VITUKO WAMEKWAPUA WAMEIBA PESA MILLION 200Sasa kwanini msianzishe thread yenu manake JK hapa Kama mmemtumia kusafisha midude yenu.
atakuwa raisi wa MafisadiLowasa ni rais wa nchi gani mkuu?
Halafu ndio walikua front line kuimba Lowassa ni fisadi!!! Bado yule msemaji mwenyewe mtumbo Mkubwa kama nyumbu mwenye mimba!!!
Huku pemba sisi zetu ni dua tu
Kwahyo wana ccm ndo MNA haki mkuki kwa nguruwe?Nani asiye mgonjwa hapa duniani? Nenda muhimbili leo kufanya check up uweke majibu hapa. Tukashifu yote ila sio afya za watu, huna control na afya yako unakashifu za wenzako?
mwache Mungu kwa jambo alilotuachia na kutuletea dikteta uchwara mr haambilikiWana ukumbi salaam.
Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.
Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....
Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431
Mshampiga al kunuti nini?
Mnaitazama hiyo picha vibaya. Huyo ndiye JK halisi. Picha mlizozoea alikuwa akivaa bullet proof ndomana kifua kilijaa. Siku hizi havai tena.
"Wana ccm?" Nini kimekufanya umpe mtu usiyemjua itikadi ya chama? Unadhani kila mtu anaendeshwa na uvyama! SadKwahyo wana ccm ndo MNA haki mkuki kwa nguruwe?
kamanda mbona yule aliyeuliza swali hilo hujamwambia umenirukia mimi niliyekuwa namjibu. its nat fair. umekuwa biased. kwa sababu nilikuwa namjibu aliyeuliza swali hiloTafadhali huu Uzi si wa Lowassa!! Unaweza anzisha wake, hapa tunajadili kudhoofu kunakostusha kwa mpendwa wetu JK!!
Pinda wa sasa ndiye yule aliyekuwa kabla hajawa waziri mkuu. Alipokuwa waziri mkuu sema ndiyo wakawa wanamlazimisha kwenda saloon.Kuheshimika raha sana. Hata pinda kwa aliemwona hivi karibuni huwezi kuamini kama ndo yule