Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Number one killer for old people is retirement....
Lowassa bado yuko poa sababu hajastaafu.

Hayo maneno ya kiingereza naona yana ukweli. Kustaafu ni ugonjwa na umeua wengi kuliko hata uuavyo UKIMWI. Shida tunaibiwa sana tukiwa kazini kiasi kwamba hatufanyi maandalizi ya maisha baada ya kustaafu. Baada ya kustaafu wengi hawachukui muda mrefu hufa! Na hiyo imekuwa ni yamanufaa sana kwa mifuko ya hifadhi ya jamii!
 
IN ZAMBIA 2.jpg
IN ZAMBIA 3.jpg
IN ZAMBIA.jpg
TUMUANGALIE AKIWA ZAMBIA KUSIMAMIA UCHAGUZI. JE HUU NDIO MWONEKANO TULIOUZOEA WA MH. KIKWETE?
 
mnafiki mwakyembe alimtuhumu mamvi kumpiga kipapai cha kizungu,are you insinuating mamvi has done it again?!!!
 
Number one killer for old people is retirement....
Lowassa bado yuko poa sababu hajastaafu.
Acha ujinga wewe. Lowassa ni Rais wa Taifa gani? Unaweza kukamatwa kwa uhaini wewe! Sisi tulimkataa, tumemkataa na tutamkataa. Urais atausoma kwenye magazeti tu period!
Rais sio lazima awe wa taifa nchi hii ina marais kibao na wote wanafanya shughuli zao bila bughuza
 
Wanadamu tunakuwa wepesi sana wa kusahau. Yaliyomtokea Dr. Mwakyembe baada ya Sakata la Richmond hadi akabadilika sura, tumeshasahau?.
Maandishi huwa hayafutiki, sakata la Richmond mafaili yake yako salama kwenye makabrasha ya kumbukumbu...ila sijaona JK kahusikaje hapa
 
inaonekana hiko chumba kiyoyozi kinasoma 22 chini ya kiwango cha ubaridi ndomana anaonekana kujikunyata.
 
Ndugu kikwete anaonekana usoni kuchoka sana. Hana nuru, inaonekana halal vzuri,ana msongo wa mawazo.
 
Mwenye akili akiangalia masuala ya watanzania lazima achoke.
 
Mnatakiwa kufahamu kuwa JK ni mtu mzima sasa, wala msitarajie ataendelea kuwa kama alivyokuwa. Ukiwa Rais kuna watu wengi wa kukuangalia, hata kuhakikisha kuwa unapotoka kwa umma una mwonekano mzuri. Sasa JK yupo kama JK, hakuna artificial appearance.
 
Back
Top Bottom