Hii mada yako ukiangalia kwa jicho lingine inataka kumkashifu jk tu, hakuna lingine. JK is getting old, 66yrs sio mtoto tena na hatokuwa kijana tena. Hata BWM amechakuwa mtu mzima, 78yrs+ hawezi kuwa na sura ya kitoto.Mbona Mkapa hajachakaa?
Huyo ni mgonjwa acheni kumpambaHii mada yako ukiangalia kwa jicho lingine inataka kumkashifu jk tu, hakuna lingine. JK is getting old, 66yrs sio mtoto tena na hatokuwa kijana tena. Hata BWM amechakuwa mtu mzima, 78yrs+ hawezi kuwa na sura ya kitoto.
Hata wewe, ulivyokuwa 10+, 20+, 30+ etc sura inazidi kubadilika.
Lakini pia kumbuka, miili ya binadamu inatofautiana sana, mwingine yupo 50yrs anaonekana yupo fresh tu wakati mwingine na hiyo 50yrs anaonekana mzee sana. Pia kuna maradhi, vyakula, jinsi alivyotumia ujana wake...
Think man...think!!
Mbona Mkapa yupo vizuriUkitaka kujua uzee wa mtu subiri astaafu!!
Utajiuliza hivi yule mtu ndo huyu??
Nani asiye mgonjwa hapa duniani? Nenda muhimbili leo kufanya check up uweke majibu hapa. Tukashifu yote ila sio afya za watu, huna control na afya yako unakashifu za wenzako?Huyo ni mgonjwa acheni kumpamba
Vipi kinakuuma nini? Mbona kwa Lowassa mlikashifu sana? Tulia mpini uingie.Nani asiye mgonjwa hapa duniani? Nenda muhimbili leo kufanya check up uweke majibu hapa. Tukashifu yote ila sio afya za watu, huna control na afya yako unakashifu za wenzako?
"Mlikashifu", unamzungumzia nani? Nimesema huna control na afya yako, acha kuikashifu afya ya jirani yako.Vipi kinakuuma nini? Mbona kwa Lowassa mlikashifu sana? Tulia mpini uingie.
Acha kutuokota hiyo live ulikutana naye wapi weweAisee inastusha!! Kuna siku nimekutana nae live huwezi amini!! Inakuwaje MTU anayetoka kwenye stress adhoofu kuliko alivyokuwa huko?
Nani alimsaliti Lowasa na alisalitiwa nini?LowAssa anazidi kuiva tuu! Kweli hamna dhambi mbaya hapa duniani kama usaliti na unafiki