Ahaaaaa! Tunasubiri tarehe ifike wakung'utwe vizuri!!Possible atapewa maana mwenye kuinua ni MUNGU wala sio kutegemea kuegemea ukuta.
Angalia video wakati akifungua mkutano Dodoma kisha angalia na picha hiyo!!
Hiyo picha imerushwa na vyombo vya habari huko Zambia so hawana sababu ya kuifanyia Photoshop!!
Hakuna sababu, utatuonea wivu bure kwa jinsi tulivyonona- chezea dona kwa mnafu na nyanya changu(ngogwe)....Kila aliyechangia hapa aweke picha yake aliyo piga hivi karibuni tuanze kuzichambua
Haha mkuu umeandika nini hii?Wewe ndugu Lukindo lala,amka,oga,kula lunch,diner lala tena usiku mwema...Lakini hatakaa itokee Lowasa kuwa Rais wa Tanzania. Mimi nadhani baada ya kulala mnaota...mkizinduka hakuna kitu ni sawa na "MTU MMOJA NDANI YA KIJIJI KIZIMA KUWA NA PHD NA WENGINE WOTE MNA STD SEVEN SASA IKIFANYWA EVALUATION MNAPATA NI SAWA NA DARASA LA TATU WOTE" Lowasa alinishindwa kufurukuta just write history in his life profile.
Kwani afya ya Lowasa ilikuwa inawahusu nini?Mkikosaga hoja ndio mnaanza kumshambulia Kikwete, hahaha muacheni mzee wetu apumzike yake yameshamuishia, kama Ikulu ameshakaa miaka 10 mfululizo,
Angalieni mambo mengine Afya ya mzazi wa mwenzio wewe inakuhusu nini?
Kuna watu sura zao hata hazitafsiriki, halafu wanatutaka ma- handsome tuweke picha zetu hapa, si wataishia kujing'atang'ata tuTeh teh teh
Anavimiss ving'ora na saluteWana ukumbi salaam.
Kwa muda sasa tangu aondoke madarakani JK aliyesema sasa anakwenda lala usingizi mtamu anaonekana kudhoofu kuliko kawaida.
Nimemuona kikwete Mara nyingi sasa akiwa anaendelea kudhoofu kadiri siku zinavyosonga....
Mungu ampe afya njema Kikwete wetu maana anatia huruma sana!!!
View attachment 381431
Ilituhusu kwa kua hatukutaka kutawaliwa na mtu fisadi halafu dhoofu.Kwani afya ya Lowasa ilikuwa inawahusu nini?