Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
- Thread starter
- #41
Nani kafurahia? Kwani JK ana shida gani hasa mpaka ukaona Mimi naifurahia?Kamuulize mkewe au daktari wake hapa jf unatafuta umbeya tu ,maana kila mtu atakupa jibu lake,kwa hiyo hautapata jibu la kweli,by the way usipende kufurahia shida za wengine,kwani hujui kuna zako zinakungoja.