Mzee ameshamsimika Lungu, sasa kazi anahamishia kwa mama Hilary Clinton, huyu ndio Mkwere democracy expert.Wana ukumbi salaam.
Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.
Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....
Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431
Ha ha ha haUkitaka kujua uzee wa mtu subiri astaafu!!
Utajiuliza hivi yule mtu ndo huyu??
Lakini ujue lowasa is five years younger than Kikwete.Naye akawajibu kuwa afya yake ilikuwa mikononi mwa Mungu, sasa anajipanga na 2020 wakati waliomsema ndio kama hivi. Maisha bwana hayana kanuni!
ccm? au mchungaji Mtikila?Ngoja tusuburi viongozi wa CCM watasema nini, maana walipakazia kuwa Lowassa hafai ni mgonjwa.
Anateswa na dhambi ya kumkata Lowassa na aliyemtaka hakupita ndo maana mnamuona hivyo.
Kule Trump atamkata gembe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mzee ameshamsimika Lungu, sasa kazi anahamishia kwa mama Hilary Clinton, huyu ndio Mkwere democracy expert.
Kusafisha dam vipi mkuu mbona hujafanunuatusubiri alimuita lowassa mgonjwa kunbe yeye ni mzima.zile mambo ya kushafisha damu tu.
swissme
Eti sisi, sisi, my foot!Acha ujinga wewe. Lowassa ni Rais wa Taifa gani? Unaweza kukamatwa kwa uhaini wewe! Sisi tulimkataa, tumemkataa na tutamkataa. Urais atausoma kwenye magazeti tu period!
Usisahau JK is a public good; lazima ajadiliwe tu, na mahususi kutokana na tabia yake ya vijembe na mipasho, atajadiliwa tu, maana kiendacho hurudi.Pilipili iko shambani ninyi yawawashia nini? If you're really great thinkers why do you sit down and discuss some ones personal issues. Please let us discuss development issue as we most Tanzanians need much to know about. Acheni utoto humu jamiiforum, this is for Great thinkers only.
walisema lowassa ni mgonjwa sasa ngoja tuone mwisho wa hii sinema kwenda nje ya nchi kila siku tutajua tu nani ni mgonjwa.
swissme