swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,906
Published on 13 Aug 2016Kama umepima afya yake kwa sura, shingo na nywele hapo mimi sijui; lakini kama umepima afya yake kwa mwonekano wa alivyovaa mimi naona kama umechanganywa na kile kikoti cha sare ya waangalizi wa uchaguzi ndio kanaonesha kama mabega yamepanda juu kwa sababu kimepita juu ya koti la suti na inawezekana hicho kizibao cha sare ya uangalizi kina size ndogo kuliko hilo koti la suti yake. Halafu ukumbuke labda amepunguza vazi la ndani la 'bullet proof vest' baada ya kustaafu. Picha focus ya camera inaweza kuwa inachangia muonekano huo ambao yawezana sio halisia.
Kosa si kosa bali kurudia kosa.octomber ndio nini?sio vibaya kujipa matumaini,angalau unapata unafuu kidogo wa msongo wa mawazo kwa kipigo cha octomber 2015,wakati ukijiandaa kwa kipigo kingine octomber 2020
Published on 13 Aug 2016
The Head of Commonwealth Observer mission in Zambia, Former Tanzanian President, Jakaya Kikwete, says there were reports of violence and other political parties were stopped from campaign during voting.
Source: SABC Digital News
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hakutakiwa kupambanishwa kwa ku attack afya yake....Mwenye kujalia afya na uhai ni mwenyezi Mungu...na Mungu huwa hadhihakiwi.....Mlimdhihaki sana yule Mzee ...cha ajabu Mungu anazidi kumbariki anazidi kupendeza tu siku hizi.
Huyo amekaa ikulu na ameiibia nchi vya kutosha ....na ni fisadi na kubwa la mafisadi na mfadhili wa mafisadi...lazima tumuandame vizuri tu hadi last point.
Teacher..Lowas is super happy....Kwa taarifa yako Lowasa hatagombea 2020....he is happy kuwa na Amani na haishi na wanafiki kwa sasa...about ufisadi wake....Hizo ni porojo zenu tu....Kukupa tu clue..kwa nchi za afrika kama una doa la wizi au ufisadi huwezi kuthubutu kuhamia upinzani...coz the moment you do that its your end...hadi leo mmeshindwa kumpeleka "Fisadi Lowasa" mahakamani
Eti aachwe...sisi hatuwezi kumfanya kitu tunamwachia Mungu amkongoroe hadi akome...hadi awe skeleton...Mungu hadhihakiwi bana.
Hilo neno period lina umuhimu gani hapo?au jina la mtu?Kipigo 2020 kipo palepale period!
Mkuu tuache siasa kwenye swala la afya ya mtu. Mkuu hiyo picha sio photoshop...uzee na majonjwa ya kizee + kumbuka ni mgojwa za kansa! Japo ameimudu isisambae kwa haraka mwili lakini huwez ukaondoa ukweli kwamba suo mgonjwa.....ni watu wachache sana wenye age ya kikwete wako fit. Hasa tzHiyo picha ukiicheki mabegani kama imephotoshopiwa au kuna kioo hapo?,
ila labda angle waliyopiga picha ndo imemtoa hivyo,hebu tupia picha zingine mbili tatu za hivi karibuni,maana mnashupalia picha moja tu
Duh hata bila ameonekana kijana.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] View attachment 382169[Al
ha ha ha,bavicha kwa vituko siwawezi,haya amekongoroka,lala sasa kesho uwahi shuleni..Sasa hiyo picha ina utofauti gani na ya awali? Zote zinatoa taswira moja!! JK kachakaa na kukongoroka!!!
mbona yupo kawaida tu.Mbona hapa anaonekana kawaida tu? Acheni majungu yenu yasiyo na tija.
![]()
Huyu Rais wenu mwambieni tume mumis kwenye harambeee za kukusanya fedha kwenye makanisa na misikitini mwambieni kale kautaratibu akaendeleze maana alikuwa anachangia saaaanaUkimya wa Lowasa utawaumbua wote. Ila matusi waliyoratibu nakuwatumia akina Nape kumtukana Rais Lowasa yalikuwa too much