Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Hiyo picha ukiicheki mabegani kama imephotoshopiwa au kuna kioo hapo?,
ila labda angle waliyopiga picha ndo imemtoa hivyo,hebu tupia picha zingine mbili tatu za hivi karibuni,maana mnashupalia picha moja tu
Kikwete kachoka tu hata ukipew picha 1000
 
Naye akawajibu kuwa afya yake ilikuwa mikononi mwa Mungu, sasa anajipanga na 2020 wakati waliomsema ndio kama hivi. Maisha bwana hayana kanuni!
Walio msema vibaya kama yule mswahili kasheku watalaanika vibaya sana
 
Angalia video wakati akifungua mkutano Dodoma kisha angalia na picha hiyo!!

Hiyo picha imerushwa na vyombo vya habari huko Zambia so hawana sababu ya kuifanyia Photoshop!!
Kachoka ti hilo halina ubishi na afya ni kikwazo
 
acheni propaganda uchwara mtu anayetimizaxmiaka 66 december mnataka awe na taswira ya mtoto wa miaka 19.Haya ni mawazo mufilisi ya watu wasiojitambua na kujielewa
Mbna dr slaa ana 70[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Acha ujinga wewe. Lowassa ni Rais wa Taifa gani? Unaweza kukamatwa kwa uhaini wewe! Sisi tulimkataa, tumemkataa na tutamkataa. Urais atausoma kwenye magazeti tu period!
Wewe huna akili kabisa yaani kumuita mtu ni rais huo ni uhaini? Tumia akili yako vema
 
Kikwete kachoka tu hata ukipew picha 1000
sio vibaya kujipa matumaini,angalau unapata unafuu kidogo wa msongo wa mawazo kwa kipigo cha octomber 2015,wakati ukijiandaa kwa kipigo kingine octomber 2020
 
Wewe huna akili kabisa yaani kumuita mtu ni rais huo ni uhaini? Tumia akili yako vema
Labda kama ni Rais wa VICOBA. Kama ni kumfananisha na RAIS wa NChi ni Uhaini. Wewe ndiye huna akili kwa kutolijua hilo. Halafu wewe kwenu Msumbiji haya mambo ya Tanzania Wamawia inawahusu nini?
 
sio vibaya kujipa matumaini,angalau unapata unafuu kidogo wa msongo wa mawazo kwa kipigo cha octomber 2015,wakati ukijiandaa kwa kipigo kingine octomber 2020
Sasa hapo hayo uliyosema na tunacho ongelea vina uhusiano gani? Hapa tuongelea afya ya kikwete mbona kachoka haraka sana?
 
Labda kama ni Rais wa VICOBA. Kama ni kumfananisha na RAIS wa NChi ni Uhaini. Wewe ndiye huna akili kwa kutolijua hilo. Halafu wewe kwenu Msumbiji haya mambo ya Tanzania Wamawia inawahusu nini?
Endelea kuwa mateka wa lumumba
 
Back
Top Bottom